dhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Uislamu hautaki mtu dhaifu. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu

    Mimi ni muislamu. Uislamu hautaki mtu dhaifu Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu. Tusiangushane. Hatuna muda mwingine zaidi ya huu. Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Polepole angeokotwa kabla Octoba 29 akiwa na kimfuko chake cha karanga na taulo akiwa dhaifu mwenye depression tungefurahi

    Maombi kwa awaye yote. Mwenye nguvu. Yangetokea maajabu kwa ndugu Polepole mfano wa yanayo watokea makasisi sijui mapadre wa Katoliki ya kupotea kisha kuokotwa siku kadhaa wakiwa hai huku wana msongo wa mawazo (depression) taifa lingepona. Chuki na hasira zingepoa. Visasi visingetarajiwa siku...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

    Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi. Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani? Fidel Castro Paul Kagame Assimi Goïta
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nlisema haya kuhusu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ni miongoni mwa Marais wenye udhaifu

    Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo. Sababu kuu za kutokupendwa kwake 1...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Njia ambazo wapinzani mnazitumia ni dhaifu pro max, kwa ufupi ni kwamba hamjielewi.

    Let us say Abdul ameiba mabilioni yenu na kununua gari ya Bilioni mbili kama mnavyoaminishwa. Tuassume ni kweli Samia ameuza bandari kama mlivyoaminishwa. Tuassume Kikwete anaendesha nchi kwa sasa kama mnavyojazwa upepo. Hapo mlipo mnasubiri CCM iachie madaraka kwa kelele za Mange Kimambi, yaani...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanin wapinzani dhaifu kiuchumi hususani Chadema masalia wanaumizwa sana na hali ya CCM kua na wanachama matajiri wa hoja, mali na fedha?

    Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu? My friends, ladies and gentleman, Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, kauli ya Nchimbi kuwa raisi hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ?

    Je, kauli ya Nchimbi kuwa Rais hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ? kwa yanayoendelea kwa sasa nchini. Tafakari,
  10. Now and then

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Sikonge Tabora inakuaje mnaweka viongozi dhaifu sana ?

    Mlianza na Said Nkumba , mkaja Joseph Kakunda kwa ila kwa Munde. Mpo sahihi. Mnabidi kujitafakari Sana .
  11. PLOII

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Polepole ni dhaifu na hakukata kiu

    Habari za Sabato watu wa Mungu, Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia. Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya US Jana imeonyesha Israel ni Taifa Dhaifu na halina uwezo wa kuulinda uwepo wake

    Mwanzoni nilidhani ni uongo, nimeshangaa kumbe kweli Israel ilikuwa haina uwezo wa kulipa mitambo ya Nyuklia Fordow. Licha ya kumiliki Bunker Boosters lakini vyote vinauwezo wa kukwangua tu maandaki. Hili tukio maana yake ni nini? Israel haina uwezo wa kujilinda na hailindwi na Mungu bali US...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Je , singida kupangasa kikosi dhaifu leo dhidi ya Simba kama walivyofanya dhidi ya Yanga?

    Hapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko.... Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
  15. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

    Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed. Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Waafrika ni Race inayoongoza kwa Kulalamika Duniani na kuwa Dhaifu

    1. Utasikia Wazungu wanatubagua 2. Waarabu wanatubagua 3. Wachina wanatubagua 4. Wasouth Africa wanatubagua 5. Serikali zao zinawabagua 6. Wanabaguana kwa dini 7. Itikadi 8. Kabila 9. Koo 10. Imani Ni Race Lalamishi ambayo haijawahi tokea Duniani. China iliwahi tawaliwa na Japan. Kwa sasa China...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ntahakikisha thamani ya fedha ya Tanzania inakua chini na dhaifu

    Kama mtu mwenye nia ya kuwa Rais wa Tanzania na muumini wa uchumi wa viwanda ni vizuri thaman ya fedha ya Tanzania kuwa chini sana ili ipunguze gharama za uzalishaji viwandani
  18. John Sin

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni janga mwanaume ukiwa dhaifu utachenyentewa wazwaz na dharau juu, akisaliti muache on the spot vuta chuma mpya using'ang'ane

    Wanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi kamwe. Yangu hayo tu.
  19. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Viongozi dhaifu

    Viongozi dhaifu ni wale wanaopenda kusikia kile wanapenda kusikia, wagumu kusikia ama kupokea mawazo mbadala yanyokinzana na mawazo Yao. Hukimbilia kushughulikia watu (attack personality) na si kushughulika na hoja (do not deal with issues). Kuna haja ya kufundisha (wanasiasa, wakuu wa taasisi...
  20. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mstari huu: Wanamke ni viumbe dhaifu, tuishi nao kwa akili?

    Heshima kwenu wakuu! Naomba kujua kwanini, Kuna neno,, NI VIUMBE DHAIFU? na KUISHI NAO KWA AKILI? na je usipozingatia Haya Kwa mwanaume ni matokeo gani utayapata? Nawasilisha hoja kwenu wakuu!
Back
Top Bottom