covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Akili

    Tujadili na kushauri Serikali kuhusu chanjo za Covid -19 na ukusanyaji wa takwimu zinazotakiwa na WHO

    Jana rais wetu ameagiza kuundwa task force ya watalaam kuchambua kwa makini masuala haya ya covid 19 na kuishauri serikali hatua sahihi za kuchukua. Pressing issues hapa ni hasa msimamo wetu kuhusu chanjo za covid na utoaji wa takwimu zinazohitajika WHO kila siku. Tujadili faida na hasara au...
  2. Webabu

    Kamati ya Kuchunguza Covid-19 iwe makini sana na hadidu rejea

    Kamati iliyoahidiwa na mheshimiwa Rais Samia Suluhu ya kuchunguza corona inabidi iweke hadidu rejea zake kwa umakini bila kupendelea upande wowote.Mambo yafuatayo ni muhimu kuyaweka kwenye utafiti wao. Jinsi corona inavyoambukiza watu wa rika tofauti na sababu zake? Je, dawa za kiasili...
  3. B

    Rais Samia: Tanzania sasa kushirikiana na dunia kupambana na Covid -19

    6 April 2021 Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaunda kamati ya kufuatilia gonjwa la Covid-19 na kushirikiana na jumuiya ya kimataifa kuhakikisha chanjo bora na salama inapatikana. Pia akaongeza Tanzania itaanza kutoa takwimu za walioambukizwa na waliopona Covid -19...
  4. S

    Freeman Mbowe, kimya cha sakata la wabunge 19 ni bomu kwa CHADEMA

    Mheshimiwa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA taifa. Popote ulipo nakusihi ufahamu kuwa kimya hiki kwenye suala la wabunge 19 ni bomu linalosubiria kulipuka ndani ya chama. Basi fanya hima kuitisha kikao hata online,ili hukumu ya rufaa ya wanawake hawa iwe dhahiri. Kila la kheri.
  5. Jackal

    Israel: Janga La Covid-19 Limekaribia Kufikia Mwisho!

    This is amazing. The country is nearly fully open. Today there are 96% fewer cases compared to the peak in mid-January. This is thanks to the vaccination rollout in Israel.
  6. Analogia Malenga

    Nchi 14 zatilia shaka ripoti ya ‘WHO’ kuhusu asili ya COVID-19

    Japan nchi za Umoja wa Ulaya na Marekani zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vya Corona. Aidha wamesema hawakupewa ushirikiano wa kutosha na China kwa kuwa walinyimwa uwezo wa kupata taarifa sahihi za ugonjwa huo. Hivyo wanaona ni vyema...
  7. L

    Afrika yakabiliwa na utata katika kupambana na ugaidi wakati wa kuishi na COVID-19

    Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu wengi na uharibifu mkubwa, na huenda nusu ya ardhi katika kaunti hiyo inadhibitiwa na kundi hilo...
  8. Mac Bully 001

    President Uhuru Kenyatta orders new lockdown to battle COVID-19 infections wave

    Hii ishakua taabu. Phase 3 ya covid-19 imezua mtata sasa baada ya Rais Kenyatta kuagiza kufungwa(Partial Lockdown) kwa miji/mikoa hii;Nairobi,Machakos, Nakuru, Kajiado na Kiambu, kutokana na ongezeko la maambukizi haya tata. Sehemu za kuabudu, shule(isipokuwa wale wanaofanya mtihani wa mwisho...
  9. Sam Gidori

    Utafiti: Pata muda wa kutosha kulala kujikinga na corona

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, watafiti wameonesha kuwapo uhusiano baina ya maambukizi ya corona na usingizi. Utafiti uliofanyika awali ulionesha kuwa asilimia 40 ya watu waliopata maambukizi ya virusi vya corona walikuwa na matatizo ya kupata usingizi. Utafiti mpya unaonesha kuwa watu...
  10. Sam Gidori

    Kiongozi Mkuu wa upinzani Congo-Brazzaville afariki kwa Corona siku ya uchaguzi

    Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kongo (Congo-Brazzaville) na mgombea wa kiti cha urais amefariki kwa COVID-19 ikiwa ni saa chache tu baada ya vituo vya uchaguzi kufungwa. Guy-Brice Parfait Kolelas alifariki akiwa kwenye ndege akipelekwa nchini Ufaransa kwa matibabu baada ya kuumwa. Saa...
  11. Roving Journalist

    Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

    Salaam Wakuu, Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli. Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na wengine kuzimia. Nmempigia Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke kumuuliza juu ya vifo hivi, baada ya...
  12. Kuchasoni Kuchawangu

    Baada ya kumaliza Maombolezo ya kumuaga mpendwa wetu Magufuli, tujiandae na maambukizi mapya ya COVID-19

    Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19. Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla...
  13. B

    The danger of wearing facemasks (Barakoa) for preventing COVID-19: Hypothetical perspectives

    Dear fellow Tanzanians, I would like to present to you a recent paper published in a journal "Medical Hypothesis, Volume 146, January 2021, 110411" with regard to wearing facemasks for preventing supposedly COVID-19 disease. The author concluded that the wearing of facemasks is ineffective in...
  14. Analogia Malenga

    Vifo kutokana na COVID-19 vyafikia 900,000 barani Ulaya

    Idadi ya vifo kutokana na COVID-19 barani Ulaya imefikia watu 900,000 leo. Hayo ni kulingana na takwimu za mamlaka za afya zilizojumuishwa na shirika la habari la AFP. Idadi hiyo inalifanya bara la Ulaya kuwa lililoathirika zaidi baada ya kusini mwa Amerika na nchi za Karibea ambazo zimesajili...
  15. Prof Koboko

    Askari wetu acheni kucheza na maisha yenu. Hivi tahadhari dhidi ya COVID-19 iko wapi hapa?

    Hivi kweli hapa askari wangu hapa mnajiaminia nini ndugu zangu? Au mnafikiri mdudu naye mtampiga risasi? Kuna wakati tunatakiwa kutumia maarifa ikiwa tunayataka maisha marefu na tunatambua kua familia zinatutegemea.
  16. Sky Eclat

    Mawazo ya viongozi wetu juu ya Covid-19

    UNPATRIOTIC! Mng'ang'ana hawajatangaza Corona ipo, Kwani Corona ni kama mwewe au mwizi unaweza kuifukuza kwa mayowe!? Eti hawajatoa takwimu, Hivi tukifanya sensa kila asubuhi nani anaumwa na kutaja kama mafungulio ya wafungwa ndio wanapona? Tukitaja waliopoteza Maisha hata wa magonjwa mengine...
  17. T

    Rais Uhuru Kenyatta kuhusu Corona: Unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliyekufa

    Katika hali inayoashiria kuwa ni 'dongo' kwa nchi zinazopuuzia kujilinda na Corona, Rais Kenyatta amesema kama taifa waliamua kunusuru uhai wa raia badala ya uchumi kwa sababu unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliyekufa. Ndiyo sababu walichukua hatua hizo tangu mwanzo kupambana na...
  18. kavulata

    Kama wanaweza kutengeneza Bombadia wanaweza pia kutengeneza chanjo ya Covid-19

    Ndugu zangu wanasiasa lazima tukubali kuwa wenzetu walianza zamani sana kwenye sayansi na teknolojia, wanatuzidi mbali sana. Kama tunaamini wanaweza kututengenea ndege kubwa na nzuri, computers, nguo, mkonga wa taifa, chanjo za surua na kifaduro LAZIMA tukubali kuwa wanaweza kutengeneza hata...
  19. J

    Dalili mpya za COVID-19 za kuzingatia

    Licha ya dalili za awali zinazotambulika tangu wimbi la kwanza, pia kuna dalili nyingine zinazogunduliwa na madaktari hivi karibuni, ambazo zinahitaji uangalifu. Madaktari nchini India wanaamini kuwa baadhi ya dalili zinazidi kuongezeka katika visa vilivyoripotiwa tangu mwezi uliopita...
  20. B

    Tukubali chanjo, Covid-19 ipo na inaua

    Ni muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa. Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania iliamua kutumia mbinu zenye kuhatarisha maisha, kama kuruhusu mikusanyiko ya watu, kutokupima watu corona...
Back
Top Bottom