Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,807
11,969

1592573939547.png

1592573854302.png

1592573211511.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.

1592573566100.png
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James kuhusu changamoto ya Usafiri wa Bajaji aliyokuwa akiomba kupewa ili imsaidie kuendesha familia yake.

1592573277684.png
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Nyangoma James Mama mwenye Ulemavu wa miguu msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha Maisha yake. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Mchango kwa Wananchi wengine ambapo waliahidi kumchangia mama huyo kiasi cha Shilingi Milioni 3.

1592573405646.png
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5. kushoto aliyekaa ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makore

1592573476821.png
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji.

1592573659885.png
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa hamasa pamoja na Wananchi wa Ubungo mara baada ya kuwahutubia.

1592573706372.png
1592573716460.png
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Ubungo Darajani mara baada ya kuzungumza na Wananchi.

PICHA NA IKULU
 
Mutu ya watu
 
Naona kampeni zimeanza rasmi....
Ni wakati sasa wa CHADEMA kuanza mchakato wa kuteua jina haraka iwezekanavyo ili liwe kinywani mwa Watanzania wapenda maendeleo na sio kumuona huyu kiumbe cha ajabu kutanua tuu hapa Dar....
Ni muda wa kucheza turufu kiumaridadi kabisa wazee wa CHADEMA
 
Hizo pesa anatoaga wapi?

Halafu usalama wa apewaye ukoje? Maana anapewa hadharani watu wenye nia ovu wanaona kabisa kakabidhiwa mzigo. Ukizingatia ni mlemavu hata uwezo wa kujitetea ni mdogo.
 
Kwani mkuu ana raba pea moja hiyohiyo pamoja na jaketi moja tu...???
Wasaidizi wake, ebu oneni aibu basi...
 
Back
Top Bottom