Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
Kujitenga ni kwa ajili ya watu wenye dalili za Korona pamoja na ambao hawana dalili lakini wamepima na kuthibitika kuwa wana virusi vya Korona
Hatua za kuchukua ni kama zifuatazo:-
Kaa nyumbani isipokuwa kama utahitaji kupata huduma ya matibabu
Kaa katika chumba tofauti na wanafamilia...
Wasafiri wanaoingia au kutoka Zanzibar kuanzia leo vipimo vyao vya Covid-19 vitachukuliwa kutoka hoteli kubwa na matokeo kupelekwa kwa mamlaka husika kwa njia ya elektroniki.
Hii inafuatia kuletwa kwa ripoti ya maabara ya elektroniki ya Covid-19 na Wizara ya Afya ya Zanzibar, Maendeleo ya...
Mbona wenye lockdown bado wanafanya shughuli kama kawa?
Marekani tokea corona ianze hawajaacha kutengeneza filamu, na filamu zina watu zaidi ya 100 on set. Hawakuacha kufanya kampeni, japo midahalo ilikua na virtual attendees lakini mikutano watu walikua wanajaa tena wengine bila barakoa...
TAARIFA KWA UMMA
HALI YA MAAMBUKIZI YA COVID- 19 NCHINI TANZANIA NA HATUA ZA KUCHUKUA
Ndugu wanahabari!
Karibuni tena kwenye Ukumbi huu wa Shaaban Khamis Mloo ambapo CUF- Chama Cha Wananchi kinaongea na Umma wa Watanzania kwa mara nyingine kupitia kwenu.
Awali ya yote ningependa kumshukuru...
SERIKALI imesema inaendelea na jitihada za kukabili maambukizi mapya ya virusi vya Corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 kwa kutafuta tiba mbadala, huku ikibainisha kuwa licha ya kutumia njia za asili, inaukabili ugonjwa kisayansi pia.
Imenunua mashine mbili zenye thamani ya Sh bilioni...
Wataalamu wa epidemiology ya magonjwa wanasema hakuna aliye salama mpaka kila mmoja wetu amekuwa salama. What does this translate to in our case with regard to the way we are handling the pandemic?
Dunia haitakubali Tanzania iwe hotspot ya covid 19 transmissions, maana kama kwetu ndiyo...
Tuendelee juwa na subra, kwenye bustani ya wanyama ya sandiego huko San Diego, nyani na sokwe ndiyo wanyama wa kwanza kupatiwa chanjo tofauti na binadamu kwa kupokea chanjo ya COVID-19.
Habari hii inakuja baada ya masokwe wanane katika bustani hiyo ya wanyama waliopimwa na kujaribiwa kukutwa...
Wana jamvi amani kwenu !
Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote...
PFizer ni kampuni kubwa na maarufu ya tafiti ya madawa nchini Marekani na maarufu pia kufanya majaribio ya Dawa zake barani Afrika. Katika kutafuta Chanjo ya Korona 2020 wameshirikiana na Kampuni ya Ujerumani BioNTech (Pengine katika Kujikosha) huku wakidai Chanjo yao ina ufanisi wa 95%
Na...
Polisi nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi bandia za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, Polisi wa kimataifa, Interpol wameeleza.
Polisi wamewakamata watu 80 kwenye kiwanda nchini China kwa madai ya kutengeneza chanjo bandia , ambapo dozi 3,000 zilibainika tayari...
OFISI KUU ya Mafunzo ya Imani ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Marekani.
Pamoja na maaskofu wa dayosisi kadhaa nchini humo wamewaonya wana kondoo wao kuepuka chanjo ya Covid-19 inayozalishwa na kampuni ya Johnson and Johnson kwa sababu imekiuka misingi ya maadili ya kanisa kuanzi...
Rwanda inapokea awamu ya kwanza ya chanjo ya Covid 19 yenye dozi zipatazo 240,000 za Astra Zenneca kutokea za Oxford. Dozi hizo zinatarajiwa kufika nchini humo siku ya jumatano asubuhi.
Aidha, awamu ya pili ya ya upokeaji wa chanjo hizo inatarajiwa kuwa na jumla ya dozi 171,480.
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe.
Ameichagiza BAKWATA kuishikiniza serekali ya awamu ya 5 iruhusu chanjo kwa Watanzania ili waweze kutekeleza hii nguzo muhimu sana kwa Waislamu.
Hili ni la kwako mzee wetu Mufti Zuberi.....kabiliana na swahiba wako asiyetaka chanjo ili Mungu aendelee...
Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini”
Amemshambulia sana Rais Magufuli.
1...
Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu wengi na uharibifu mkubwa, na huenda nusu ya ardhi katika kaunti hiyo inadhibitiwa na kundi hilo...
Mgonjwa aliyepandikizwa mapafu amekufa baada ya kupokea #mapafu yaliyoambukizwa na Covid-19, kulingana na utafiti wa kimatibabu ulioelezea kesi ya kwanza kama hiyo nchini Marekani.
Kulingana na ripoti iliyochapishwa katika Jarida la Amerika la Kupandikiza viungo, mwanamke huyo, ambaye...
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema WHO haijapokea taarifa yoyote kutoka Tanzania juu ya hatua zinazochukuliwa na serikali kuhusiana na janga la corona.
Tedros amesema kwenye taarifa yake kwamba hali hiyo inatia wasiwasi na ameitolea mwito...
Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Rais Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume.
Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.