Harmonize na Darasa Mmefeli sana kwenye Video ya Mazoea

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,971
6,607
Nyimbo ni kali sana lakinii Video ya kijima na kishamba sana. Ukiitazama utafikiri ni Video ya Msondo ngoma ile iliyomuonyesha Kingwendu pale kariakoo amesimama barabarani.

Hebu angalia Video ya wimbo wa Diamond na Jux unaoitwa Ololufe uone wenzako walivyo serious na kazi.

Kama mlikosa hela za kutengeneza Video nzuri mngemuomba hata Diamond au Ali kiba au hata Mama.yetu Samia.

Hamjaitenndea haki nyimbo ya Mazoea
 
Nilitarajia kuona hizo pisi alizoziona harmonizr tipsy lakini matokeo yake naona vinyozi tu
1731424284563.png
 
Back
Top Bottom