Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,831
Alisema Prof Lumumba
"We need to Magufulify Africa"
Make Africa great.
Mwanzo hakueleweka ila kwasasa kauli hii ina ukweli mkubwa mno.
Ukiangalia kwenye hili Janga la Covid-19 utauona ukweli wa hii kauli.
Magufuli kwa sasa nchi za ulaya ukitaja viongozi wa Africa tu jina la kwanza linalo wajia kichwani ni president of Tanzania JPM.
Misimamo imara kuhusu njia za Mapambano dhidi ya Covid-19 inatufanya sasa tuamini kweli tunahitaji ku Magulify Africa.
Angalia kuhusu lockdown mataifa yote sasa yanaanza kurudi kwenye msimamo wa JPM, hawataki tena kufungiwa.
Angalia kuhusu famigation JPM alisema hiyo inaua mende tu, mataifa yakamshambulia sana lakini leo hii WHO wanakuja kumuunga mkono tena kwa aibu.
Angalia kuhusu kufunga mipaka watu walisema tz itakuwa msambaza corona wengine wakafunga mipaka yao na Tz lakini leo hii wote wanafungua mipaka na kuja kumlilia JPM.
Angalia kuhusu matumizi ya dawa za asili na maombi nchi nzima, mataifa mengine wakamuita kinjeketile lakini leo hii sisi tunafungua michezo na vyuo.
Angalia kuhusu ubovu wa vipimo, Wana sayansi wakaja na matusi kibao lakini leo hii na wao wanaripoti ubovu wa vifaa huko kwao mfano Kenya huko.
Angalia kuhusu uchumi na kuchapa kazi, mataifa mengine yakasema tutapukutika lakini leo hii wanarudi na kuanza kufuata sera za JPM.
Yako mengi sana wandugu lakini kwa haya machache tunaweza kusema kuwa Magufulification of Africa ni kauli hai.
"We need to Magufulify Africa" God bless you Prof Lumumba.