dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Dar haiwezi kuwa na bus stand Moja tu, Chalamila amewaza kupata Kodi sio huduma Bora Kwa abiria

    Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno 1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala 2 Mtu anaenda Tanga, Moshi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, RC Chalamila kupitia zogo hil la stendi ni mzani wake wa mwisho kwamba huyu hatoshi kuwa RC DAR (Tumbua mama)

    Naomba kufikisha salaam kwa Rais Samia kuhusu Sakata la stendi ya magufuli! Wamiliki wa mabasi wametumia kila njia kuomba kuonana na mkuu wa mkoa ili yafanyike mazungumzo kabla ya zoezi lakini ilishindikana. Wananchi pamoja na wamiliki wa mabasi tumetoa maoni kupitia vyomba vya habari lakini...
  3. MSUKUMA02

    JamiiForums Tanzania Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

    Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mabasi yote yaende Stendi ya Magufuli, kama huwezi ondoka Dar Es Salaam hupawezi

    Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji. Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi...
  5. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Dar yenye heshima, hadhi inawezekana

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametamka kuwa lazima wairejeshe Dar es Salaam yenye hadhi, heshima na kwamba kila kitu kikae mahali pake. Kwa mujibu wa Chalamila, hali ya uholela kwa kila kitu Dar es Salaam imetosha na aliahidi katika hili hataki mzaha. Ametamka haya baada ya...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Yajue maeneo ambayo ni marufuku kupiga picha Dar es Salaam

    Kabla sijaenda naomba kwanza nisahihishe jambo moja muhimu: si sahihi kusema kwamba kila eneo hapa chini lina sheria ya jumla inayosema “hairuhusiwi kupiga picha.” Baadhi ni maeneo nyeti ambayo hupaswi kupiga picha bila ruhusa, na baadhi yana restrictions maalumu, hasa maeneo ya kijeshi na...
  7. polokwane

    JamiiForums Tanzania Tufanye ufuatiliaji kwa kijana aliye ongea na RC. Dar leo kujua usalama wake wakati wote

    Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
  8. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa SERIKALI kuhusu FOLENI ZA dar! Mkipuuzia hii basi nyie wendawazimu

    1. Wenye ICD za DAR wapewe VIZIMBA HUKO KWALA halafu ICD za mjini zoote zitoke SERIKALI aifanye biashara ya ICD ikusanywe Kodi Kwa kukodisha! 2. Kuna NJIA ilikuwa inatumiwa na SGR wakati wa ujenz wake! Iwekewe LAMI iwe ya maroli ya mafuta na ya KUBEBA visivyopelekeka ICD ijengwe mpaka chalinze...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Stendi Kuu na Vituo vya Makontena (ICD) vya Kimkakati kama Suluhisho la Kudumu la Msongamano Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari na foleni za muda mrefu zinazosababisha hasara kubwa ya kifedha kila siku na kuchelewesha shughuli za kiuchumi. Sababu kuu ya changamoto hii ni mfumo wa sasa wa miundombinu unaolazimisha mabasi mengi ya mikoani na...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 (IWTz2026) yazinduliwa Dar, kuangazia DIRA 2050

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk. Tausi Kida (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa ubunifu wakati wa uzinduzi rasmi wa Wiki ya Ubunifu Tanzania (IWTz 2026) inayotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji Dar: Hatukamati Wanaoshusha au kupakia abiria bali wanaoegesha kabisa

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa ufafanuzi kuhusu uendeshaji, utaratibu wa maegesho, pamoja na utozaji wa faini kwa vyombo vya usafiri wa umma, hasa pikipiki za miguu miwili (bodaboda) na miguu mitatu (bajaji), ili kuondoa taharuki na usumbufu kwa madereva pamoja na wananchi. Akijibu...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Boda , Bajaji na Maguta Walalama kudharauliwa Dar es salaam!

    Wamiliki na waheshimiwa maafisa usafirishaji wanaotumia Bodaboda, Guta na Bajaji walalamikia dharau dhidi yao kuonekana hawawezi kulipa tozo za maegesho . Wamesema kwa siku wanaingiza zaidi ya Elfu 50 na kiwango cha chini ni elfu 30 kwa siku , tajiri anapewa 15 na dereva anakula 30. Kwa Bajaji...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Ubunifu yazinduliwa Dar, kuangazia DIRA 2050

    Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 (IWTz2026) imezinduliwa rasmi, ikiashiria mwanzo wa uhamasishaji wa kitaifa wa wavumbuzi, wajasiriamali, watunga sera, wawekezaji, watafiti, washirika wa maendeleo, watendaji wa sekta binafsi na wadau wengine siku chache kablaya jukwaa kuu la uvumbuzi nchini...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Dar es Salaam karibu kila sehemu imegeuzwa kuwa bandari kavu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema licha ya Serikali kujenga Bandari ya Kwala bado Jiji la Dar es Salaam sehemu nyingi kumegeuzwa kuwa bandari kavu (ICDs). "Kuna watu wanahujumu uchumi wa nchi. Kwa sababu kwa mfano, Dar es Salaam sasa hivi...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es salaam linatakiwa kuwa na stendi 7 au 8

    Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8 Mbezi Ubungo Chanika Mbagala Kigamboni Kigamboni Tegeta bunju Kinondoni Na hizo stendi kuwe na private terminal mfano wa zile zilizopo shekilango
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, iwe dukani, kampuni au udalali

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi niko Dar. Ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya

    Habari wakuu Naomba msaada wa taarifa za kazi/vibarua vya haraka jijini Dar es Salaam. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, na kwa sasa nipo Dar nikisubiri muda wa mafunzo kwa vitendo (Novemba). Nina uzoefu wa: Kuunda...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar watu mil 1 wabunge 50, kila mmoja mshahara Mil 500 kwa mwaka sawa na Bil 25, Dar watu Mil 7-8 wabunge 10 tu!

    Zanzibar inatunyonya sana jaribu kufikiria eti wabunge 10 wanawakilisha watu milioni 7 hadi 8 na wazanzibari wapatao 50 wako bunge la Dodoma kuwakilisha wazanzibari wapatao milioni 1. Hapa nimeongelea wabunge tu lakini kama tujuavyo mbali ya wabunge tuna watendaji wengi wa ngazi mbalimbali za...
  20. Stability

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya kuishi Dar es Salaam na kukaa Dar es salaam. Wengi wetu tunakaa Dar es salaam

    Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
Back
Top Bottom