Naitaji Namba ya wahusika wa coca cola dar es salaam

Naitaji Namba ya wahusika wa coca cola dar es salaam

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,907
Reaction score
9,692
Habari wanajf

Nataka kufanya biashara ya kuuza soda Kwa jumla vile kama deport Zinaitwa

Sasa shida yangu ni kupata namba ya mhusika ambae moja Kwa moja atanisaidia mambo yote muhimu

Ningependa awe mhusika kutoka kwenye kampun kabisa ya coca cola

Msaada please
 
Cocacola si wana ofisi zao, tupunguze uvivu wakati mwingine.

Njia za kupata mawasiliano ziko mingi

Anza kuuliza Niko wapi boss, Niko mliman Kilimanjaro, kuna office za coca cola huku juu
Unamiliki smartphone ila ujui matumizi yake

Moja ya matumizi yake ndio haya, uwe unaanza kusoma umri wa kujiunga JF kabla ya kukoment
 
Back
Top Bottom