dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wasafiri Stand ya Magufuli (Dar es Salaam) kupimwa maambukizi ya Vizuri vya Ebola

    Serikali imeweka kituo maalum cha ufuatiliaji wa ugonjwa wa Ebola kwa abiria wanaotoka mikoa ya mipakani mwa Tanzania na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam. Akizungumza na EATV mratibu wa huduma za maabara kutoka Manispaa ya Ubungo Nalimi Nacharo...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Uhuni: Korosho sasa kusafirishwa kwa malori kwenda bandari ya Dar es Salaam

    Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara. Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi: 1. Mkulima atavuna korosho na kuzipeleka ghalani kungoja wanunuzi ambao hupatikana kwa njia ya mnada. 2. Baada ya Korosho kununuliwa...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata Panya Road 14 Unguja, 6 kati yao wametokea Dar es Salaam

    Vijana I4 kati yao 6 wakitokea Dar es Salaam wanaodaiwa kujihusisha na uhalifu kwa kutumia silaha za jadi maarufu kwa jina la Panya Road wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kupora na kujeruhi watu kadhaa Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibu, ACP Richard...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Aidan Eyakuze: Ripoti ya TWAWEZA iliyoonesha kupungua kwa Umaarufu wa Rais ilifanya nipokonywe Hati ya kusafiria

    Waraghbishi ni wananchi wanaofanya kazi ya kuichokoza jamii iweze kujitambua na kuona wao ni watendaji wakuu katika maendeleo ya maisha yao. Zaidi ya waraghibishi 170 kutoka Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Maswa, Mbogwe, Kigoma-Ujiji, Kishapu na Pangani wanakutana Dar es Salaam kufahamiana...
  5. brave one

    JamiiForums Tanzania Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

    Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali. Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na...
  6. Execute

    JamiiForums Tanzania Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

    Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu? Wengi wapo huko Kanda ya Ziwa, Magharibi, Kusini na Nyanda za Juu Kusini.
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ombaomba wa Dar es Salaam wanamilikiwa na magenge ya kihalifu

    Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za wazee imegundulika kwamba wengi wao ni watu from Dodoma na wana ndugu zao na koo zao na mashamba...
  8. idoyo

    JamiiForums Tanzania Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

    .
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Mimi ni mwanaume umri 37 ni mwl natafuta mschana awe anajipenda na kujiheshimu nipo Dar es salaam 0689104184 siyo uchumba kuoa
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi watangaza kuwakamata wahalifu 167 wa Panya Road wakiwemo wanaonunua mali za uhalifu

    Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu. Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kifo Cha Balozi Paul Rupia: Dar es Salaam Tumefiwa

    KIFO CHA BALOZI PAUL RUPIA: DAR ES SALAAM TUMEFIWA Sidhani kama kuna mtu ana ujasiri wa kunyanyua kalamu yake pale Abdallah Tambaza atakapoandika historia yoyote inayuhusu Dar es Salaam iwe matukio au iwe taazia. Naitazama taazia ya Balozi Paul Rupia baada ya kumaliza kuisoma na kuna kitu...
  12. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Top Ten ya majiji tajiri zaidi Afrika 2022, Nairobi namba 5, Dar es Salaam haimo

    Kwa Mujibu wa Africa Facts zone, Dar inashika namba 11 na haimo kwenye List ya Majiji 10 Tajiri zaidi Afrika. Source-Africa Wealth Report 2022. List kamili hii hapa 👇
  13. Shy land

    JamiiForums Tanzania Naishukuru sana JF wadau na CCBRT Dar es Salaam

    Kesho Tarehe 23 September naaza safari ya kweda Dar. kwa ajili ya matibabu ya mtoto wangu aliyezaliwa na tatizo la mdomo sungura, nawashukuru sana wadau kunipa ushauri, maoni na kunipatia namba za mawasiliano ya moja kwa moja na CCBRT naaza safari kesho mimi na mke wangu bure kabsa kwa mama na...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa Mvita, Dar es Salaam

    Mtaa wa Mvita Hapo nilposimama kupiga picha hii ndipo unapoanza Mtaa wa Mvita ukikutana na Mtaa wa Amani. Mbele ya mtaa huu na ndiyo mwisho wa mtaa, Mvita unakutana na Mtaa wa Msimbazi. Miaka hiyo Msimbazi ilikua barabara moja tu. Msimbazi na Mafia kulikuwa na nyumba ya bibi yangu Bi. Asha...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam to Cape Town with Public Transport - 1999

    MWAKA 1999 SAFARI KUTOKA KILWA DSM KIGOMA ZAMBIA HADI SOUTH AFRICA Kilwa mpaka DSM kwa usafiri wa basi halafu Reli ya Kati urefu kilometa 1200 Dsm Kigoma, lake Tanganyika , MV Mwongozo, Tanzania DR Congo, Burundi na Zambia nchi hizi zina fukwe za ziwa Tanganyika pia mipaka yake ipo ndani ya...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Jeshi la Polisi limetangaza kuuawa kwa watuhumiwa sita wa vitendo vya unyan’ganyi wa kutumia silaha za jadi ikiwemo mapanga, visu na nondo ambao ni maarufu kwa jina la Panya Road, eneo la Makongo Area Four, Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema...
  17. Kaka Ibrah

    JamiiForums Tanzania Bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam

    Habarini wanajukwaa? Nilikuwa naomba kufahamu bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam na ikoje pia Nairobi Kenya? Shukrani.
  18. Dezoizo52

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

    Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi? Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia. Viongozi wengi wa sasa...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam inataka kiongozi mbabe na mafia hasa siyo huyo mswahili

    Makala haiwezi Dar es Salaam na kamwe hatoiweza kwa sababu ni mswahili mno! Dar es Salaam ni Jiji lihitajilo Kiongozi mafia hasa kwa sababu ya uwingi wa wakazi wake kuwa ma mafia. Makundi kama Panya Road si ya kuyapigia ngojera kwenye mic kisiasa bali ili yakomeshwe inapasa umafia ndaniye...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda nimekumisi

    Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda. Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara...
Back
Top Bottom