#COVID19 In the era of covid 19 pandemic: Tuna mahitaji yanayotofautiana sana in terms of defying Covid-19 restrictions

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,000
2,000
1. Wazungu wana defy covid restriction ili waende beach kuogelea. Wao shida yao ni kustarehe!

Beach partygoers in Barcelona defy Covid-19 restrictions


2. Wahindi wamefanya kitu kinaitwa super spreader kwa kwenda mto Ganges kuogelea ili watakaswe dhambi zao! wao shiida yao ni dini, waondolewe dhambi

Super-spreader fears in India as millions gather for month-long festival​


3. Waafrika wanadefy covid restriction ili waende kanisani/msikitini!

Tanzanian President Criticized for Refusing to Close Places of Worship​

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom