LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 14,937
- 26,647
Ni hivi kuna mtoto wa tajiri mmoja aishie Oman mwenye asili ya Zanzibar anafanya project ya uandishi wa nyimbo za kiswahili ili kuona kama nyimbo zinazo tokana na utunzi wake zinaweza ku trend.
Kinacho fanywa na familia hii ya kitajiri ni kama kilicho fanywa na Mzee Bakhressa alipo ianzisha Azam Fc kwa ajili ya kuwafurahisha watoto wake na kuwazuia kujihusisha na mchezo hatari wa mbio za magari baada ya kuchukua uhai wa mmoja Kati ya watoto wa mzee Bakhressa.
So hawa jamaa wa Oman ni familia ya kitajiri, binti kamwambia baba ake anapenda kuandika nyimbo za kiswahili so anataka kufanya project ya kuandika nyimbo za kiswahili, zitumwe Znz/Dar watafutwe waimbaji wafundishwe hizo nyimbo then zirekodiwe kisha zi ingizwe kwenye rotation halafu itazamwe jinsi watu watakavyo zipokea.
Binti yupo so much obsessed na namna nyimbo zake zitakavyo pokelewa na jamii.
Kwamba kiwango cha namna jamii itakavyo zipokea nyimbo ndio itamsaidia kujiona yeye ni mwandishi bora wa nyimbo kwa kiwango gani.
Kazi imefika Znz then Dar, bahati nzuri Nina affiliation na watu walio pewa jukumu la kusimamia hiyo project.
Huku na huku huku na huku tukafika kwa mtu mmoja wa makamo ni mwalimu wa muziki/nyimbo wa muda mrefu na yupo kwenye shule/chuo kimoja cha muziki jijini Dsm .
Huyu mwalimu akapewa audio ya huo wimbo plus maandishi na maelekezo ya aina ya watu wa kuimba wimbo huo, asimamie mazoezi ya wimbo kwa Mwezi mmoja then baada ya Mwezi mmoja twende tukafanye rehearsal ya mwisho kisha kwenda studio kurekodi.
Akapewa na fungu lake.
Siku ya kwenda studio ilikuwa jana mzee tumeenda tumekuta huo wimbo kaubadilisha .
KWANZA kabadilisha melody halafu pili kaongeza Maneno kwenye wimbo.
Mtunzi husika ( dada wa oman)alikuwa very eager to hear about the song hata kabla hauja rekodiwa studio so hao waimbaji wakarekodiwa kisha wimbo akatumiwa dada mtunzi.
Aisee dada wa watu ali fume vibaya sana akisema mimi sija andika wimbo huo na huo sio wimbo wangu siutaki.
Bahati nzuri mimi ni Executive Producer/Executive Record Producer = ni mtu ambae ana organise formation of a song kwa kumobilise all the necessary resources required for a song kama vile mtu anae faa kuimba wimbo huo mtu anae faa kushirikishwa etc.
Jamaa yangu wa Znz alipo nipa wazo la hiyo project na nilivyo usikiliza wimbo niliupenda ( dada wa oman ni mtunzi mzuri sana) mimi niliona huo wimbo ungefaa sana kama ange simama Linah so nilimtafuta Linah nikampa dili la kuufanya huo wimbo na akaurekodi kwenye simu.
Ameuimba vizuri sana. So dada mtoto wa tajiri alipo susa nikamwambia jamaa tumtumie hiyo akapela aliyo rekodi Linah.
Mara tu alipo sikia hiyo akapela ya Linah akasema sisi ni wachawi kwamba tumejuaje kama alitaka wimbo wake uimbwe na sauti hiyo ( ya Linah) akisema kama vile tulikuwa kwenye mawazo yake.
So dada akatuma mzigo wa maana kwa ajili ya kurekodi huo wimbo kumlipa msanii, producer, executive producer na watu wote watakao husika na hiyo project...
Kama huyu Le profeseri wa muziki angefanya kazi aliyo pewa maana yake leo angeondoka na dola elfu nyingi tu kwa kazi hiyo ya kuwasimamia hao waimbaji na angepewa dili la kisimamia nyimbo zote ishirini za huyo dada mtunzi.
Tuli muuliza Le profeseri kwanini ume badilisha melody ya wimbo na kuongeza Maneno yako akasema " ooh niliona wimbo una mapungufu"
Mapungufu my foot. Kujitia ujuaji kumemkosesha mamilioni.
Ujumbe wangu kwenu ninyi waalimu wa muziki na hata baadhi ya maproducer. Mtu anapo kuja kwako akiwa ameandika wimbo wake kqzi yako inatakiwa kuurekodi kama ilivyo kuwa melody yake ile ile na Maneno yake yale yale na kama ni mwalimu wa muziki umepewa kazi ya kuwapa waimbaji mazoezi kazi yako ni kuwapa mazoezi kwa kufuata melody ile ile ya mtunzi.
Ukiweka melody yako au Maneno yako maana yake ni kwamba wewe ndio umeutunga huo wimbo na sio mtunzi...
Wimbo utatoka hivi soon and the song will going to be loved by a billions and billions of people, some of them are not yet born.