Ipi bora kati ya St. Francis Girls Mbeya na FEZA Girls Dar es Salaam?

St francis utapata matokeo na vile vile utapata maadili.

Feza utapata matokeo ila maadili sio kivile.

Vile vile feza utapata exposure kwa watoto wenye vipaji ina faaa.
 
Hata mzingira pia ni mazuri ya kumuwezesha kusoma bila kikwazo chochote,hutajuta kumpeleka Mbeya japo kuna majira kunakuwa na baridi kali.
Ni aibu kwa mzazi anayejielewa kuulizia ampeleke wapi mwanae anapopata nafasi katika hizi shule mbili.

Yani umpeleke mwanao akasome na mtoto wa Mwigulu?
 
Ni aibu kwa mzazi anayejielewa kuulizia ampeleke wapi mwanae anapopata nafasi katika hizi shule mbili.

Yani umpeleke mwanao akasome na mtoto wa Mwigulu?
Kama ni mkatoliki mpeleke Mbeya. Kama ni kawaida tu mpeke Feza. Kama ni elimu ya kawaida. Zote ziko vizuri
 
Back
Top Bottom