TMA: Kiwango cha chini cha joto Dar kufikia 19°C

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Maeneo mbalimbali Nchini yanatarajiwa kuwa na Hali ya Baridi, ikielezwa Mkoani Mbeya kiwango cha chini cha joto kinatarajiwa kufikia 10°C, Iringa 11°C, Arusha 14°C, Njombe 06°C na Dar 19°C

Utabiri wa TMA kwa saa 24 zijazo umetoa tahadhari ya vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa ya hadi Mita 2.2 vinatarajiwa katika baadhi ya Mikoa ikiwemo Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara

FB013E3D-FEE3-4883-A516-F4F6E683D40C.jpeg
 
Yaani kwa hili Baridi Kali la Dar es Salaam na lisilo la Kawaida ili Nikaoge nalazimika Kwanza kupiga na Kucheza Misebene ya Wenge Musica BCBG hasa ile ya Zenith ambapo Marapa akina Tutu Calugi ( Yombo Lumbu ) na GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Pitshou Lisimo ) walifanya Kazi Kubwa sana ndiyo Mwili unapata ahueni ya Maji ya Baridi ambayo Mkomavu Mimi wa Kanda Maalum ( Mara ) napenda Kuyaoga.

TMA say something Baridi Kali DSM.
 
Wavulana wa DAR kwa kujidekeza hamjambo.

Njoo huku njombe kwa wanaume uone tulivyo imara kustahimili baridi na tuko fiti tu.

Wewe hako kabaridi uchwara cha DAR umeshaanza kujiliza liza kama binti!

Huzuni sana kuwa na taifa la wavulana legevu. Hasa wavulana wa DAR.
 
Back
Top Bottom