Wakati Babeli inaanza kuwa Taifa kubwa, haikuwa na raslimali nyingi kama vile madini, bandari, maziwa, eneo zuri la kijiografia, idadi kubwa ya watu, mbuga za wanyama, n k.
Raslimali kubwa iliyokuwa nayo Babeli mpaka kufikia kilele cha mafanikio yake iikuwa ni uongozi imara na ubunifu wa raia...
Samahani kusema ila truth be said hawa jamaa hawana akili hata punje, imagine watu wanategemea maji, umeme, mafuta, chakula kutoka Israel na wako kwenye mazungumzo ya amani ila yanakurupuka na kurusha vijibaruti vyao dhidi ya hao hao Israel.
And yes "vijibaruti" hivi ukilinganisha makombora ya...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mimi pia ni mdau wa Ile Kanuni isemayo kuwa Watu wote ni Sawa Mbele ya sheria, ikiwa ni nguzo muhimu kwenye Rule of law. Yaani kila mtu anapaswa kuwajibika Mbele ya sheria na hakuna ambaye atakuwa juu ya sheria.
Lakini tukija kwenye Falsafa na uhalisia Kanuni...
Umuofia kwenu....!
Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
Nitampa heshima yake na kumhudumia kadri ya uwezo wangu ila akiringa tu mbele zangu biashara imeisha.
Wife analijua hili na anaishi na Mimi kwa umakini mkubwa.
Mtu anayeitwa mwanamke hawezi kunipeleka au kuniringia kisa nampenda.
Nyie wanaume wenzangu mnaopelekwa mpaka na ma bar maids...
Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika.
Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
UMASKINI WA FAMILIA UNATOKANA NA BABA DHAIFU, NA UMASKINI WA TAIFA UNATOKANA NA WANAUME LEGELEGE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimekosa Lugha itakayoweza kuelezea Jambo hili zaidi ya niliyoitumia. Ikiwa kuna yeyote mwenye moyo mwepesi, ambaye si mhimilivu wa Lugha kali basi nashauri...
Wasalaam JF,
Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts.
Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru.
Sekretariati...
Nimeshuhudia ndoa nne za gharama (nilizochanga Mimi) ndani ya miezi 6_9, tatu kati ya hizo zikipumulia Mashine Huku moja iliyodumu kwa Mwezi mmoja (siku ya harusi kamati ilimpa zawadi ya million 10 Bwanaharusi) ikisambaratika huku bibi harusi akitolewa mkuku au vijana wa mjini wakisema...
Utawala dhaifu
Utawala dhaifu ni utawala ambao haujajikita katika njia moja ya kiutawala ambayo ni imara na ya haki, ndani ya utawala kuna itikadi na misimamo tofauti,ndani ya serikali hakuna kundi la kudumu la waamuzi,ukoloni mambo leo una watumia baadhi ya watawala,utawala usio jitegemea...
Mfumo Mbovu wa Elimu Tanzania:
Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa taifa. Hata hivyo, katika karne hii ya teknolojia na maendeleo ya haraka, ni muhimu kutathmini na kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya dunia ya kisasa. Katika kesi ya Tanzania, mfumo wa elimu...
wasalam,
Natafakari juu ya mbadala wa Serikali Tanzania, yaani upinzani sipati majibu. Kuna umuhimu wa kua na upinzani kweli? Umuhimu wake uko wapi? Ikiwa kila Jambo linakuja na linapita kama lilivyo bila pingamizi lolote popote, si ndani ya Bunge au nje ya Bunge. Je, kuna Serikali mbadala...
Wanabodi
Niko hapa ukumbi wa hoteli ya Serena, jinini Dar es Salaam, kwenye mjadala wa kujadilli ubinafshaji wa Bandari, kwa kampuni ya DPW ya mwarabu wa Dubai, ulioandaliwa na taasisi mpya kabisa ya habari inayoitwa MB (Media Brains), inayoundwa na Manguli wabobezi na wabobevu wa habari nchini...
Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.
Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema...
Habari za wakati huu wakuu, naomba nitoe kidogo duku duku langu na kujifunza juu ya mapenzi na udhaifu wa mwanamke uko wapi,
Duku duku langu linaanzia pale tu unapotaka kutongoza au kumuoa mwanamke, walio wengi tunawakosea sana hawa wenzetu wa kike kwa sababu zifuatazo, Mwanamke ni mtoto...
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa.
RAIS...
Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa Yanga wenu hapo? Tp mazembe kashinda mechi 1 tu makundi ndio wa kuzungumzia.
Clab bingwa yamebaki...
Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine.
Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.