TLS ni dhaifu sana, ipo kuadhibu mawakili. Kinazidiwa na UWADAR -Umoja wa Madereva/Kondakta Dar

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA [TLS] kimeanishwa kwa sheria za Bunge, kipo kwa ajili ya mawakili na maslahi ya mawakili lakini tangu kuanzishwa kwake ni chama ambacho kipo against mawakili:

Jaji Ntemi, ambaye ni kama ana changamoto za afya ya akili , amekuwa mkatili kwa mawakili na hatoi rulling wala nakala zake ,Unfortunately Ntemi Kilekamajenga J. always hatoi Nakala ya Ruling zake wala proceedings, huo ndio umekua msimamo wake wa ajabu sana kwa kesi zote za Mawakili zilizotangulia na kupita mbele yake, angalia kesi ya Jebra KAMBOLE, Edson KILATU na nyinginezo zote hakuandika Ruling wala hakutoa proceedings.

Senior Mpale MPOKI, ameamka naye mara baada ya kikao cha Zoom na GC, aliandika barua tangu Jana akiomba Ruling na proceedings zote za kesi ya Jana, wacha tusubiri tuone🤔🤔.

Hizo ni impeaching facts befitting to be laid before the judicial service commission, avuliwe ujaji.
Chama cha Mawakili (TLS) chatoa TAMKO KALI kuhusu kitendo cha Mwenyekiti (Jaji Ntemi) wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumsimamisha uwakili kwa miezi 6 Wakili Mkongwe Mpale Mpoki. Kwamba, amesimamishwa kiholela, Jaji kama Mwenyekiti wa Kamati hana Mamlaka ya kufanya hivyo, amemsimamisha bila hata kumpa haki ya kusikilizwa nk. Moja ya mapendekezo ni kumpeleka Jaji kwenye Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kile kilichodaiwa kuwa na chuki (hostility) dhidi ya Mawakili waliofika mbele ya Kamati kumuwakilisha Wakili Mwabukusi kwenye kesi yake

Kuna kamati ya madili ya mawakili, huko mtu yeyote tu akiamua anakushitaki na unakuwa mdogo kama panya maana wanakufungia wapendavyo.

Vyama vingine vyote kuanzia, Madktari, Walimu, Makondakta, wauza mitumba, wamachinga wa Kariakoo na memoria huko Moshi, Wauza nyanya wa Buguruni iwapo jambo lolote litalowapata huwa wanasimama na kujitetea.

Kipindi cha utawala wa mkono wa chuma, 2015-2021, Vyama vilisimama kujitete na ktetea wanachama wake isipokuwa TLS ikiongozwa na marais flani flani wanaufyata ama hawajielewi;

Leo Senior counsel Shangazi a.k.a BI FATMA, Mpale Mpoki na wengine wengi wanafungiwa na chama ndio kipo mbele kuwasulubu.

Mwabukusi naye anapewa kesi badla chama hata kama ni kuitisha mgomo wa mawakili kutokuingia mahakamani chenyewe ndio kipo mbele kuwasulubu wanachama wake alafu mwisho wa mwaka kinataka subscription fee ambayo inasemekna ndani yake kuna ufisadi wa kutish.

TLS members wanalazimishwa kulipia EALS tena kwa dola, na hii ilifutwa na LISSU baadae wale wa kama kawa kama dawa wameirudisha, swali la kujiuliza, TLS ina wanachama maskini kabisa, hawana mlo na ukiwakuta mawakili wamedandia daladala utawaonea huruma , zaidi sana wanasheria chukueni hatua, Leo ni wakili fulani kesho ni wewe.

TLS inaliwa na wachache, wanakula hela za DECEASED FUNDS, wanakula hela za CLE, wanakula hela za semanar na za jengo ambalo ni 400,000 mpaka lilipokamilika, na sasa kila wakili anchanga 200,000/-.
 
Kama Rais wa TLS anafutwa uwakili hapo kuna chama au genge la mazombie tu?

Tanzania mtu ninayemuelewa ni Tundu Lisu peke yake, huyu siyo kondoo, hata Mwendakuzimu anamjuwa hadi huko Jehenamu alipo.
Sauti yako inafika mbali.
 
Nikusahihishe Kidogo, wanaoadhibu mawakili ni kamati maalum ya Nidham sio TLS.
Ila mengine yote umeongea kweli. TLS ni jibwa lisilo na meno na halina msaada kwa wanachama wake. Pale ni kuwa kamua tu mawakili na hakuna msaada wa maana wanaowapa.

Embu fikiri tu walianzisha Mfumo wa kuwa na mihuri ya electronic Lakini mawakili wanasumbuliwa Kila siku na pesa wametoa, na wale waliopata mihuri ni mibovu ajabu, hainna durability. Kwa kifupi TLS ni wakala wa Serikali hamna Chama pale.
 
Back
Top Bottom