covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. mwengeso

    Udhibiti wa covid-19 waimarika tanzania

    Vijijini maisha hayajabidilika. Wanavijiji wameendelea na shughuli zao za kilimo, uvuvi na ufugaji. Mijini maisha mitaani na hata Uswahilini kwenye makazi ya watu wengi, mambo ni powaaa. Waliobashiri kutakuwepo na vifo vingi wanatamani na kuendelea kuomba iwe hivyo, ubashiri wao utimie...
  2. M

    Nigerian professor claims COVID-19 is a scam by Westerners made in the lab

    By Robin-Lee Francke 1h ago Cape Town - A Nigerian professor from Novena University in Delta State on Monday claimed that the novel coronavirus pandemic was nothing but a scam perpetrated by the West. According to the Guardian Nigeria, Professor Cyril Otoohhiaus, whose field is genetics and...
  3. Suley2019

    Hundreds of McDonald's employees placed on unpaid leave after Covid-19 contact

    Hundreds of McDonald’s employees in Melbourne are on unpaid leave for 14-days because they may have come into contact with a delivery driver who tested positive to Covid-19. The fast food chain closed 12 of its restaurants in the city’s outer suburbs on Monday after it was told that a driver...
  4. Blue Bahari

    Maoni: Kila Mwalimu na Mwanafunzi apimwe covid-19 kabla ya kuanza masomo

    Habarini wadau! Kwa kuwa jana (17/05/2020) Mh: rais katupa matumaini ya hali nzuri ya nchi yetu na kwamba anafikiria kufungua vyuo na michezo mda si punde. Sasa mimi nikiwa kama mdau mmojawapo wa elimu, nina pendekezo lillilo na namna mbili za kufanya: (1) Aidha walimu na wanafunzi wapimwe...
  5. M

    COVID-19 Cure found

    Coronavirus has killed hundreds of thousands over the world Scientists at aCaliforniabiotech company have found an antibody that completely blockscoronavirusin a discovery they called a 'cure,'Fox Newsreported. Sorrento Therapeutics, based in San Diego, claims its STI-1499 antibody stopped...
  6. F

    Magufuli, kama mwanao aliumwa Covid-19? Ulijuaje na wewe hukubaliani na vipimo na upimaji ulishasitishwa? Kama alipona ulijuaje hana virus? Confusion!

    Hotuba ya Magufuli ilikuwa ya hovyo, very controversial and contradictory...Nimeshangazwa na jinsi alivyokuwa akijichanganya. Mwanzo Upimaji nchini Tanzania ulisimamishwa kwa kisingizio kuwa wakipima wengi wanakuwa positive...Je mtoto wake rais ni katika hao False positive, kama rais anaamini...
  7. Sky Eclat

    Kipanya: Waandishi wa habari wanasubiri takwimu za covid-19

    Wasichoelewa ni kuwa takwimu zinatolewa J2 kanisani na mwenye mamlaka. Wengine wote W amepata sellotape midomoni.
  8. Rohombaya

    Naomba kupewa majibu ya Maswali haya yahusuyo COVID-19

    Dah! Mnisamehe tu 1. Kama COVI-19 inaambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwa njia ya vitone vidogo vya majimaji vinavyotokana na kupiga chafya, kukohoa au kuongea naye. Kwanini marehemu anayedhaniwa alikufa kwa covid19 anaogopewa zaidi ya mtu aliyehai na hajapimwa? 2. Watu wawili, wanaishi...
  9. jmushi1

    Hata kwenye COVID19, Magufuli amesema tuko vitani! Je, tunapigana na nani? Tunapambanaje kwenye vita hii?

    Nimeingiwa na wasiwasi sana na kuhisi kama vile tunaanza kutengwa na mataifa mengine. Siyo tu kwa Kenya kufunga mpaka kwa wakati mmoja na ule wa Somalia, lakini pia balozi wa Uingereza amefuata nyayo za wamarekani kuwandoa wananchi wao. Kwenye ile hotuba mh rais aliposema kwamba walipima mbuzi...
  10. M

    Madagasca's COVID-19 Medicine under threat

    16 May 2020. 14:00 On Thursday 14th May 2020 World Health Organization (WHO), said that it is in touch with Madagascar over its herbal drink Covid Organics also known as the miracle tea. ''We are in touch with the government of Madagascar,'' Matshidiso Moeti, regional director of WHO office...
  11. M

    Africa: Covid-19, 4th Industrial Revolution, Technology and AI

    As the world has come to be with the impact of Covid-19, cracks and fissures have come to be seen in the established economic, political and social norms that have prevailed for hundreds of years if not thousands. We are now in the midst of juxtaposition of global dominance by the powers that...
  12. Noel Ngiama Makanda

    Ni nini mkakati wa Tanzania kuhusu COVID-19?

    Leo nimewiwa niandike machache kuhusu hili janga la COVID-19. Ni ukweli usiopingika kwamba huu ugonjwa umelipuka kukiwa hakuna maandalizi makubwa ya kukabiliana nao duniani. Mambo mengi hayajulikani na hata jinsi ya kukabiliana nao bado ni mtihani mkubwa. Nchi nyingi duniani zimeanza kupata...
  13. Kevin85ify

    Kenya classifies Namanga border town with Tanzania as COVID-19 high-risk area

    FILE PHOTO: Children walk past a signage at the border crossing point between Kenya and Tanzania in Namanga, Tanzania. REUTERS/Njeri Mwangi/File Photo The Kenyan government on Wednesday classified Namanga, the border town with Tanzania, as a COVID-19 high-risk area following a surge in numbers...
  14. Nyendo

    UNICEF: 6,000 more children under five could die each day as COVID-19 weakens health systems

    An additional 6,000 children could die every day from preventable causes over the next six months as the COVID-19 pandemic continues to weaken health systems and disrupt routine services, UNICEF said today. The estimate is based on an analysis by researchers from the Johns Hopkins Bloomberg...
  15. Analogia Malenga

    WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  16. Warue

    Vipimo vya COVID19: Dr. Mwele na Dr. John Nkengasong(Africa CDC) walitumika kupotosha ukweli wa kisayansi (wasaka tonge kazini)

    Kwanza kabisa naomba nianze kwa kudeclare “interest" kwenye suala ya Covid-19. Mimi ni mtafiti kwenye utengenezaji wa madawa haswa kwa kutumia "Computer Aided Drug Design (CADD)". Tangu janga hili la Covid-19 lianze, tumejikita kwenye kutafuta dawa itakayoweza kutibu Covid-19 kama ilivyo kwa...
  17. Analogia Malenga

    Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

    Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar. Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba...
  18. Zanzibar-ASP

    Tanzania yageuka kuwa kitovu cha kusambaza maambukizi ya COVID-19 ukanda wa maziwa makuu?

    Sio siri tena kwa sasa Tanzania inatajwa vibaya sana duniani kuhusu mapambano dhidi ya COVID-19. Bahati mbaya hali hiyo imepelekea kuitaja Tanzania kama kitovu kipya cha kusambaza maambukizi ya COVID-19 (Covid-19 Epicentre) kwa ukanda wa maziwa makuu. Hali hii inatokana na hatua ya nchi kadhaa...
  19. Return Of Undertaker

    BoT: Watu watumie huduma za mitandao, benki zikae na waliokopeshwa, riba zifikiliwe kutokana na Corona

    SWAHILI: CORONAVIRUS: BoT YAONGEZA KIWANGO CHA MIAMALA YA KWENYE SIMU NA UNAFUU KWA HATI FUNGANI Kamati ya Sera ya Fedha ya Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania imepitisha hatua mbalimbali za kisera zinazolenga kukabiliana na athari za mlipuko wa #COVID19 katika Uchumi ili kudumisha uthabiti wa Sera...
  20. beth

    Deaths continue to rise as COVID-19 cases hit 715 in Kenya

    Kenya on Tuesday recorded 15 new cases of COVID-19, raising the country's total number to 715, Health CAS Rashid Aman has said. However, the number of fatalities in the country has risen now reaching 36 after three more fatalities were recorded in Mombasa. The CAS confirmed two died at home...
Back
Top Bottom