Uhaba wa sukari umekithiri Jijini Dar es Salaam. Je, hiyo iliyoagizwa haijafika bado?

Selemani Sele

Senior Member
Feb 25, 2023
148
410
Za asubuhi wananchi wenzangu,

Leo katika mahangaiko naingia ofisini Kariakoo nakuta hamna sukari, nikaingia mtaa wa pemba kwenye maduka ya jumla nipate hata sukari ya kuanzia wiki aisee nimekuja pata sukari soko la kisutu baada ya kutembea dk 45.

Je, sukari imeenda wapi na hiyo iliyoagizwa haijafika bado.
 
Za asubuhi,Wananchi wenzangu.
Leo katika mahangaiko naingia ofisini kariakoo nakuta hamna sukari, nikaingia mtaa wa pemba kwenye maduka ya jumla nipate hata sukari ya kuanzia wiki aisee nimekuja pata sukari soko la kisutu baada ya kutembea dk 45 .
Je sukari imeenda wapi na hiyo iliyoagizwa haijafika bado.
Sukari imekamatwa na Chalamila anasema wanaingiza kimagendo kwa hio kaa kwa kutulia, km huamini Namba yake hii 0767 150 400 mpigie umuulize vizuri atakwambia yupo WhatsApp pia
 
Back
Top Bottom