dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Meneja Wa Makampuni

    Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam. Kama unayo dukani kwako taja bei yako na location ya duka lako bila kusahau mawasiliano yako.
  2. Meneja Wa Makampuni

    Ubalozi wa Korea ya Kusini upo sehemu gani hapa Dar es Salaam

    Habari wakuu, Nahitaji kufika ubalozi wa Korea ya Kusini mida hii. Naombeni location, nimejaribu kutafuta Google naona picha picha.
  3. TODAYS

    Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

    Kuna kitu sijui naweza kusema ni nini, maana si ndege kwa muonekano wa taa ulivyokuwa mrefu, ila nimeshindwa kuelewa kwa sababu ya giza. Kimetokea uelekeo wa Bagamoyo kwenda kigamboni, mliopo huko hadi mbagara mnaweza kutujuza au anayeweza kuelewa ni kitu cha aina gani. Kwenye komenti No. #7...
  4. LIKUD

    Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

    Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba. Ukahaba ni roho moja chafu...
  5. A

    Serikali ya mtaa wa Mwenge, Dar es Salaam mnanufaika vipi na huyu mtu aliyefunga mtaa wa Zayumba mbele ya Kibo Bar?

    Ni miaka mingi huyu mtu amefunga huu mtaa, ambae amepangisha watu barabarani, barabara yetu ya kupita, na kapangisha watu, mbele kajenga fremu na kajenga banda la chips, kaweka mama ntilie, na katengeneza umiliki wake. Huu mtaa kiuhaalisia ukitokaa sinza hii barabara ya Africa sana kuja TRA...
  6. Kaka yake shetani

    Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wewe ni kuwa vuvuzela la siasa, kazi yako kubwa ni 'kutrend'

    Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam. Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao. Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa...
  7. GENTAMYCINE

    Kwaherini Kawe (Dar es Salaam), Hodi Mapinga (Pwani)

    Wana Mapinga Bagamoyo Mkoani Pwani GENTAMYCINE nasema kwa Heshima, Unyenyekevu na Taadhima kubwa sana kwenu kuwa Hodi Hodi na Hodi tena kwa mara ya Tatu. Sasa tutakuwa pamoja kwa Shida na Raha kama ambavyo nilikuwa Kawe. Kwa Samaki wenu hawa Watamu wa hii Beach yenu nzuri ya Mchango wa Hela...
  8. Jo Assistant

    Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

    Habari wadau, Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
  9. B

    Nairobi to Jozi?

    Nilikua Dar for a month hapo 2022, lakini kweli Dar pagumu aisee, ila nilijaribu niwezavyo kuhustle, kawni Ilinibidi nirudi Kenya, licha ya moja mbili tatu zinazotuma nipachukie hapa Kenya SANAA! Sababu zenyewe ambazo zikasababisha niondoke na kwenda Dar. Imefika mda tena masaibu yangu Kenya...
  10. BARD AI

    Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

    Ni Vyuo Vikuu maarufu zaidi barani Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara? Vigezo vifuatavyo vya uteuzi: Kukodishwa, kupewa Leseni au Kuidhinishwa na Shirika linalotambulika linalohusiana na Elimu ya Juu katika kila nchi. Kutoa angalau Digrii za miaka mitatu au Digrii za Uzamili au za Udaktari...
  11. X_INTELLIGENCE

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kitunda, Dar es Salaam

    Kiwanja kinauzwa KITUNDA DAR ES SALAAM, kiwanja hiki ni kikubwa mita 30*40 bei milioni 23 tu...! Unaweza ukajenga nyumba 2 za wastani... na car parking kidogo ikabaki. Barabara ya mtaa inafika hadi kilipo kiwanja. Kiwanja hiki kipo karibu kabisa na barabara ya Lami kama hatua 700 hivi kutoka...
  12. P

    Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/aF_0GKdRJYI?feature=shared Salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye...
  13. D

    DOKEZO Rais Samia tupia jicho Wizara ya Ardhi Kanda ya Dar es Salaam, unahujumiwa

    Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya wasaidizi wako. Sasa sikia haya na uyafanyie kazi. Miezi kadhaa iliyopita Waziri wa Ardhi Nyumba na...
  14. Selemani Sele

    Uhaba wa sukari umekithiri Jijini Dar es Salaam. Je, hiyo iliyoagizwa haijafika bado?

    Za asubuhi wananchi wenzangu, Leo katika mahangaiko naingia ofisini Kariakoo nakuta hamna sukari, nikaingia mtaa wa pemba kwenye maduka ya jumla nipate hata sukari ya kuanzia wiki aisee nimekuja pata sukari soko la kisutu baada ya kutembea dk 45. Je, sukari imeenda wapi na hiyo iliyoagizwa...
  15. Nyani Ngabu

    Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

    Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti. Mimi napendekeza jina la Bandari ya Dar es Salaam libadilishwe na iitwe Bandari ya Samia/ Port of Samia. Mama kaleta...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia ampokea Rais wa Poland, Andrzej Duda, Ikulu ya Dar es Salaam, Februari 9, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea rasmi Rais wa Jamhuri ya Poland Mhe. Andrzej Duda Ikulu jujini Dar es Salaam leo tarehe 09 Februari, 2024 ''Poland imekuwa ikichangia shughuli mbalimbali za maendeleo hapa nchini ikiwemo sekta ya afya, ambayo itatekeleza...
  17. Kisesetusese

    KERO Responded Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji

    Mkuu Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa. Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu. Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3. Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...
  18. Kinumbo

    Dar es Salaam bila kitambaa hutoboi

    Aisee! Hii hali kwa sasa katika jiji hili pedwa ni hatari sana. Dar es Salaam kwa sasa kuna hali ya jua na joto kali sana, kuna joto ambalo ni zaidi ya joto lenyewe. Yaani bila kitambaa mkononi hutoboi salama unapo kwenda. Inabidi uwe na vitambaa viwili mikino yote miwili yaani unajifuta jasho...
  19. GENTAMYCINE

    Kwa wingu Kubwa na huu Upepo Mkali wa sasa Dar es Salaam nahisi muda wowote koki inafunguliwa na tujiandae tena kwa Maafa

    Nasikia huko Kibaha, Chalinze na Morogoro imepiga ya maana na Watu wametafutana. Wa Mabondeni mkae tayari leo oky?
  20. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Komredi Mwajabu Mbwambo aongoza UWT Dar es Salaam kutembelea Ihsan Orphanage Center - Kata ya Kibada

    KOMREDI MWAJABU MBWAMBO AONGOZA UWT MKOA WA DAR ES SALAAM KUTEMBELEA IHSAN ORPHANAGE CENTER KIGAMBONI-KIBADA Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es salaam ukiongozwa na Mwenyekiti UWT Komredi Mwajabu Rajabu Mbwambo wameshirikiana na Uongozi wa UWT Kata Kibada kutembelea kituo cha...
Back
Top Bottom