covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    Qatar yasema watakaopata Chanjo pekee ndio wataruhusiwa kushuhudia Kombe la Dunia

    Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani, amesema watu waliopata Chanjo dhidi ya COVID19 pekee ndio wataruhusiwa kushuhudia Kombe la Dunia mwaka 2022. Taifa hilo limesema lipo katika majadiliano ili kupata Dozi Milioni 1 ili kutoa Chanjo kwa baadhi ya watu...
  2. B

    Suluhisho dhidi ya kuchochea maambukizi ya Covid-19 nyakati za usaili wa kazi

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda. Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa. Sekretarieti ya ajira imekuwa ikiita watu kwenye usaili Dodoma na Dar es Salaam. Idadi hii ni kubwa sana kama wahusika wote...
  3. beth

    Brazil: Vifo vitokanavyo na COVID-19 vyafikia 500,000

    Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa Corona Nchini Brazil imefikia 500,000 huku Wataalamu wakionya janga hilo linaweza kuwa baya zaidi kutokana na kasi ndogo ya utoaji Chanjo Maelfu ya watu wameandamana Jumamosi dhidi ya Serikali wakitaka mabadiliko katika programu ya Chanjo. Miji...
  4. beth

    Uganda goes into total lockdown as Covid-19 infections rise

    The death of 234 Ugandans due to Covid-19 in the last one month has forced President Museveni to declare a total lockdown in Uganda, six months after the state had made pronouncements of a gradually phased re-opening. ‘‘All cross boundary and inter-district movement of public or private...
  5. beth

    UNHCR: Idadi ya watu waliokimbia makazi yao imeongezeka licha ya janga la Corona ulimwenguni

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema idadi ya watu waliolazimika kukimbia makazi yao duniani kwasababu ya mapigano na ukiukwaji wa Haki Za Binadamu imeongezeka kufikia Milioni 82, licha ya athari za mlipuko wa COVID19. UNHCR imesema licha ya ugumu wa kwenda maeneo...
  6. Miss Zomboko

    Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya Covid-19

    Mkuu wa shirika la afya duniani kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya COVID-19 kwa mataifa maskini wa COVAX. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliunda tume ya ushauri kuhusu janga la virusi vya corona iliyotoa...
  7. Tajiri wa kinyankole

    Suala la ugonjwa wa Covid-19 Tanzania lazima liangaliwe kwa mapana

    Ni wazi kuwa Tanzania tangu ugonjwa huu mkubwa ulipuke duniani kote tumeendelea kuchukua tahadhali ikiwa njia ya kutumia dawa zetu za kienyeji pamoja na kujifukiza hii njia ilituvusha mwaka 2020 na ndiyo maana hatukuweza kufungiwa majumbani na maisha yaliendelea kama kawaida. Baada ya hayati...
  8. beth

    MUCE yawataka Wanafunzi na Wafanyakazi kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID-19

    Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na...
  9. S

    Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

    ABOUT THE FOOTAGE below:- In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body. This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
  10. beth

    COVID-19: Mji Mkuu wa Namibia, Windhoek wawekwa Lockdown kwa wiki mbili

    Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek umewekwa Lockdown kwa wiki 2 ambapo wananchi hawatoruhusiwa kuingia au kutoka kufuatia ongezeko la maambukizi na vifo vya COVID19 Mbali na hayo, mauzo ya pombe nayo yamedhibitiwa kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi ambapo zitauzwa kwa mfumo wa 'take-away'. Viongozi...
  11. L

    Siku ya Mtoto wa Afrika: Athari za Covid-19 kwa watoto

    Mwaka 1991, Jumuiya ya Nchi Huru za Afrika (AOU) ambayo sasa inajulikana kama Umoja wa Afrika (AO), ilitangaza Juni 16 kila mwaka kuwa Siku ya Mtoto wa Afrika, ikiwa ni kumbukumbu ya mauaji ya Soweto, nchini Afrika Kusini Juni 16, 1976 ambapo polisi waliwashambulia kwa risasi wanafunzi waliokuwa...
  12. beth

    175,200 Covid vaccines arrive today

    Uganda will receive its second batch of Covid-19 vaccine doses today. A total of 175,200 doses of AstraZaneca vaccines were donated by the French embassy under the COVAX programme. Officials from both the Ministry of Health and Unicef Uganda confirmed the development. Mr Emmanuel Ainebyoona...
  13. beth

    India: Maambukizi ya COVID-19 yaendelea kupungua

    Mwenendo wa mlipuko wa COVID19 Nchini humo unaendelea kubadilika na sasa India imerekodi maambukizi mapya 70,421 ndani ya saa 24 zilizopita, ikiwa ni idadi ndogo zaidi kuripotiwa tangu Machi 31. Taifa hilo limerekodi jumla ya visa Milioni 29.51 na vifo vimefikia 374,305 baada ya vingine 3,921...
  14. tejar37

    What are the positive impacts of the COVID-19 crisis?

    What are the positive impacts of the COVID-19 crisis?
  15. beth

    DR Congo: Rais asema Hospitali za Kinshasa zimelemewa na COVID-19

    Rais Felix Tshisekedi amesema Hospitali za Mji Mkuu wa Kinshasa zimelemewa kufuatia ongezeko la maambukizi ya Corona. Taifa hilo limerekodi visa takriban 35,000 na vifo 830 Kampeni ya Chanjo Nchini DR Congo ilichelewa kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana na hofu juu ya athari za AstraZeneca na...
  16. B

    Four Ambassadors to Tanzania talk about the economy, politics and COVID-19

    9 June 2021 The ambassadors answer topics touching Business matters and how Nordic companies operates in Tanzania. REPOA commissioned a survey on Nordic companies that are in Tanzania and issued a detailed report on business environment, potential areas for investment, skills development...
  17. beth

    UAE bans travellers from Uganda over Covid-19

    The United Arab Emirates (UAE) will suspend entry for travellers coming from Zambia, the Democratic Republic of Congo and Uganda starting June 11, as part of efforts to contain the spread of the coronavirus, state news agency WAM said yesterday. The measure applies to transit passengers, in...
  18. beth

    Mwigulu Nchemba: Uchumi wa Tanzania umekua licha ya mlipuko wa COVID-19. Deni la Serikali ni himilivu

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema licha ya mlipuko wa COVID19, Tanzania ni miongoni mwa Nchi chache zilizokuwa na ukuaji wa Uchumi chanya kwa mwaka 2020. Amesema Pato la Taifa la Tanzania lilikua kwa 4.8% na sekta zilizochangia kwa kiasi kikubwa katika ukuaji ni Ujenzi, Habari na...
  19. P

    Tanzania hatujawahi kulala njaa kwa kukosa mkopo dhidi ya COVID-19, woga na tamaa ndiyo itakayotumaliza

    IMF imeitega Tz Kwa kutaka kuipa mkopo wa kupambana na C - 19 na kuielekeza jinsi inapaswa ifanye ili ipewe huo mkopo Ok, pale mwenye nacho anapotaka kumyang'anya zaidi mwenye kidogo, na Masikini Mtu jasiri akitaka kurogwa na Mchawi huanza kwa kutishiwa tishiwa, mara sijui kesho hutaiona...
  20. Job Richard

    Benki ya Dunia yaahidi kuisaidia Tanzania kukabiliana na athari za Corona

    Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za ugonjwa wa Uviko 19 katika Sekta mbalimbali ikiwemo ya Utalii, biashara na bajeti ya Serikali. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alipokutana na...
Back
Top Bottom