Tuition centre ipi hapa Dar es Salaam ni nzuri kwa Masomo ya science O level?

Rwebo

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
981
1,147
Wakuu naomba msaada wenu. Nataka niwapeleke watoto wangu wawili kwenye tuition centre nzuri hapa Dar wakati wa likizo hii ya summer, kwa Masomo ya science: physics. Chemistry, maths na biology. O level form 3 Naomba ni fahamu bei yake ya kila somo pia. Natanguliza shukran
 
Zaman tulienda mchikichini hapo.ilala na walimu walikuwa na majina kweli kwel kulingana na somo husika

Lakn sasa hata majina ya wakal kama hao hatuyasikii kabisa sjui tution hailipi au Kuna tatizo gani

Kajaribu hapo mchikichini labda unaweza pata nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom