Nafasi ya kujitolea hospitali yoyote jijini Dar es Salaam

Mdada96

Member
Aug 15, 2017
76
153
Habari zenu wakuu,

Napost humu kwa mana najua kuna watu tofauti tofauti umu ambao wanajuana na watu ,ama wamiliki wa hosptali za binafsi.

Mimi ni muuguzi na mkunga natafuta sehemu ya kujitolea hospitali ama clinic yoyote yenye uhitaji wa waauguzi kwa sasa na nipo tayari kulipwa kama Medical Attendant kwa muda huu ambao nasubiri my lcnc😊😊

Natanguliza shukrani wakuu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom