dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kujitolea katika taasisi binafsi au NGO Dar es Salaam

    Habari zenu wanajamii, Mimi ni kijana wa kitanzania, nina miaka 24, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Nimesomea shahada ya sanaa katika isimu na fasihi (Bachelor of Arts in linguistics and literature). Mbali na elimu niliyosomea nina ujuzi na computer applications. Natafuta nafasi ya...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Askari 300 waongezwa kudhibiti panya road

    Mikoa mingine mbona hawa vijana wanadhibitiwa? ======== Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema mkoa huo umeongeza askari 300 kwa ajili ya msako wa kuwakamata wahalifu maarufu 'panya road'. Makalla ameyasema hayo leo Alhamisi Septemba 15, 2022 alipokuwa...
  3. Good Father

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla una sababu ya msingi ya kuendelea kuwa RC Mkoa wa Dar es Salaam?

    Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa. Mhe. Amos Makala ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es salaam. Huu Mkoa ni kitovu cha biashara kwenye nchi hii, huu mkoa ndio una image kubwa ya nchi kibiashara, wageni zaidi ya 90% wako Dar...
  4. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafanya TOEFL exams kwa Dar es salaam?

    Wakuu naomba mnisaidie ni wapi hapa DSM wanafanya mitihani ya TOEFL kwa ajili ya kwenda US? Kuna jamma yangu ana uhitaji. Thanks
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Panya Road 116 wanaotumia silaha za jadi wakamatwa Dar es Salaam katika msako wa siku 3

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na jitihada za kuzuia uhalifu na kufanya misako mikali ya kuwafuatilia wahalifu mbalimbali wa makosa ya jinai. Tarehe 12 Septemba 2022 majira ya saa 22:40 huko maeneo ya Mwasonga limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya rifle iliyokatwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Cha Dar es Salaam kimpe Rais Samia Udaktari wa Heshima katika uongozi na mahusiano ya kimataifa

    Ndugu zangu hayo ni mapendekezo yangu binafsi baada ya kuwa nimekaa kwa muda mrefu nikifuatilia utendaji kazi wa mh Rais Samia na kufikiria namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea na kukabidhiwa nchi yetu Katikati ya wingu zito la majonzi na simanzi kubwa ya kuondokewa na Rais wetu Hayati...
  7. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazosababishwa na pikipiki (boda) kwa jiji la Dar es Salaam

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wastaafu wa Dar es Salaam walalamika fedha nyingi zinawachanganya

    Wastaafu zaidi ya 5,000 Mkoani Dar es Salaam wamesema wanapata shida katika uzee wao kwani hawana elimu ya matumizi ya fedha na uwekezaji pindi wanapofikia hatua ya kustaafu na kupewa pesa nyingi ambazo wengi huwa zinachanganya. Hata hivyo katika kikao hicho ambacho Serikali kupitia Benki ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu UVCCM Kenani Kihongosi kufanya ziara mkoani Dar es Salaam

    ZIARA MKOANI DAR ES SALAAM Ziara ya Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi mkoani Dar es Salaam. Tarehe: 10 - 11 SEPTEMBA, 2022 @ccm_tanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mifumo ya CCTV kamera ni jicho pekee litakalotazama jiji la Dar es Salaam

    Tupo kwenye kwenye karne ya 21 kwenye zama za sayansi na teknologia ambayo hujaribu kutatua na kuleta mbadala wa huduma na kazi zinazofanywa na mwanadamu kwenye kuhakikisha maisha ya wanadamu yanaenda na kuendelea kwa hali iliyo nzuri na ya kuridhisha . Kwa kufanikisha hilo wanasayansi kwenye...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile. Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
  12. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna viwanja vya wazi vinatumika kuongeza watumiaji wengi wa madawa ya kulevya Dar es salaam

    Serikali ilikua na lengo zuri sana kutenga maeneo ya wazi kwaajili ya matukio ya kijamii kama vile walsha, michezo, matamasha na vinginevyo vifananavyo na hivyo. Kama ilivyo adha kwamba kila kizuri kina kasoro basi, kwa utafiti wangu nilioufanya kulizunguka jiji la dar es salaam nimegundua...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kunani Zanzibar? Ina eneo dogo kuliko Dar es salaam, lakini Rais anahangaika kuiongoza, vikao na waandishi wa habari,fukuza nyingi

    Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza. Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya wazanzibari. Rais Mwinyi anaitisha vikao na waandishi wa habari kuliko hata Rais yeyote wa afrika...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mabango ya kitabu cha Sheikh Ponda kwenye kuta za nyumba mitaani Dar es Salaam

    MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam Iliyofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE). Sheikh Ponda na kijana mmoja kutoka Zanzibar, Sheikh Salum...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wa mikoani(vijijini ) mtuvumilie kwanza, tunawathamini wa Dar Es Salaam ambako ndiyo Tanzania yenyewe!

    Waongozaji 90 wa makarani wa #Sensa2022 wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamesusia zoezi la #Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao. Chanzo: azamtvtz Kuweni wazalendo kwa kujitolea tu hata bure, taifa litawakumbuka na hata Mwenyezi Mungu nae...
  16. Championship

    JamiiForums Tanzania Napendekeza tozo kwa kila mtu anayeingia jiji la Dar es Salaam na manispaa zake

    Idadi kubwa sana ya watu wanaingia katika jiji la Dar es Salaam kila siku. Ninaona hiki kigeuzwe kuwa chanzo cha tozo. Asiwepo wa kubaguliwa hata wale wanaopita na misafara na ving'ora. Wekeni toll gate pale kiluvya, Bunju, Kongowe, ya Kilwa road na hapo Azam Ferry. Nimeona sana toll gates...
  17. ezekeo

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika Dar es Salaam

    Kiwe maeneo ya Chanika, Majohe, Pugu, Ukonga na Mbezi Ukubwa usipungue mita 25 kwa 30 Bei isizidi 2.5 milion. Kwa yeyote mwenye koneksheni anijuze..
  18. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tutunze mazingira ya jiji la Dar es salaam ili kupunguza joto na mafuriko

    Kila mmoja atafakari,ni nini kitatokea endapo kila kaya/familia/nyumba itapanda miti miwili tu kuizunguka nyumba hiyo,nini kitatokea baada ya miaka michache tu ya kupanda miti hiyo. Kila taasisi, iwe ya ki raia au kiserikali,ikaamua kupanda miti miwilimiwili tu kwenye kila uwazi au pembezoni...
  19. rangyahero

    JamiiForums Tanzania CBE Dar es Salaam kuna nini?

    Kuna uwezekano mkubwa kwa wanafunzi wa CBE Dar es salaam wa mwaka 2022 waliofaulu kujiunga na vyuo vikuu hawatapata fursa hiyo. Tafadhali wenye taarifa kamili tujuzeni. Wazazi tumelipia watoto ada miaka miwili Ili kuwapatia watoto fursa za kujiendeleza kielimu ila tunashangazwa na mwenendo wa...
  20. GOLOKO

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari IST (1290Cc) ncp60

    Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rangi bajeti yangu 10.5M. Sitaki iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali.
Back
Top Bottom