dhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alex Ngereza: Simba ilikuwa kwenye kundi dhaifu sana

    AKILI ZIMEANZA KUWARUDI " Simba kutinga hatua ya robo fainali imepitia kwenye kundi dhaifu sana. Kundi likiwa na mngonjwa mahututi mmoja ambaye ni Wydad ambaye alikuwa ICU msimu huu kuanzia ligi ya kwao mpaka michuano ya #CAF. Huku akiwa pia na timu ya Asec Mimos timu yenye program ya kukuza...
  2. Simba kelele nyingi kumfunga kibonde Jwaneng lakini kumbukeni kundi dhaifu kuliko yote lilikuwa kundi lenu

    Tunaweka kumbukumbu sawa ya kwamba katika makundi yote ya CCL msimu huu kundi lililokuwa dhaifu KULIKO yote ni kundi la Simba, ubora wa timu zilizokuwa kwenye kundi ilo kwa yeyote aliyekuwa anafatilia mechi zao atakuwa shahidi. Asec mimosas kiwango chake kilikuwa Cha kawaida sana lakini ametoa...
  3. Kunusuru Tanzania yetu na kizazi dhaifu naomba wabunge wapitishe sheria zifuatazo

    1. Matumizi ya pombe kwa vijana walio na umri chini ya miaka 25! Hali ni mbaya sana vijijijini na mijini. Vijana wameharibika sana na nguvu kazi ya taifa inapungua kwa kasi. Najua pombe ni sehemu serikali ilipojiegemeza kwenye ukasanyaji wa mapato lakini pia kwa kupitia hii pombe serikali...
  4. PreGE2025 Kigwangalla: Nitawajibika lakini ukweli ni kuwa Mifumo yetu nchini ni dhaifu

    Mjadala wa kitaifa usingepaswa kuwa Dr. Hamisi Kigwangalla amekosea, atoe ushahidi, ataje, hakupaswa kusema alichosema, ana wivu kwa kuwa yeye yuko benchi etc, bali je alichosema ni uongo ama ukweli; kama ni ukweli tunafanyaje ili kudhibiti? Badala ya kunyoosheana kidole, ama kutaka umbeya ni...
  5. J

    Nimeamini kweli Ligi yetu ni dhaifu, Club zetu zinatamba nyumbani ila nje ni aibu

    Club zetu unaziona zinvyotamba kwenye ligi ya ndani, ukiwaona wachezaji wao wanavyoumiliki na kuuchezea mpira watakavyo utasema hii ni bonge la timu , hata wasemaji na mashabiki wao utawasikia wakisema Madrid hapa anapasuka, aje Man City hapa anakaa, lakini zikivuka mipaka tena hapa hapa ndani...
  6. TLS ni dhaifu sana, ipo kuadhibu mawakili. Kinazidiwa na UWADAR -Umoja wa Madereva/Kondakta Dar

    CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA [TLS] kimeanishwa kwa sheria za Bunge, kipo kwa ajili ya mawakili na maslahi ya mawakili lakini tangu kuanzishwa kwake ni chama ambacho kipo against mawakili: Jaji Ntemi, ambaye ni kama ana changamoto za afya ya akili , amekuwa mkatili kwa mawakili na hatoi...
  7. B

    Matokeo ya viongozi dhaifu kuongoza nchi kubwa

    Wakati Babeli inaanza kuwa Taifa kubwa, haikuwa na raslimali nyingi kama vile madini, bandari, maziwa, eneo zuri la kijiografia, idadi kubwa ya watu, mbuga za wanyama, n k. Raslimali kubwa iliyokuwa nayo Babeli mpaka kufikia kilele cha mafanikio yake iikuwa ni uongozi imara na ubunifu wa raia...
  8. Jamii hii hujifanya wanavijihasira na msimamo ila ni dhaifu legelege na wanamaamuzi yao ya kukupuka ila pia ndio magwiji wa kutafuta kuonewa huruma

    Samahani kusema ila truth be said hawa jamaa hawana akili hata punje, imagine watu wanategemea maji, umeme, mafuta, chakula kutoka Israel na wako kwenye mazungumzo ya amani ila yanakurupuka na kurusha vijibaruti vyao dhidi ya hao hao Israel. And yes "vijibaruti" hivi ukilinganisha makombora ya...
  9. Sheria hazilindi Mabwege, Watu dhaifu; na Mamlaka huheshimu Mamlaka

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mimi pia ni mdau wa Ile Kanuni isemayo kuwa Watu wote ni Sawa Mbele ya sheria, ikiwa ni nguzo muhimu kwenye Rule of law. Yaani kila mtu anapaswa kuwajibika Mbele ya sheria na hakuna ambaye atakuwa juu ya sheria. Lakini tukija kwenye Falsafa na uhalisia Kanuni...
  10. Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    Umuofia kwenu....! Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
  11. Sijawahi kuwa dhaifu kwa mwanamke. Haitatokea.

    Nitampa heshima yake na kumhudumia kadri ya uwezo wangu ila akiringa tu mbele zangu biashara imeisha. Wife analijua hili na anaishi na Mimi kwa umakini mkubwa. Mtu anayeitwa mwanamke hawezi kunipeleka au kuniringia kisa nampenda. Nyie wanaume wenzangu mnaopelekwa mpaka na ma bar maids...
  12. Matumizi ya neno "UCHOCHEZI" ni namna dhaifu sana ya kuikataa demokrasia na uhuru wa kukosoa

    Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika. Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
  13. Umaskini wa familia unatokana na Baba dhaifu, na umaskini wa taifa unatokana na Wanaume Legelege

    UMASKINI WA FAMILIA UNATOKANA NA BABA DHAIFU, NA UMASKINI WA TAIFA UNATOKANA NA WANAUME LEGELEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimekosa Lugha itakayoweza kuelezea Jambo hili zaidi ya niliyoitumia. Ikiwa kuna yeyote mwenye moyo mwepesi, ambaye si mhimilivu wa Lugha kali basi nashauri...
  14. Sijawahi kuona CCM dhaifu na nyepesi kama ya awamu hii si katika kufikiri, kutatua na kujibu hoja. Sekretariati mbovu na dhaifu

    Wasalaam JF, Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts. Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru. Sekretariati...
  15. Kiukweli ndoa za sasa sio kwa ajili ya Mwanaume/ Mwanamke dhaifu

     Nimeshuhudia ndoa nne za gharama (nilizochanga Mimi) ndani ya miezi 6_9, tatu kati ya hizo zikipumulia Mashine Huku moja iliyodumu kwa Mwezi mmoja (siku ya harusi kamati ilimpa zawadi ya million 10 Bwanaharusi) ikisambaratika huku bibi harusi akitolewa mkuku au vijana wa mjini wakisema...
  16. SoC03 Utawala dhaifu katika Taifa

    Utawala dhaifu Utawala dhaifu ni utawala ambao haujajikita katika njia moja ya kiutawala ambayo ni imara na ya haki, ndani ya utawala kuna itikadi na misimamo tofauti,ndani ya serikali hakuna kundi la kudumu la waamuzi,ukoloni mambo leo una watumia baadhi ya watawala,utawala usio jitegemea...
  17. Picha: Chama alikuja Simba akiwa na afya dhaifu

  18. G

    SoC03 Mfumo wa elimu wa nchi yetu hauendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa

    Mfumo Mbovu wa Elimu Tanzania: Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa taifa. Hata hivyo, katika karne hii ya teknolojia na maendeleo ya haraka, ni muhimu kutathmini na kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya dunia ya kisasa. Katika kesi ya Tanzania, mfumo wa elimu...
  19. Upinzani Tanzania ni dhaifu na Kibogoyo

    wasalam, Natafakari juu ya mbadala wa Serikali Tanzania, yaani upinzani sipati majibu. Kuna umuhimu wa kua na upinzani kweli? Umuhimu wake uko wapi? Ikiwa kila Jambo linakuja na linapita kama lilivyo bila pingamizi lolote popote, si ndani ya Bunge au nje ya Bunge. Je, kuna Serikali mbadala...
  20. Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?

    Wanabodi Niko hapa ukumbi wa hoteli ya Serena, jinini Dar es Salaam, kwenye mjadala wa kujadilli ubinafshaji wa Bandari, kwa kampuni ya DPW ya mwarabu wa Dubai, ulioandaliwa na taasisi mpya kabisa ya habari inayoitwa MB (Media Brains), inayoundwa na Manguli wabobezi na wabobevu wa habari nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…