dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Wasafirishaji wa Dar es Salaam wakataa kutumiwa kufanya maandamano ya kiharifu

    Kanusho bodaboda,bajaj na daladala hawaja tangaza kuuunga maandamano aidha wanawasihi wananchi kuyapinga kqa kuwa wao bila watu kwenda kutafuta hawapati chochote kitu
  2. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata hivi vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam?

    Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa. Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAR: Wizara ya Ardhi yatoa Hati zaidi ya 470, Waziri Dkt Akwilapo ahimiza ufanisi, Haki na weledi katika utoaji wa huduma

    Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo, Julai 5, 2026...
  4. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Wazazi mabinti zenu waliokuja kutafuta maisha Dar hela wanazowatumia wanazipata kwa tabu

    Nimeona hiki kitu leo nikizungumzie kwa sababu kinaniumiza sana. Mimi sehemu ninayo ishi kuna mabinti watano wame panga chumba kimoja, hawa mabinti umri wao ni kuanzia miaka 19 mpaka 25. Kilicho fanya niandike huu ujumbe ni kuwa, hawa mabinti wakiwa wana wasiliana na ndugu zao mkoani wana...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Serikali imalize mgao wa maji Dar, Wananchi hawawezi kuendelea kubebeshwa gharama za uzembe na ufisadi

    ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plots For Sale at Dar es Salaam

    Don't miss out this rare opportunity to secure prime real estate in Dar es Salaam. Plots available for sale; Location: Dar es Salaam areas. •Mbagala Chamazi: Industrial area, 14km from Kilwa rd, 11 acres(SQM 42,308), USD 8M, Title Deed. •Kisemvule: Industrial area, 400m from Kilwa rd, 3.5...
  7. Greg50

    JamiiForums Tanzania Dar karibuni kitimoto

    Bango linajieleza kwa wale wa Dar na Pwani
  8. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kufungwa kwa baadhi ya bar kubwa Dar ni fursa ya kupanga upya jiji, si kuua biashara

    Hatua ya mamlaka kufunga baadhi ya bar zilizokuwa zikisababisha kelele na usumbufu kwa wakazi imezua mjadala mkubwa. Lengo halipaswi kuwa kupinga burudani, bali kutafuta namna bora ya kuifanya iendane na ustawi wa jiji. Kwa mtazamo wangu, badala ya kuruhusu kumbi kubwa za burudani kuendelea...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Makaburi gani mazuri kwa kuzikia ndugu Dar bila kukutana na usumbufu?

    Habarini za jioni, asubuhi na mchana kwa walio huko mawindoni. Nimewiwa kuuliza hili swali maana hivi majuzi nilifululiza kuzika ndugu na marafiki. Katika kuchimba kaburi nimekutana na changamoto nyingi sana. Wakati wa kuchimba, wengine wanakutana na mifupa, wengine wanakutana na mafuvu...
  10. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Dar: Marekani Kutoa $3.14 billion kusaidia sekta ya Afya

    Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili. Makubaliano...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Dar es Salaam | 01 Julai, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=k_vjhqNEwi4&pp=0gcJCU4LAYcqIYzv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha Viongozi Wateule, 01 Julai, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
  12. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Wanaochafua Dar es salaam ni hawa watatu

    1. Mabango ya manabii/wachungaj 2. Mabango ya CCM 3. Matangazo ya waganga Yani kila sehemu yapi ovyoovyo, nchi haina utaratibu kabsa kama tunaishi porini. Huwez kukuta ujinga huu kwa watu wanaojtambua hata mara moja Kila kituo cha daladala, stend ya mabus , pembezoni mwa barabara hizo takataka...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Dar na mikoani ndio inafanya vijana na wengine kukimbilia Dar

    kuna jambo ambalo wanaoishi mikoani wata tupa mrejesho ijalishi ni mtumishi,umejiajili au umekwenda kutafuta maisha. Kitu ambacho nimegundua mikoa yote ya tanzania ondoa dar kuna unyanyasaji wa kumuona mwenzake kashindwa au anguko lake ukilinganisha na Dar . Dar hata kama umekuja na roli la...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Baadhi ya maeneo Dar na Zanzibar yakosa umeme kutokana na hitilafu Kituo cha kupoza umeme Ubungo

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam na Visiwa vya Zanzibar kuwa kumetokea hitilafu ya dharula ya kiufundi katika moja ya transfoma kwenye Kituo cha chetu cha Kupoza Umeme cha Ubungo baada ya waya kukatika na kusababisha...
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Baada ya maisha kunichapa haswa mkoani, sasa nakuja Dar es Salaam kuanza from zero. Nipe neno lolote

    Maisha ya mkoani shikamooo Hakuna connection Hakuna dili za kutosha Kazi ngumu malipo hafifu Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta Nipe connection ushauri nk Karibu
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Alhaji Aliko Dangote, Ikulu na timu yake Ikulu ya Dar, leo Juni 28, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Je, ni kweli hao ni bodaboda kutoka jijini Dar es Salaam?

    Kumeibuka video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) ikionyesha idadi kubwa ya waendesha bodaboda wakiwa barabarani wakitekeleza shughuli zao za kawaida. Mojawapo ya machapisho yanayosambaza video hiyo linadai kuwa watu wanao onekana ni maafisa wa usafirishaji...
  18. Fene

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya taifa hayakai Dar pekee

    Kuna mtazamo umejengeka kwa muda mrefu kwamba mtu akiishi Dar es Salaam ndiye amefanikiwa zaidi au ndiye mwenye akili ya kutafuta maisha kuliko wengine. Mtazamo huu si sahihi na una madhara makubwa kwa maendeleo ya Taifa letu. Dar es Salaam ni jiji muhimu kiuchumi, lakini Tanzania ni kubwa...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Silent Inn Mwenge: Starehe za Dar miaka ya 1990-kwa Freddy Rwegasira!

    Nakumbuka enzi zile kila Ijumaa,Faculty Day bonanza,wanavyuo wote wa Dar wanasombwa na mabasi bure wanaletwa New Silent Inn Mwenge.Kiingilio buku,anaanza DJ Fast Eddy kisha kwenye mida ya tano hivi wanapanda Diamond Sound Band "Ikibinda Nkoi".Wakishuka jukwaani Fast Eddy anamalizia...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunasota kupata Visa ya China hapa Dar, tunawahi foleni lakini siku ya tatu sasa hatupati huduma

    Kuna ugumu wa kupata Visa ya kwenda China kutoka hapa nchini, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wengi. Tunalazimika kuamka saa tisa usiku ili kuwahi foleni, lakini hata hivyo hatufanikiwi kupata huduma tunazotarajia, baadhi ya waombaji tumeomba kwa siku ya tatu mfululizo bila...
Back
Top Bottom