dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa bajaji na boda boda katika jiji la Dar

    Kwa mamlaka husika LATRA na wasaidizi wake likiwemo jeshi la polisi lenye mamlaka ya kulinda na kuhifadhi mali za raia, wameshindwa vipi kuvidhibiti vyombo hivi tajwa haswa katikati ya jiji na viunga vyake. Maana tukiachilia mbali ajali tunazo ziona kila siku barabrani vijana wengi kuumia na...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dar (UDSM) kinatimiza miak 65 (25.10.2026) mbona hamna hata mdahalo? Kulikoni?

    Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria wa basi la Nayrah T 103 EGM Arusha to Dar es salaam hatujatendewa haki

    Basi letu limekamatwa Mlandizi kwa kosa la ku-overtake. Tupo kituo cha polisi tangu saa 11 jioni hadi sasa saa 1 usiku, bila kupewa taarifa yoyote kuhusu kinachoendelea. Kwenye basi kuna watoto na wazee ambao wanapata shida. Tunaomba wahusika watusaidie na kutoa taarifa kuhusu hatua...
  4. radhiya

    JamiiForums Tanzania Apartment For Sale at Upanga Dar Apartments

    Apartment For Sale in Dar Apartments (Opp Dawasco) at Upanga. -It's 222 SQM (4-bedroom Duplex). -Lower Floor - 1 ROOM + 1 Bathroom (Shared). -Upper Floor - 3 Rooms all en-suite. -Higher floor (9th/10th). Asking price $260,000 NET (Slightly negotiable). Unit title available. Service charge TZS...
  5. Msolid1990

    JamiiForums Tanzania Kila Mkazi awe Mlinzi, tugawanye Miji katika maeneo ya Uwajibikaji ili kutokomeza Uchafu Dar na Miji mingine

    Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza mpango wa kusimamia usafi na kupiga vita utupaji taka ovyo baada ya maelekezo ya Mh. Raisi. Ni hatua ya kupongezwa. Lakini ukweli tunaoujua sote ni kwamba kampeni za usafi huja na kuondoka — kinachokosekana ni mfumo wa kudumu unaomfanya...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Dar ina wanaume wengi zaidi wenye hulka za kike (feminine)?

    Kwa nini Dar ina kundi kubwa la wanaume wenye hulka/ mienendo/ tabia za kike (feminine characters) ?
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania New Dar Es salaam yote leo imehamia Kiwalani.. Kiwalani wameweza sana leo

    Dar el salaam mpya ( New Dar Es Salaam) yote Leo imehamia Kiwalani kuanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili. Kama hukuwa Kiwalani Leo mida hiyo I have very little to tell you. U were supposed to be there.. # Kiwaside Halla. #Mascombisco. New Dar Es salaam = Back City ( Mbagala), Chanika...
  8. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania JKN (DAR) Airport Ijiimarishe Zaidi Kwenye Huduma za Wateja

    JKN Airport (DAR) bado ina mapundufu makubwa sana kwenye nyanya za kimataifa ila mimi binafsi ninakerwa na hizi tatu: (a) Kutokuwa na mfumio unform wa kuhudumia wateja. JKN sasa hivi hutoa upendela wa wazi wazi kwa wachina kuliko mteja yeyote. Mnajipanga kwenye foleni moja, halafu mchina aliyeko...
  9. Agent Smith

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Mbezi, Dar es salaam. Natafuta kibarua

    Mimi ni kijana wa kiume naishi Mbezi, magari saba. Natafuta kazi yoyote halali inayofundishika.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hapa Mbuyuni-Salasala, Dar kuna baa mpya inakera kwa kelele mpaka usiku wa manane

    Mimi ni mkazi wa Mbuyuni-Salasala, Dar es Salaam. Kuna baa mpya imeanzishwa takribani miezi miwili na nusu iliyopita, ikiwa kwenye ghorofa, na imekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo ya jirani. Muziki unaopigwa kwa sauti kubwa huendelea hadi usiku wa manane, hali inayofanya iwe vigumu kupata...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Madereva Dar kufungiwa Leseni!

    Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati. 1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali bila msingi wowote. 2. Maderva wa bajaji , mbezi -gerezani wao wanaendesha pole pole na wanakaa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kusafisha Mto Ng'ombe (Dar) kisha kuweka uchafu kwenye milango ya makazi ya watu sio salama kiafya

    Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali hatarishi kiafya.
  13. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake. Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho...
  14. R

    JamiiForums Tanzania "Mshindi ni Nani" Kipindi cha zamani Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD)

    Wahenga, miaka ya zamani nikiwa kama msikilizaji nguli wa RTD kuna kipindi nilikuwa nakipenda sana kiliitwa Mshindi ni Nani. Wakati kile kipindi kinaanza, kulikuwa na biti moja kali sana halafu unasikia kama mtu anapiga yowe "uuuuuwih...yau...yauyau" halafu ndo inakuja sauti ya kike kwa madaha...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanausalama wa Barabarani Dar waache kutengeneza mazingira magumu kwa madereva Bajaj

    Kero yangu ni upande wa Traffic Polisi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, hivi kwanini wanakazia sana kupewa rushwa tena wanaomba kiasi kikubwa cha fedha, kikikosekana wanakuandikia fine kubwa ya makosa kuanzia matano. Changamoto hiyo inawakuta hawa wenye magari na madereva wa Bajaj, mfano sisi watu wa...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli bandari ya Dar es Salaam inahitaji kuongezewa eneo

    Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari...
  17. Club Mate

    JamiiForums Tanzania HOJA Maghorofa ya Samia Kawe kugeuzwa AirBnB? Hivi hawaoni Janga la Makazi linalotishia Dar? Je, mlengwa ni nani?

    Habari wakuu, majuzi nikiwa naperuzi insta nilikutana na tangazo la dalali la apartment ya AirBnB. Nilikuwa tayari nimeshapita, lakini nikastuka baada ya kugundua kuwa jengo lile ni la mradi wa Samia Housing Scheme uliopo pale Kawe. Swali likanijia mara moja: Hivi hizi nyumba tunawajengea kina...
  18. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya uchomaji taka (kusoma matakataka) kwenye makazi ya watu hapa Dar es Salaam

    Wakuu, habari za mchana huu. Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka." Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
  19. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

    Yes sir. Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently. Fikiria hivi. You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend. 1. Assume unaishi Dar bado hujajenga. Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya magari Mwenge, Dar yaendelea kuwa kero kwa wananchi

    Barabara ya Mwenge, ambayo ni miongoni mwa makutano makuu na muhimu zaidi jijini Dar es Salaam, inaendelea kushuhudia msongamano mkubwa wa magari, hasa wakati wa asubuhi na jioni. Eneo hili linalounganisha Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo, na Sam Nujoma ni kiungo muhimu sana cha usafiri...
Back
Top Bottom