affimation
Member
- Jan 25, 2019
- 48
- 104
Ni miaka mingi huyu mtu amefunga huu mtaa, ambae amepangisha watu barabarani, barabara yetu ya kupita, na kapangisha watu, mbele kajenga fremu na kajenga banda la chips, kaweka mama ntilie, na katengeneza umiliki wake.
Huu mtaa kiuhaalisia ukitokaa sinza hii barabara ya Africa sana kuja TRA unapanda vizuri, ukishafika TRA upande wa kulia kuna barabara mpya imejenga kwa lami ambayo unapita kuelekea NAKIETE PHARMACY, ila ukianza tu kukunja utakunana na fremu nzuri za nguo, mbele mandanga ya chips, yale mabanda ya chips ndio kaziba mtaa, kapangisha watu wa chilps kuku kushoto ambayo pia ni wanatega sana wafanyakazi wa TRA Mwenge na NMB Mwenge na wengine wa Mwenge, ila hili njia kiuhalisia ni njia, na huku nyuma yake ameweka bati kaziba mtaa, ili kuwapangishi waha wa chips nk.
Sasa ambao wana nyumba mtaa wa kupitia serekali ukiingia pale kibo bar mtaa wa Zayumba, watoboze TRA ya mwenge wameziba, sasa mtuambie kwanini kaziba huu mtaa mwenyekiti upo. Unaijua tafadhali fungua huu mtaa.
Tumechoka, kila siku tunzunguka kufika TRA wakati kuna mtu mtaa kafunga na anafanya biashara na mnamuachatu, serikali hasa ya Mwenge mpo kimya.