kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 8,375
- 10,017
Dunia kwa sasa imeanza kuukubali msimamo wa aliekua Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli kuhusu ugonjwa wa corona na test kits zake.
Wazungu na utaalamu wao wote wanaanza kuukubali msimamo wa Aliekuwa kiongozi mmoja mweusi kutoka nchi ya Tanzania dhidi ya propaganda zilizo nyuma ya ugonjwa wa korona.
Magufuli alikuwa sahihi sana kuhusu kuhoji ubora wa vifaa vya upimaji wa korona, lockdown, nchi nyingi saivi wananchi wanaandamana wamechoka kufungiwa ndani, baadhi ya majimbo Marekani yameondoa kabisa zuio la lockdown kwa mfano jimbo la Texas, hata ndugu zetu Wakenya wanalia waachiwe huru, lockdown zimewachosha na hazina msaada wowote.
Baadhi ya nchi kama Sweden zimefanya tafiti kuvaa barakoa sio suluhisho la kuzuia korona.
Juzi mshauri wa masuala ya Magonjwa wa Uingereza kaishauri serikali yake wajifunze kuishi na corona bila mazuio yoyote.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe, Msimamo wa Magufuli ulikua sahihi 100% kuhusu corona, baadhi ya Watanzania wachache waliokua wanaupigia chapuo huu ugonjwa na kuukuza ndio waliokua wanawatengenea wananchi hofu zisizo za msingi.
Leo hii Dunia imeshtukia propaganda zilizopo nyuma ya huu ugonjwa unaoitwa covid-19, kitu ambacho Mwendazake alikijua mapema kabisa toka ulipoanza.