Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi za mamlaka hiyo, Deusdedith Magoma. Aidha, Aweso ameiagiza Bodi ya wakurugenzi ya Ruwasa kutengua uteuzi wa meneja wa anayeshughulikia...
Naam, wana bodi !
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nayo inahusu watu dhaifu. Watu dhaifu ni watu hatari sana. Wakiwa wanasiasa wanakuwa hatari zaidi. Ni waoga wa mabadiliko. Waangalie wale wote waliobeba agenda ya mitano tena. Karibu wote ni dhaifu kisiasa na kijamii. Wanaposema mitano tena...
Ogopa sana kumfanyia Unyangindo (Uhuni) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa...
Wana JF
Kilichofanya vyama vya upinzani kupigwa chini, ni matokeo mabaya ya uongozi wa Mbowe na kundi lake tiifu. Ndani ya chama chao ilianza fukuzana fukuzana. Ikaja susia susia watu walioona mbali wakaanza kujiondoa kwa kuunga juhudi upande wa pili. Hayo pia yaliyokea CUF ya Lipumba. Uovu kwa...
Mauzo ya Iphone yamekua madogo kuliko matarajio ya kampuni ya Apple kupelekea hisa za kampuni kushuka kinyume na matarajio Apple.
https://mobile.reuters.com/article/amp/idUSKBN27E3FP?__twitter_impression=true
Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko.
Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo wa siasa za vyama vingi.
Kipindi hicho jamii kubwa ya watanzania haikuwa na uelewa mpana wa vyama...
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.
Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.
Source: Radio One
Maendeleo hayana vyama!
Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani.
Chanzo: ITV habari
------
MWANDISHI...
MTU DHAIFU HUTAFUTA UPENDELEO; JE LISU ANAPAMBANA NA MTU DHAIFU?
Na, Robert Heriel
Kikawaida watu dhaifu hutafuta kupendelewa, hutafuta dezo kwa watu. Pia kikawaida watu dhaifu ndio hupewa upendeleo na huukubali huo upendeleo kwa kuwa wanajua hawastahili.
Hii ni tofauti na mtu hodari. Mtu...
Wananchaama na wafuasi wengi wa vyama vya upinzani ukiwa msema ukweli na mpinga ufisadi basi wanakuona wewe ni mpinzani na kwa upande mwingine si MWANA CCM kisa tu unasimamia ukweli.
Kama utakuwa mfuatiliaji wa hotuba mbali mbali na makemeo ya Mgombea wa CCM Jimbo la kawe utagundua ujasili...
Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jijini Dar es Salaam, Ombeni Alfayo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumkata mke wake kiganja cha mkono wa kulia kwa sime kwa madai ya wivu wa kimapenzi.
Nipashe
Ukiona Mwanaume yoyote anafanya 'Upumbavu' na 'Ushamba' huu jua...
Tunapoelekea kipindi cha kampeni tuna tegemea hoja nzito haswa kutoka kwa wagombea wa upinzani kuhusu serikali ya awamu ya tano kushindwa kuweka mifumo ambayo ingewezesha tume huru ya uchaguzi kuwepo. Lazima tufahamu kwamba Tume Huru ya Uchaguzi ni shirika linalo jitegemea pamoja na kuwa na...
Nimejaribu kufuatilia habari mbalimbali zinazotoka katika vyombo mbali mbali vya habari (Media) hapa nchini hasa katika kipindi hiki cha Msiba wa Mkapa.
Jambo la kusikitisha ambalo mimi binafsi nimegundua ni kwamba bado wapo mbali saana (nyuma) katika weredi wa jinsi gani ya kuandaa taarifa...
Mchungaji Msigwa alipata kusikika akitoa kauli nzito ambazo zingeweza kulimega taifa vipande vipande na hata kusababisha maandamano makubwa katika nchi yetu kama yele yaliyofanyika kule Marekani kwa kupigwa na kufariki dunia kwa Geoge Floyd.
Msigwa alipata kusikika kupitia mitandao ya kijamii...
Sasa Rais wangu unategemea kuanzia mwaka 2021 hadi 2025 tutapata wapi wenye uthubutu wa kuunga mkono juhudi?
Yani pamoja na juhudi, nguvu, ushawishi, mafweza, kupitishwa bila uchaguzi ndani ya chama, kuhakikishiwa ulaji hadi mwaka 2025 kweli tumeibuka na wale kina yakhe? Pamoja na kutoa ofa...
Kwa ndugu zangu wa damu CCM ukiondoa kutumia nguvu ya dola na ubabe wa kulazimishwa kupendwa kwa vitisho hawana hoja katika mizani ya siasa.
Kumshambulia mwenyejiti Mbowe kwa hoja za udikteta, ufisadi na mengine ni daliki ya kumwogopa tu kwa namna alivyoweza kuwa jiwe ktk kipindi ambacho...
Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu leo imewahukumu aliyekuwa Rais wa Migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, Deodatus Mwanyika na wenzake wawili, kulipa fidia ya TSh1.5 bilioni baada ya kupatikana na hati ya kukwepa kodi.
Imetoka wapi? Soma TAKUKURU yawakamata aliyekuwa makamu wa...
Kuna baadhi ya mambo nikiyafikiria nakosa majibu.Kabla ya wakoloni wa kizungu na kiarabu kuja Afrika tulikua na mpaka leo tunayo mizimu yetu. Waafrika tangu wakiwa wadogo walifundishwa kuiheshimu mizimu. Mtu yoyote aliyeenda kinyume na mafundisho hayo aliadhibiwa vikali ikiwa ni pamoja na adhabu...
WATANZANIA, WAKENYA WASIWASUMBUE
Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha Watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa Kenya katika Uchumi wetu. Naelewa Sana...
Habari wana jamvi,
Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi mambo yanavyo endelea nchini mwetu katika nyanja mbalimbali, nimegundua kuwa tatizo ni kubwa mno hasa kwasababu linaanzia kwenye mfumo wetu wa Elimu. Mwishoni nitajitahidi kufafanua.
Kifupi ni kwamba waliotakiwa kuongozwa ndio wanatuongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.