Kwa madaktari wa mifugo wa Dar es salaam

Kwa madaktari wa mifugo wa Dar es salaam

Clark cian

Senior Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
198
Reaction score
226
Habarini za muda WanaJamiiForums.

Mimi ni kijana ninayesomea udaktari wa mifugo( BVM) chuo kikuu cha kilimo SUA mwaka wa mwisho.
Kwa sasa nipo dar es salaam Kwa mafunzo ya vitendo (Field Attachment ) ili niweze kukamilisha elimu yangu hii ya miaka mitano.

Nilikuwa naomba Sana nafasi ya kuweka kupata experience,knowledge na the way service zinavyofanyika hata Kwa siku Moja Kwa daktari yeyote ( since am passion,Strong and flexible) ili niweze kuifanya kama outreach yangu hivyo niweze kukamilisha matakwa ya Chuo na taaluma yangu Kwa Jumla.

Asanteni!!!
 
Umeshafanya uterus prolapse dogo Cesarian section je ? ungeenda vijijini
Na sio vijiji vyote, angeenda moshi vijijini, rombo , sia , na hai ndio ana weza pata pesa ya maana kwa kazi yake
 
Back
Top Bottom