dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TUCTA yapinga kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa meneja wa TRC kanda ya Dar es Salaam

    Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni. Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
  2. Blue Marble

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ustawi wa afya zetu unategemea mazingira safi na salama

    Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania! Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema anbayo imenipa fursa hii ya kuandika haya kwa manufaa ya ustawi wa nchi yetu Tanzania na dunia kwa ujumla. Bila kupoteza wakati, suala la afya bora na mazingira safi ni...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam

    Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa kua na watu wengi shughuli nyingi za kimaendeleo, kibiashara na hufanyika nyakati zote usiku...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uuzaji na usambazaji wa samaki kwa njia aplikesheni maalumu ya samaki kiganjani mwako katika jiji la Dar es Salaam

    Utangulizi na kauli kuhusu tatizo Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye gharama nafuu na chanzo cha protini miongoni watu walio wengi, hasa wale wa hali ya chini na chanzo cha...
  5. shalet

    JamiiForums Tanzania Natafuta Marine board used Dar es salaam

    Habari wadau, Nipo maeneo ya Goba, ziwe zimetumika mara moja tu. ziwe kwenye hali nzuri. tuchekiane inbox.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Katoliki Dar es Salaam amtimua nchini Padri wa Nigeria

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amemwamuru Padri Christopher Fosudo, ambaye ni raia wa Nigeria, kuondoka mara moja jimboni mwake na kurejea nchini kwao. Padri Fosudo alikuwa paroko msaidizi, Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Dar es...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Msako wa mifuko ya Plastiki kuanza upya Dar es salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza operesheni ya kukamata mifuko ya plastic iliyokatazwa huku akiwataka wananchi kujiepusha na matumizi ya mifuko hiyo. RC Makalla ametangaza operesheni hiyo leo Ijumaa Augusti 19, 2022 wakati wa kikao kazi na wazalishaji wa mifuko mbadala...
  8. Nkuruvi

    JamiiForums Tanzania Yaliyonishangaza Dar es Salaam!

    Habarini za jioni wadau! Nilitoka kwenye jiji hili la Dar Es Salaam takribani miaka 15 iliyopita. Nimewasili hapa takribani kama wiki moja iliyopita na sasa ninaleta kwenu wadau uzoefu wangu mpya katika jiji hili kubwa kabisa nchini na lenye umaarufu Afrika nzima. Dar Es Salaam kuna...
  9. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na tatizo la ajira

    NAOGOPA Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Paroko Msaidizi wa Parokia ya Magomeni (Dar), Christopher Fosudo afukuzwa nchini, Askofu Mkuu atoa maagizo

    Taarifa ikufikie kuwa hili ndilo tamko lililotolewa na Chancellor Fr. Vincent Mpwaji wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, japokuwa kisa hakijatajwa lakini hizi ndiyo taarifa za uhakika kutoka katika kanisa hilo, jisomee mwenyewe uone Inasomeka hivi... Waheshimiwa Mapadre Wote, Jimbo Kuu la Dar es...
  11. bolivia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Moshi kwenda Dar es Salaam

    Habari ya muda huu ndugu wa JF, Nipo Moshi hapa Kibosho, Mungu akipenda hadi inapoingia usiku niwe Dar Msaada kwa yoyote anayefika Dar nitamlinda chochote kitu niwe nimefika hapo Dar.
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Msoto wa maisha Dar es Salaam ulivyonifanya nitamani kuwa mwizi na mhujumu uchumi

    Hivi ni visa vya kweli vinavyotokea ili tujifunze graduate na wapambanaji wengine someni hapa. Hakuna cha nitaendelea nitafupisha zaidi iwe fupi. Ni Mimi pastor prakatatumba abaabaabaabaa etumba etumba. Ndugu zangu kwanza nikiri jiji la Dar es Salaam watu wanapambana saaana tena saana, kuna...
  13. think tank01

    JamiiForums Tanzania SoC02 Bima ya Afya ya Jamii

    BIMA YA AFYA YA JAMII 🇹🇿 UTANGULIZI; Salamu Watanzania wote. Ni muhimu kwa nchi hasa zinazoendelea, kuwa na dira/sera ambayo ndio muongozo wa utoaji na usimamizi wa huduma na maendeleoya nchi husika. Ili nchi yoyote isonge mbele kiuchumi, inahitaji jamii yenye Afya Bora ili...
  14. uran

    JamiiForums Tanzania Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha mnada Dar es Salaaam

    Wana ndugu naombeni kujua utaratibu wa kuanzisha Mnada. Nina mpango wa kufanya mchakato wa kuanzisha mnada mtaani kwetu (kwenye kata yetu) sababu hatuna utaratibu huo kwa sasa 1. Ningependa kujua utaratibu upoje katika kuanzisha, kwenye ngazi ya serikali 2. Ni nani wanaisimamia au wahusika...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es salaam

    Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika mambo ya ugavi. Nimekuja kwenu kuomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi ili niweze kujikimu maana kila leo ni afadhali ya jana. Kazi yoyote halali nitaipokea.
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bei za vyakula kwenye masoko ya Dar es salaam July - August 2022

    Hali ya Mfumuko wa Bei ya bidhaa muhimu ikiwemo chakula kwa jiji la Dar es salaam imezidi kupanda kwa kasi licha ya maeneo mengi nchini kuwa kwenye msimu wa mavuno. Hapa chini ni bei za mazao ya chakula kwenye masoko ya jiji la Dar es salaam kwa kipindi cha mwenzi mmoja kuanzia Julai hadi...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Supervisory Telephone Technician Job at US Embassy Dar es Salaam

    Supervisory Telephone Technician Dar es Salaam US Embassy Dar es Salaam The mission of the United States Embassy is to advance the interests of the United States, and to serve and protect U.S. citizens in Tanzania. About Announcement Number: Dar es Salaam-2022-055 Hiring Agency: Embassy Dar...
  19. peter msuku

    JamiiForums Tanzania Electricity backup system

    Huna haja ya kuwaza umeme kukatika kwani saan agency tumekuja na suluhisho kwaajili yako. Tutakufungi backup system nyumbani au ofisini kwako kwa teknolojia Bora na salama Unaweza ukajiuliza ➡️INAFANYAJE KAZI? ➡️KWANINI NITUMIE BACKUP SYSTEM? ➡️INAFAIDA GANI? Well kuna namna mbili za ufanyaji...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

    Mashauri ya ndoa na talaka 1,358 yamefunguliwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke (IJC), Dar es Salaam katika kipindi cha kuanzia Novemba 2021 hadi Julai, 2022. Idadi hiyo ni sawa na mashauri 220 yanayofunguliwa kila mwezi kituoni hapo, hali inayoonyesha kuyumba kwa taasisi nyeti ya...
Back
Top Bottom