Baba Ntoto
New Member
- Oct 28, 2020
- 2
- 0
Ni kweli Kibamba Kuna maji na Kwa sehemu kubwa ndipo wanapoyatoa maji wanayotuuzia. Changamoto ya maji ni kubwa sana Kwa Dar kuliko Mwanza. Watu wananyia maji siasaEneo ninaloishi ni daresalama hii hii sijawahi kuona maji yamekatika huu mwaka wa tatu na wala si mbezi beach wala kigamboni.
Mbezi na watoto wake, kimara yote, ubungo yote, kinyerezi na watoto wake shida ya maji lazima ikukumbe tu iwe leo ama kesho ipo siku utakuta hayapo.
Hamia Kiluvya ama Kibamba utanishukuru acha kukaa sehemu zenye shida ya maji toka Rais anaitwa Mkapa shida yao huwa ni hiyohiyo