dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya kuishi Dar es Salaam na kukaa Dar es salaam. Wengi wetu tunakaa Dar es salaam

    Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
  2. Vien

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

    Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam. Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026. Polisi washafika eneo la tukio...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Dar: Katiba mpya sio suluhisho la matatizo ya vijana, uwajibikaji

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed amesema; "Hata tukitengeneza Katiba Mpya leo kama watu hawatawajibika bado tutarudi kwenye suala la malalamiko kwa Wananchi"
  5. kawombe

    JamiiForums Tanzania Pesa pesa kwa wapambanaji wote ndani ya jiji la dar na nje

    Habari, Kuna uhaba wa Engine oil za magari madogo na makubwa hapa tanganyika ni kutokana na mchina ambae ni outsource kuzuiwa na mwenyewe TOTAL OIL kuzalisha. Hii ni baada ya kushindwa kuzuia oil FAKE kua nyingi kutoka uko uko china. Ivyo kama uko na pesa ndio wakati wakununua kisha weka store...
  6. under500

    JamiiForums Tanzania Jaman natafuta urafiki wa kike aliyeko Dar

    Umri awe 18-21 awe anaish dar kama yupoh AJ dm tuyajenge
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Sayansi ya Afya KAM college Kimara Korogwe Dar, es Salaam kinanyanyasa wafanyakazi wake

    Mmiliki wa chuo anawadharau waalimu na kutukana waalimu mbele ya wanafunzi jambo ambalo linapelekea waalimu kukosa sauti kwa wanafunzi. Mmiliki amegoma kulipa mishahara ya watumishi kwa mwezi wa July akidai hajafurahishwa na utendaji kazi japo yeye hakuwepo chuoni maana alisafiri. Jambo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Kilio cha Barabara ya Dege - Mbutu

    Hii ni barabara ipo Dar Es Salaam Barabara ya Dege - Mbutu, Kichangani Kata ya Somangila, Mkoa Wa Dar Es Salaam imekuwa kero kwa miaka mingi licha ya baadhi ya Viongozi wa Serikali kuja mara kwa mara pasipo utatuzi wa kilio chetu Kinachoshangaza hili barabara ni muhimu maana huku Mbutu kuna...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anazindua Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 | Ikulu Dar | 03 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika sehemu wanaoongoza kwa ku judge ni mikoani sio kwa Dar.

    Hii nafasi ya ku judge mikoani inaongoza sana.Ndio maana ngumu kutoboa au kufanikiwa kwa asilimia fulani. Mikoani mtu anaweza kujionesha yeye ni nafasi gani,wewe utakuwa hivi au wakupangie hivi. Ndio maana asilimia kubwa ya watumishi wa mikoani wamechoka sana. Kwa wananchi wa mikoani hapo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2050 majiji yatayokuwa yamejengwa zaidi kwa mapato ya mikoa mingine, mikopo na misaada ya nje ni Dar Es Salaam, Dodoma na Arusha

    Dar Es Salaam - Ni jiji lenye ofisi nyingi za uongozi wa kitaifa na East Africa commercial city Dodoma - Ni jiji linalowekewa bajet kubwa sana ili kuhamishia ofisi za serikali huko Arusha - Ni jiji linaloendelea kupata back up ya miradi kwa kuwa na hadhi ya umoja wa Afrika Mashariki na...
  12. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Natoka zangu Tabora Urambo, nikiwa Sina nauli ya kutosha kufika home Dar

    Maisha ni maudhi tu Hapo natokea huko chimbo kabsa nimepiga mkono ki gari , wamenambia nauli elf 5 mpaka hapo town yanayopatikana magari ya kuja Dar, poa nikakwea nikalipa paap nikafika hapo yanapopatikana magari Picha linaanza magari yanatokea kigoma na noma zaidi yanakuwa yamejaa , kumbuka...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dhahabu yafumuka Dar, Vijana wahini maduara.. Katoro msije

    Unahama Dar Uwende wapi? Dhahabu imetufuata yenyewe... Uzuri tuna nyenzo za kisasa. Hakuna kutumia Mundu ukija Chanika
  14. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Karibu Elite Home tuition dar es salaam

    Unatafuta mwalimu bora wa kumsaidia mtoto wako kufanya vizuri shuleni? Elite Home Tuition tunaleta walimu wenye uzoefu nyumbani kwako kwa muda unaokufaa. Huduma zetu zinapatikana kwa: Pre-School, Primary na Secondary Mitaala ya Tanzania na Cambridge Masomo yote ya Sayansi, Sanaa na Biashara...
  15. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Watoto 160 wamezaliwa kwa upandikizaji mimba

    DAR ES SALAAM; KITUO cha kupandikiza mimba cha Kairuki Green IVF (KGIVF) cha Dar es Salaam kimefikisha watoto 160 tangu kuanzishwa kwake miaka mitatu iliyopita. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa kituo hicho, Dk Clementina Kairuki wakati akizungumzia...
  16. A

    JamiiForums Tanzania EWE MKAZI WA KATORO Je, unajua sasa unaweza kusajili kampuni yako rasmi (BRELA) ndani ya siku 5 tu bila kusafiri Kwenda Dar es Salaam?

    Huhitaji tena: (i). Kupoteza siku nzima foleni (ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza (iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
  17. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

    Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma. Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mkoa unakosa maadili kama Dar?

    Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee. Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hivi wachaga kwa nini mkifiwa Dar hamweki matarumbeta

    HABARINI WACHAGA WOTE JAMVINI NIMEPATA KUHUDHURIA MISIBA KADHAA YA WACHAGA IKISAFIRISHWA KWENDA MOSHI SWALILANGU KUU JAMANI MBONA TUKIWA DAR HAMUWAWEKEI MAREHEMU MATARUMBETAA TUKIFIKA PALE HIMO AMA NJIA PANDA TUNAPOKELEWA NA MATARUMBETA KAMA YOTE??WHY??? HAMWONI HAMUWATENDEI HAKI...
  20. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Dar ukubwa unapimwa kwa muonekano ukiwa na umbo kubwa au sura ya Mujuni (baadae mpoki) shikamoo kama zote

    Unakuta mkubwa anamuamkia mdogo kisa muonekano hasa hao mabinti wa siku hizi sijui wanakula nini unakuta kazaliwa 2000 ila umbo kama mbuyu kajenga hadi kibanda Kwa wanaume ukiwa dar unatakiwa uwe na sura soft kama ya haszu la si hivyo utaogelea shikamoo za watu wa miaka 70 hukoo.
Back
Top Bottom