dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH) hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa. Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
  2. Kelela

    JamiiForums Tanzania Dar hadi Musoma kwa gari binafsi ni masaa mangapi?

    Wakuu Kwema? Naomba aliyewahi kusafiri kwa gari binafsi Dar to Musoma au Musoma to Dar alitumia masaa mangapi? Nataka kupata experience. Maana nilisafiri kwa Bus nilitumia masaa 22 sio poa.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tarimba: Miaka 60 ya uhuru Dar es Saalam bado kuna shida ya maji, tusichukulie poa

    Akizungumza katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili kikao cha saba leo Februari 4, 2026, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Tarimba Gulam Abbas amesema ni miaka sistini ya uhuru lakini jiji la Dar es Salaam bado inachangamoto ya maji, amesisitiza katika mpango wa maendele ya serikali kuweza kuzingatia...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Mbezi, Dar es Salaam: Hatuna maji, Wanawake na Watoto tunateseka

    https://www.youtube.com/watch?v=3QM423d5K-8 Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mbezi, jijini Dar es Salaam, wamelalamikia ukosefu wa maji katika mitaa yao, hali wanayosema imekuwa changamoto kubwa kwa wananchi, hususan Wanawake na Watoto. Wananchi hao wametoa wito kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Lenzi za Taa za Nyuma Subaru Impreza 2012 – Dar es Salaam

    Habari wanajukwaa. Kama title inavyojieleza, naomba msaada kujua ni wapi hapa Dar es Salaam ninaweza kupata lenzi za taa za nyuma kwa gari aina ya Subaru Impreza ya mwaka 2012. Kama kuna duka, fundi, au mtu yeyote anayefahamu sehemu sahihi, naomba anishauri. Natanguliza shukrani. Naamini kupitia...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ingizo la DP World Lawa Kimbilio Kwa Wasafirishaji.Tani Milioni 28 Zaingiza Mapato Trilioni 14 kupitia Bandari ya Dar

    My Take Kama sio juhudi za mageuzi ya kiuchumi za Rais Samia Leo Bandari ya Dar ingekimbiwa na wateja Kwa sababu za kipuuzi za miaka yote huku wanaojiita Wazalendo walishindwa kutoa suluhisho. Hivi navyoandika hapa Kwa mwaka huu wa 2025/26 tayari Kuna ongezeko la Mizigo Kwa zaidi ya asilimia...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Samaki Fresh toka Mwanza zimeingia leo kg 13000 ukinununua zaidi ya kg 10.. Unaletewa bure ulipo Dar

    TUPAMBANE TUKIWA HAI WAPENDWA KIJANA WETU AMEINGIA NA MZIGO.MWINGI TU WA SAMAKI TOKA MWANZA SANGARA KG 13000 UKINUNUA ZAIDI YA KG 10 UNALETEWA BURE CONT 0783 80 52 14 Past DICKSON Ukiitaji na Sato kama zitakuwa hazinaisha anakuketea ulipo Mungu awabariki
  8. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nautafuta WIMBO...mwaka 2012,2013 WAPO Radio Dar

    Naam huu wimbo ulikuwa unapigwa sana WAPO Radio Dar el Salaam Miaka ya 2013 na 2012 mwishoni...,, Una mahadhi ya kama nyimbo za South vilee.... MANENO YAKE Baba nipe Roho wako Aniongoze,anifundishe Bwana Yesu nipo Roho Akae ndani yangu Sasa kina nani wameuimba...sijui Nitaupata wapi?,,,sijui...
  9. Chibike

    JamiiForums Tanzania Ndege za UFO/UAP's zimethibitishwa zinaweza kutembea kwa spidi ya ajabu, km 64,000 kwa lisaa, DAR Hadi MWANZA kinatumia dakika 1 na sekunde Moja.

    Nimekua nafuatilia sakata hili la UFO ama Aliens majina ambayo yamezoeleka na wengi kua ni viumbe ambavyo inasemekana vipo vinaishi na sisi SEHEMU ambayo pengine binadamu wa kawaida hatuwezi kufika pengine bila msaada wao. Sakata hili naona limechukua sura mpya Sasa huko marekani Kuna watu...
  10. Kelela

    JamiiForums Tanzania Basi ya Kampuni Gani Lipo Vizuri Dar es Salaam to Musoma Kupitia Kiabakari?

    Naomba kujulisha nataka kukata tiketi, kampuni gani ipo vizuri kwa ruti hiyo ambayo hawana ubabaishaji?
  11. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa Dar sio wazuri

    Ukitaka warembo nenda kinijini huko, ndani ndani kabisa huko ndio wapo wanawake kweli sio wa hapa dar
  12. emmarki

    JamiiForums Tanzania Ofisi na karakana za SIDO Dar naomba kuelekezwa zilipo

    Wakuu, Naomba kuelekezwa mahali zilipo karakana na ofisi za SIDO Dar es Salaam. Natokea Kimara, kwa usafiri wetu wa daladala nipande za kwensa wapi hadi nifike. Msaada tafadhali
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wahaya wamepinda, ndege zote Bukoba to Dar zimejaa mpaka Lyamba!

    Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.! Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays! Tutajuta kwenda huko! Ngoja nipande Katarama Bus 😅😄😃😁
  14. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mna kazi sana mtafika mmechoka

    Hapo ni nyie ndo mnapajua yani ni heka heka kila siku 😂 hiyo yote kuwavuta kwenye chambo, Kuna mwingine ana mafuta ya nazi yani ni balaa😂 jua kwenu ni Kali sana
  15. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa IST Dar wafikiwa

    Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Jiji hilo Ndugu Elihuruma Mabelya amesema, wameandaa tamasha la IST ambalo limelenga kukutanisha vijana wa vyuo mbalimbali kwa lengo la upimaji wa afya bure na kutengeneza fursa tofauti. Soma pia: Wanaosema ist sio gari...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuku wakuchoma wakienyeji Dar wapi wanauza?

    Habar wakuu naomba mnijuze sehemu Gani dar ntapata kuku wakuchoma wakienyeji na ndizi choma,,msaada wenu
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Mikoa / Wilaya za Dar es Salaam na Makabila

    ♤ Ilala Maeneo: Kariakoo, Buguruni, Ukonga, Kinyerezi, Tabata Makabila yanayopatikana: Zaramo Ndengereko Matumbi Makonde Nyamwezi Sukuma Chaga Hehe ☆ Kinondoni Maeneo: Sinza, Mwananyamala, Mikocheni, Msasani, Kimara, Kawe Makabila: Zaramo (wenyeji wakuu) Luguru Chaga Haya Hehe...
  18. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

    Wakuu habariii, Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa naomba msaada kwa wamliokuwa nje ya dar naombeni mnisaidie kuniunganisha na ma binti wale waliokuwa...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanashindwa Kuvuta Maji kutoka Dar km 67 tu? Wanakazana kujenga Misikiti

    Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe) Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali. Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you! Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la...
  20. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
Back
Top Bottom