Klabu ya Karate ya Scorpion ya Dar es Salaam imetoa mikanda meusi (Black Belt)

DodomaTZ

Member
May 20, 2022
71
107
PHOTO-2022-07-06-23-39-32.jpg

PHOTO-2022-07-06-23-39-32 (2).jpg

PHOTO-2022-07-06-23-39-32 (1).jpg

Klabu ya Mchezo wa Karate ya Scorpion ya Jijini Dar es Salaam, imefanikiwa kutoa mikanda Meusi (Black Belt) kwa wanafunzi wa mchezo huo.

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Scorpion, Sensei Jerome George Mhagama amewataka wanafunzi hao wa mchezo wa karate, kuendelea kujifunza mchezo huo kwani bado wanasafari ndefu katika mchezo huo.

Sensei Mhagama Pia amewataka wanafunzi hao waendelee kujituma katika mchezo huo, huku wanafunzi waliopata mkanda huo (Black Belt) wakiitaka jamii kujifunza mchezo huo ambao unasaidia katika kujilinda kimwili, afya pamoja na akili.
 
Sema hawa ndugu zangu ukiwalia timing na kishoka chako wepesi balaa enewei naomba mwenye kujua madojo yote ya dsm anitajie nataka kujiunga
 
Back
Top Bottom