Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Hasa kwenye nafasi ya Urais..
wanasubiri mistakes za serikali ndipo wareact...
Hawana na hawafanyi maandalizi yoyote ya maana, ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya vyama vyao wala nje ya vyama vyao wanajipiga kifua tu, safari hii sijui nini na nini huko, siku imeisha....
Hawana agenda...
Habari za wakati huu nduguzangu. Mungu ni mwema juu ya mapitio yote ya hapa na pale naamini sote tu wazima, penye walakini Mungu alete neema. Nilifanikiwa kupata ID ya mtihani siku ya mtihani (kwa wanaokumbuka, nitaelezea kilichonipelekea hapo kwa wakati mwingine)
Mimi ni kijana wa kiume (22)...
Wakuu Leo nataka niwaiibie hii Lonja kuhusu fursa ya usafirishaji haswa Kwa hili jiji la dar es salaam.
Yaani kiufupi ni hivi, kama unataka kuwekeza kwenye biashara ya uhakika na upige pesa hapa mjini embu Fanya biashara ya usafirishaji, either ujikite kwenye kusafirisha watu au ufanye kazi ya...
Jiji la Dar es Salaam lilianza kama Kijiji kidogo cha wavuvi kilichojulikana kama Mzizima. Kijiji hiki kilianzishwa na Wabalawa ambao walichanganyika na Wazaramo kuelekea kwenye maeneo ya Bara la Afrika Mashariki na ambazo zilijulikana kama ‘Caravan Routes’. Ujenzi wa Makao ya Sultani pamoja na...
Rapa na Mfanyabiashara Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameperform mbele ya wageni waalikwa ndani ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania usiku wa Julai 4, 2024 ikiwa ni kumbukumbu ya Uhuru wa Marekani.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma za ardhi kwenye Maonesho ya 48 ya Bishara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Temeke jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na...
Habari za muda huu wakuu, mimi nilikuwa na swali kidogo kuhusu DSE.
Hasa kuhusu namna ya kujisajili na namna ya kupata brokers.
Mwishoni mwa mwaka jana nilijisajili na nahisi nilitumiwa baadhi ya taarifa ambazo (kutokana na kutokuwa makini) nilizipoteza.
Nikajaribu kuforget password system...
MABADILIKO YA RATIBA NA ONGEZEKO LA SAFARI ZA TRENI ZA SGR KUANZIA TAREHE 5 JULAI 2024
Dar es Salaam, Tarehe 1 Julai 2024
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuhusu mabadiliko ya ratiba na ongezeko la safari za treni za reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kati ya Dar es Salaam na...
WAZIRI AWESO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA DAR ES SALAAM
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kushtukiza jijini Dar Es Salaam akitembelea maeneo muhimu yanayopata huduma ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA).
Ziara hii inatarajiwa kufanyika maeneo...
Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege.
Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu
Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako
Tunapatikana tabata
Namba zetu 0717209569
Mbagala Rangitatu wenye maduka hawajafungua siku ya leo 26/06/24, huu ni mfululizo wa vuguvugu la wafanyabiashara kugoma wakipinga baadhi ya tozo zinazofanywa na serikali kupitia mkusanyaji TRA.
Umeongea kwa mamlaka dhidi ya wafanyabiashara, na umenikuna sana kiongozi. Umeonyesha ujasiri mkubwa kwa wananchi unaowaongoza Dar es Salaam. Umenigusa sana pale uliposema kama nchi inapeleka jeshi kupigana Congo, vipi ishindwe kulinda Kariakoo.
Dawa yao hao wafanyabiashara wanaotumwa na...
Wasalam Ndugu jamaa na marafiki.
Hali ya mjini hapa Dar es Salaam ni tofauti na nilivyofikiria nimeamini mjini pazito 🙌🙌🙌🙌.
Mjini pazito aiseee, yaani nilijua nikishapata biashara ndio nishamaliza kumbe bado kuna kusugua sana.
Mjini pazito nyie watu hawana huruma kabisa. Bora ningebaki mkoani...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam bwana Albert chalamila juzi alikiri mbele ya Rais Samia siku ya upokeaji wa taarifa ya haki jinai nchini kuwa sasa ameacha ujinga na kuruka ruka kuwabughuzi wananchi bali atazingatia sheria, taratibu na kanuni za nchi.
Albert Chalamila mbele ya Rais Samia...
Expression Of Interest (Eol)
For Vehicle Repairs & Maintenance
In Dar Es Salaam, Tanzania
GIZ is a federally owned enterprise operating worldwide, assisting the German Government in achieving its policy objectives in the field of international cooperation. It offers demand-driven, tailor-made...
Habari za wakati huu,
NI matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri na kudumu katika ujenzi wa taifa lenu.Kama ilivyo ada leo nimeona nilete mjadala kuhusu soko la HISA la Dar es Salaam.Msingi wa majada huu unatokana na ukweli kwamba uchangamfu wa Soko letu la HISA na mchango wake katika UCHUMI...
🌍KOMREDI KAWAIDA AWASILI KARIMJEE HALL, MAHAFALI YA SENETI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewasili Karimjee Hall ambapo anashiriki Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 16 Juni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.