Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ni Mtu 1 kati ya 500 kutoka Nchi za kipacho cha chini ndio ana uwezo wa kupatiwa Chanjo ya COVID19 ikilinganishwa na Nchi zilizoendelea ambapo mtu 1 kati ya 4 amepata Chanjo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) António Guterres amesema hakuna...
May 10, 2021
Education Ministry Cabinet Secretary Prof. George Magoha has maintained that schools shall reopen on May 10, 2021 as earlier planned.
The CS dispelled rumours that opening dates for primary and secondary schools may change over the third wave of coronavirus that has struck Kenya...
Kamishna wa Umoja wa Ulaya anayehusika na Soko la Ndani, Thierry Breton amesema umoja huo haujarefusha mkataba wa kuendelea na chanjo ya Covid-19 ya ubia wa makampuni ya Kiingereza na Kisweden ya AstraZeneca.
Breton ameiambia televisheni ya Ufaransa "France International" kwamba hawajarefusha...
Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19.
Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji wanaorejea na...
Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo.
=======
Rais Samia Suluhu Hassan
Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia.
Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji.
Cha kushangaza Mwambe...
Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19?
Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi!
Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana.
Sasa kweli hiyo kamati...
Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana.
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda.
Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla...
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na watanzania wengi kwamba haukuwa wa haki na kupelekea zaidi ya 99% ya wabunge wa ccm kuteuliwa na katika...
Full article here
Was Tanzania vindicated on Covid testing claims?
Was Tanzania vindicated on Covid testing claims?
Tuesday, 20 April 2021 11:24
Written by Sonia Elijah...
UINGEREZA imeiweka India katika orodha nyekundu, red list, ya vikwazo vya safari. Rais wa Uingereza peke yao ndio watakaoruhusiwa kuingia kutoka India. Zuio hilo linaanza kesho Ijumaa. April 23, 2021.
Hii ni baada ya mfumuko mpya wa maambukizi na vifo vya COVID-19 nchini India unaoifanya nchi...
Wakati huu wa kuelekea maridhiano ya kitaifa kwa siasa za Tanzania, CHADEMA tujitathimini pia, hasa kuhusu Mzee Halima na wenzake!
Ni kweli wapo bungeni kwa makosa, Mahera na nani sijui kwenye chama walifanya yao, lakini ni mbunge gani yupo pale kihalali?! Majaliwa au Ndugayi?
Najua maamuzi...
Dunia kwa sasa imeanza kuukubali msimamo wa aliekua Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli kuhusu ugonjwa wa corona na test kits zake.
Wazungu na utaalamu wao wote wanaanza kuukubali msimamo wa Aliekuwa kiongozi mmoja mweusi kutoka nchi ya Tanzania dhidi ya propaganda zilizo nyuma ya ugonjwa wa...
Israelis are no longer required to wear masks outdoors. The country is nearly fully open. #Coronavirus
===
With most of its population vaccinated against COVID-19, Israel on Sunday dropped the requirement to wear masks outdoors and fully reopened schools for the first time...
- Mengi yanaendelea kuhusu chanjo ya covid ambayo ilitolewa ndan ya miezi michache tu na tukalazimishwa kuchanjwa wote bila kuuliza maswali, sasa taarifa nnayotoka kuskiliza apa ni kwamba achana na wale wa blood clotting, sasa hivi imepiga hatua zaidi izi taarifa zimfikie mbowe
1. Wazungu wana defy covid restriction ili waende beach kuogelea. Wao shida yao ni kustarehe!
Beach partygoers in Barcelona defy Covid-19 restrictions
2. Wahindi wamefanya kitu kinaitwa super spreader kwa kwenda mto Ganges kuogelea ili watakaswe dhambi zao! wao shiida yao ni dini, waondolewe...
Hadi sasa dawa ya chanjo ya Astra Zeneca imezuiwa kutumia katika nchi mbalimbali duniani.
Dawa hii ambayo yatengenezwa nchini Uingereza imedaiwa kusababisha mgando wa damu na hatimae muathirika kufariki kwa moyo kukosa hewa kutoka mwenye mishipa ya damu.
Uingereza iliiweka Tanzania kwenye ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.