Uliza swali lolote juu ya kusafirisha mizigo toka Dar es Salaam kwenda Mikoani

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,195
1,661
Uchaguzi wa Njia ya usafirishaji hutegemea mambo yafuatayo
- 1. Thamani ya mzigo
- 2. Ukubwa wa mzigo

Mizigo yenye thamani kubwa na midogo chini ya KG 2, safirisha kwa njia ya EMS - Ni hakika na salama, mzigo utamfikia mlegwa kwa wakati.

Kwa mizigo mikubwa bila kujari thamani yake, Njia hizi hufaa zaidi.
1.- Njia ya posta - parcel

2. Kutuma kwa malori au Noah- Hasa mizigo mikubwa ambayo huwezi safirisha kwa njia tajwa hapo juu. Usafiri huu hupatikana zaidi maeneo ya Kidongo chekundu( Jakaya Kikwete Park), Buguruni , Jangwani, Kimara Baruti,

3.- Kutuma Kwa mabasi

-TAHMEED COACH-Dar Express-Dar lux-Matiku-Emigrace-Nyamanza-Muck-Lufumbe-Lamigo-Super sonic-Hg-Baraka-Marangu coach-Mvungi-Jmc-Shengzou-Prezdar-Tilisho-Nkondo-God is one-Bright line-Top maskary-Sajda-Ruchoro-Ncheye-Johamvia-Ruksa-Royal udzungwa-ExtraNgasamo-Amazon-Fikoshi-Easther-Appolo-Kilimanjaro Express-Abood bus-Metro Express-Sumry High Class-Akamba-Kampala coach-Shabiby Line-Princes Muro-Ngorika-Buffalo coach-Saibaba Express-Fresh coach-Spider-Simba coach-Mombasa raha-Happy Nation-Ibra Line-Simba mtoto-Mbeya Express-Taqwa-Upendo coach-Super Feo-Robin top line-New Force-Moro best-Champion-Al saedy-Allys sports-King cross-Mwafrika-Abs coach-Tawakal-Raqib-Moud raha-Mabrouck-Fasaha-Arusha Express-Urio trans-Ngwalu express-Chaula trans-Islam-Skyline Express-Chakito long way bus-Arusha express-Best line-Super sonic exp-Leina tours-Ilasi express-Shabco-Nganga express-Jordan express-Batco coach-Zuberi-Super najimunisa-Sharon-Dear babu-Mohamed invenstments-Masama investments-Rafiki trans-Shambalai-Ng'itu-Shobnaz-Safari coach-Mbazi travel-Kvc safari-Pole pole-Perfect trans-Lucky star-Bunda express-Tonda express-Deluxe-R.s investments-Kimambo-Seth express-Tayassar-Zakaria express-Green star-Hajee's-Grazia-Luwinzo-Osaka-Harambee coach-Shabaha promise-Fasaha-Budget-Satellite coach-A.M coach-Air born city-Air busTashriff-Raha leo-Freys coach-Coast line-NBS coach-Mghamba trans-Dolphin-Lakrome-Bembea-Meridian coach-Perfect trans

KAMPUNI ZA MABASI ZILIZOSTAAFU/ RETIRED COMPANIES:
-Scandinavia Express-Air Msae-Royal Coach-Satelite-Zainabu-Kwacha-Kizota line-Sabco limited-Embakasi express-Comfort Express-Chatco chater-Hood Limited-Mohamed Trans

Muhimu:
Kumshirikisha mwenye mzigo, atapendekeza njia ipi itumike , kati ya hizo zilizopo, hii hutegemea mahala alipo na aina ya mzigo husika.

Kwa msaaada zaidi piga 0713039875
 
Sijaona magar ya kusini hapo yamkini ungenishawishi nisafirishe robota langu kwa gar tajwa.
 
Mkuu mimi nikisafirisha mizigo mikubwa naendaga pale K.koo mtaa wa mafia na bonde/maputo karibu na ule msikiti sijui ni wa idrisa
 
Kusafirisha godoro la tano Kwa sita pamoja na kitanda kutoka Tarime to Dodoma Shillings ngapi?
 
Waone ofisi za mabasi hapo Musoma. Sisi tumejikita kutoka Dar kwenda mikoani
Kusafirisha godoro la tano Kwa sita pamoja na kitanda kutoka Tarime to Dodoma Shillings ngapi.
 
Mfano kuhamisha ‘vitu vya ndani’ kama masofa, kabati, vitanda, meza, viti na vyote yaani, nahitaji kuhama na yo ila huwa nahofia usumbufu na hasara kuvunja vitu.... kuuza pia naona ni hasara tu.

Hebu nipe uwezekano wa hili, pia ni wazo zuri.?

Hapo ni Dar to Mza.
 
Naomba kujua nataka nisafirishe gari yaan sitaki liendeshwe nataka libebwe so niwaone akina nani wanaodeal na hii kitu?
 
Je kuna Tahmeed inayokuja kanda ya ziwa? Je nikitaka kupakilia nzigo nairobi kwenye Tahmeed,unanifikia vipi hapa maswa?
 
Back
Top Bottom