Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam

Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,127
2,335
Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam hii itambatana na kuwajenga majengo makubwa yenye frame Kwa ajili ya biashara! Wamachinga wawe sehemu ya kusaidia Kodi pia..

Kuwafukuza Ingechukua muda mrefu sana.. hii itakuwa interval ya miezi 6 miaka miwili kabla ya uchaguzi watu watakuwa wamesahau!

Nadhani.
 
Back
Top Bottom