Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Habari wadau.
Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm.
Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo.
Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu...
MAMANTILIE
Hii ni biashara ambayo watu wamekua wakiuchukulia kawaida lakini imetoa ajira kwa watu wengi katika miji mingi na Leo hii watu wamenufaika sana hivo kwa mtu ambae unahitaji kubadili maisha take kwa namna moja ama nyingine anapaswa kufatilia nakara hii ambayo itakujenga na utafanikiwa...
Maeneo mbalimbali Nchini yanatarajiwa kuwa na Hali ya Baridi, ikielezwa Mkoani Mbeya kiwango cha chini cha joto kinatarajiwa kufikia 10°C, Iringa 11°C, Arusha 14°C, Njombe 06°C na Dar 19°C
Utabiri wa TMA kwa saa 24 zijazo umetoa tahadhari ya vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa...
Wadau ukipita sehemu nyingi Dar es salaam yani kwenye mitaa na makazi ya watu unakuta madirisha mengi ambapo nyavu au wavu ukiwa umechanwa ukionesha kuwa kuna wizi ulishawahi tokea
Wezi hao hutumia usiku wa manane kuwa ni nyakati ambazo wananchi wengi wamekuwa wamelala, hutumia dawa kama spray...
Zaidi ya ndoa 365 zimevunjika katika Manispaa ya Temeke katika kipindi cha kuanzia mwaka 2021 hadi Julai 2022.
Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Temeke, Lilian Mafole na kusema chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hizo ni mifarakano, wivu wa mapenzi na kipato duni.
Afisa Ustawi amesema kutokana na...
Habari JF,
Dar es salaam ni Jiji lenye mambo mengi sana kuliko mikoa mingi na Majiji mengi Duniani
Binafsi nkiondoka Dar huwa namiss vingi sana ingawa vingine vibaya kama warembo wa usiku Buguruni, vibaka, foleni barabarani etc
Je, wewe unamiss kipi?
Wakuu naomba msaada wenu. Nataka niwapeleke watoto wangu wawili kwenye tuition centre nzuri hapa Dar wakati wa likizo hii ya summer, kwa Masomo ya science: physics. Chemistry, maths na biology. O level form 3 Naomba ni fahamu bei yake ya kila somo pia. Natanguliza shukran
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa tisa (9) kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi. Tukio hilo limetokea Tarehe 22/07/2022 majira ya saa 9:40 usiku maeneo ya kiwanda cha SHERI Automotive Germany Barabara ya Mbozi Keko Wilaya ya Temeke.
Jeshi...
Klabu ya Mchezo wa Karate ya Scorpion ya Jijini Dar es Salaam, imefanikiwa kutoa mikanda Meusi (Black Belt) kwa wanafunzi wa mchezo huo.
Mkufunzi mkuu wa klabu ya Scorpion, Sensei Jerome George Mhagama amewataka wanafunzi hao wa mchezo wa karate, kuendelea kujifunza mchezo huo kwani bado...
Nikiwa Kariakoo majira ya saa 18:30 nikaona kiza cha ghafla! Si kawaida kukuta kariakoo yote haina umeme ila kadri nilivyosogea mpaka mtaa wa kongo nikakuta hali hiyohiyo ya kiza, kupiga simu home Tabata naambiwa nako hakuna Umeme anzia jioni!
Kuna nn leo ndani ya Jiji la Dar es Salaam?
Ni hivi kuna mtoto wa tajiri mmoja aishie Oman mwenye asili ya Zanzibar anafanya project ya uandishi wa nyimbo za kiswahili ili kuona kama nyimbo zinazo tokana na utunzi wake zinaweza ku trend.
Kinacho fanywa na familia hii ya kitajiri ni kama kilicho fanywa na Mzee Bakhressa alipo ianzisha...
Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam!
Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la rubby na dhahabu anielekeze ni wapi kuna bei nzuri au bei ina-range kuanzia kiasi gani kwa gram ya...
Tukio hili limetokea Yombo jijini Dar Es Salaam siku mbili zilizopita. Inasemekana waliugulia tumbo na kupelekea mauti yao.
Hakuna taarifa yoyote kama kuna uchunguzi wowote uliofanyika.
Upo uwezekano mkubwa kwamba vijana hawa walinyweshwa sumu.
Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha
Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo.
Tangazo la ajira ni kama ifuatavyo:
Wakuu bila shaka ni wazima kabisa.
Nilikuwa napenda kuuliza wapi naweza kupata sehemu ina bwawa or mto ambao naweza fanya fishing adventure na camping kwa Dar es salaam?
Natanguliza shukrani.
Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza!
Walizipita hospitali za Kitete Tabora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.