covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. jmushi1

    Hivi kati ya maombi na nyungu, kipi kimetusaidia? Pia tumegunduwa dawa za kutosha! ni wazi Tanzania tumeishinda covid-19!

    Mimi binafsi nasema ni jambo la kumshukuru Mungu kwasababu amejibu maombi yetu na tumeishinda corona. Hatahivyo ninafahamu kuwa kuna wale ambao nyungu imewasaidia. Kuna member humu waliotoa ushuhuda. Kwa hali inavyoendela, dawa tunazo za kutosha zimezinduliwa na wataalam wetu na kuthibitishwa...
  2. MK254

    Madereva 9 Wakenya waliotokea Tanzania wagunduliwa kuwa na Corona. Visa vyafikia 700

    Jana tumeona ya Zambia, leo ya Wakenya tisa wameingia kutoka Tanzania wote wameathirika, duh! Bongo imekua vipi, hizo sera za kila kitu ruksa hata kusongamana kwenye vilabu kutawaponza sana. ======= Nine Kenyan truck drivers who arrived in the country from Tanzania are among 28 people who...
  3. M

    African Countries with the Highest COVID-19 Cases

    African Countries By Coronavirus Tests 1. 🇿🇦 South Africa - 324,079. South Africa has 9,420 confirmed cases of corona virus 2. 🇬🇭 Ghana - 155,201. Ghana has the highest confirmed cases in west Africa and has done the second highest tests in Africa 3. 🇪🇬 Egypt - 90,000. Egypt is the first...
  4. B

    Hizi biashara za vyakula hazisambazi covid-19 kweli?

    Moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi biashara za vyakula mfano: miwa iliyo menywa, mahindi ya kuchomwa, nk. Hivi hushikwa shikwa na watayarishaji hasa kwa miwa. Mahindi ya kuchomwa hushikwa shikwa hata na wateja kujiridhisha ugumu au ulaini wake. Sahani za vyakula, nyuma (uma), vijiko, vikombe...
  5. B

    As we run out of time and ideas, namna chache sana zinabakia za kuidhibiti COVID19 Tanzania

    Moja kwa moja kwenye mada. Ni kwa maslahi ya taifa hili na kwetu sote kuona kuwa covid-19 inadhibitiwa au hata kuuondoshwa kabisa nchini. Huu ugonjwa ni hatari na kwa bahati mbaya zaidi, hauwezi kuondoka wenyewe pasipo na jitihada za kutosha kutoka kwetu na hasa serikali. Duniani kote hata...
  6. Abdalah Abdulrahman

    This is the moment of the Truth, Tanzania fight against COVID-19

    COVID-19 has clearly affected people’s lives worldwide. The most disruptions are being caused by factory-closures, total lockdown, border closures, and other strict measures that have resulted in a lack of essential goods and services, raw materials for industries, parts, and components...
  7. Nyendo

    Kenya imethibitisha visa vipya 28 vya Covid-19 na kufanya visa kufikia 649, pia imetangaza kifo 1

    Idadi ya visa vya Corona nchini kenya imefikia 649 baada ya kutangazwa kesi mpya 28. Katika kesi hizo 28, watu 10 ni kutoka Mombasa, 9 kutoka Nairobi, 4 kutoka Migori, 2 kutoka Kajiado na mmoja mmoja kutoka Machakos, Kiambu na Homa Bay. Katika taarifa iliyotolewa Ijumaa na Waziri wa Afya Dr...
  8. Avriel

    Wizara ya Afya: Dalili za corona Tanzania ni tofauti na nchi nyingine

    Waziri wa afya asema dalili za corona Tanzania ni tofauti na nchi nyingine duniani, aagiza uchunguzi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona (Covid-19) kwa kuwa kuna...
  9. Titicomb

    Kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni filamu ya Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?

    Are the Pharmaceutical industries running the show? Hii kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni kama filamu la Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?. Mataifa yote duniani tuna chezeshwa mchezo kama wa kampuni ya kusadikika iitwayo Biocyte Pharmaceuticals wa kutengeneza Chimera Virus na tiba...
  10. Roving Journalist

    Zitto aituhumu Serikali kuficha takwimu za wagonjwa na vifo vya COVID-19, adai Zanzibar pekee vifo ni 32 na wagonjwa 235

    Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
  11. C

    COVID-19 Test Kits zilizogunduliwa kuwa na hitilafu kwingineko duniani siyo hizi za Magufuli

    Suala hili niliwahi kuliandikia post mahali, lakini nimeonelea kulianzishia uzi ili kulifafanua kwa undani zaidi. Katika kuhalalisha hoja ya JPM kulisha maparachichi na maboga test kits za COVID-19, Wafuasi wa JPM wamekuwa mara kwa mara wakitumia hoja kwamba hizi mashine sehemu nyingi duniani...
  12. beth

    Brazil yarekodi vifo vipya 615 vya COVID-19, Msemaji wa Rais apata maambukizi

    Nchi hiyo imerekodi vifo vipya 615 na idado hiyo inakuwa kubwa zaidi kuripotiwa kwa siku moja. Waziri wa Afya, Nelso Teich amesema Serikali inaweza kuanza kuweka masharti ya kutotoka ndani katika maeneo yaliyoathirika zaidi Aidha, Msemaji wa Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro, Otavio Rego Barros...
  13. jmushi1

    Wataliano wanadai wamegundua chanjo ya COVID19!

    Italian scientists claim to develop world’s first COVID-19 vaccine A team of researchers in Italy has claimed to develop a vaccine which can help them to contain coronavirus which causes COVID-19. The breakthrough achieved by the scientists at Lazzaro Spallanzani National Institute for...
  14. M

    Good news as ltaly has allegedly discovered a new Vaccine for COVID-19

    A doctor administering a vaccine to a patient. [Source/cnbctv18.com] As the war against the world wide coronavirus pandemic continues, there are many countries and organizations that are trying so hard to come up with its vaccine. Recent allegations have pointed out that Italy, a country that...
  15. M-mbabe

    Serikali lugha gongana: Wizara ya Afya inakataza matumizi ya barakoa za nguo kujilinda na COVID-19, Wizara ya Viwanda yahimiza zitengenezwe kwa wingi

    Yaani nchi hii ni pasua kichwa. Makosa yaliyofanywa na kina JK, Oktoba 2015 ni dhambi kubwa sana ambayo sidhani kama Mungu atawasamehe. Pathetic!!
  16. Sky Eclat

    Vifo vya COVID-19 Uingereza vimefika 288 kwa siku

    Idadi iliyokusanywa kutoka mahospitalini na kwenye nyumba za kulea wazee imefika 288 kwa siku. Hii ni idadi ndogo kutangazwa tangu mwezi March. Waziri Mkuu Boris Johnson ametangaza hatua zitakazo chukuliwa kuitoa nchi kwenye lockdown.. The number of people who have died after testing...
  17. Return Of Undertaker

    Dkt. Mwele: Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!

    Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki! Dr Mwele at twitter calibrate /ˈkalɪbreɪt/ verb mark (a gauge or instrument) with a standard scale of readings or correlate the readings of (an instrument)...
  18. kakamtumishi

    Corona sio siasa ya kuimaliza kwa propaganda

    Maswali na hoja muhimu katika hotuba ya Rais. Rais amesema kwamba mara zote amekuwa na wasiwasi kwamba kila wakipima majibu ni postive, postive, postive, postive... Si jambo baya lakini wakati mwingine mtu hupata majibu kutokana na precedence aliyotengeneza mwenyewe kwa kuwa hicho ndicho...
  19. M

    Exposed: Tanzania is hiding the true number of people who died from COVID-19

    Tanzania is one of the country in Africa which never responded quickly to the deadly COVID-19 which broke out from Wuhan city in China. President John Pombe Magufuli allowed activities to continue running normally and now the disease is treating the citizens from Tanzania otherwise. The...
  20. wanzagitalewa

    COVID-19: Teknolojia inavyoweza kutusaidia kuendesha maisha

    Hali inaonesha kwamba, nchi nyingi duniani zimeathirika na homa ya Virusi vya Korona na athari hizi huenda zikabaki katika maisha ya watu kwa muda mrefu. Mbali na njia mbalimbali za kupambana na maambukizi kama kufunga shule na kuzuia mikusanyiko, Watanzania wengi pia sasa wanatumia njia za...
Back
Top Bottom