covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. Job Richard

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaahidi kuisaidia Tanzania kukabiliana na athari za Corona

    Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za ugonjwa wa Uviko 19 katika Sekta mbalimbali ikiwemo ya Utalii, biashara na bajeti ya Serikali. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alipokutana na...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Vifo vya Covid-19 vyafikia 3308

    Kenya imerekodi maambukizi mapya 148 ya Corona na kufanya kuwa na jumla ya maambukizi 172,639 tangu kuripotiwa COVID19 nchini Kenya. Ndani ya Saa 24 zilizopita watu 21 wamefariki kwa COVID19 na kufanya idadi ya jumla kuwa 3,308 Aidha wagonjwa 631 wamepona na kufanya idadi kuu ya waliopona...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China iko tayari kubeba jukumu la uongozi katika kuisaidia Afrika kufufuka baada ya janga la Covid-19

    Kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Mjumbe wa Taifa wa China na Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi amesema China inaona uwezo wa Afrika wa kusimamia COVID-19 ni muhimu katika kusaidia dunia kufufua biashara na uchumi wake. Serikali ya China imesema Beijing inaiunga mkono Afrika kufufuka...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda closes schools as Covid cases rise

    Uganda's President Yoweri Museveni has shut down schools and suspended public gatherings as the country faces a surge of infections in a second Covid-19 wave. Public transport between districts will be banned starting Thursday to allow students who are in schools to return home. Bars, cinemas...
  5. Soweto2006

    JamiiForums Tanzania Nimepona corona baada ya kuugua 14 days

    Leo kwa mara ya kwanza nahisi naishi duniani baada ya recovering ya corona. Nimeugua sana kwa week mbili, ombi langu kwenu wote kama una magonjwa kidogo kama BP, Sugar, TB, HIV nakadhalika, jitahidi kwa nguvu zote kuiepuka Covid19. Yaani hakikisha haikupati ndugu yangu
  6. MenukaJr

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19: Tuchague kusuka ama kunyoa

    Serikali kusema uongo ni kosa. Kamati inayoundwa na Rais wa nchi nzima kusema uongo ni kosa zaidi. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa kusema uongo au kupumbaza watu. Chanjo ya korona, tuchague moja. Kusuka ama kunyoa!! Kama haina madhara, ni ya ufanisi kama ilivyopendekezwa na Kamati tuichukue. Kama ni...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rwanda imeanza zoezi la utoaji chanjo ya pili ya AstraZeneca dhidi ya COVID-19

    Awali wananchi hawa walitakuwa kuchomwa dozi ya pili ya AstraZeneca wiki nne baada ya chanjo ya kwanza dhidi ya virusi vya Corona kukamilika lakini haikuwezekana kutokana na sababu zisizozuilika, wizara ya afya nchini Rwanda ilisema Rwanda imeanza zoezi la kutoa chanjo ya pili aina ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kutimiza ahadi yake ya kusaidia nchi za Afrika kupata chanjo ya Covid-19 na kuhamisha teknolojia

    Hadi mwishoni mwa mwezi Mei China ilikuwa imetoa msaada wa zaidi ya dozi milioni 20 za chanjo ya Covid-19 kwa karibu nchi 40 za Afrika ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuhakikisha dunia inasonga pamoja kwenye utoaji wa chanjo. Kama sehemu ya Ushirikiano wa Kusini na Kusini, China iliahidi...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania EU: Chanjo ya Pfizer yaidhinishwa kwa watoto wa miaka 12 hadi 15

    Shirika la Dawa Ulaya (EMA) limeidhinisha Chanjo ya Pfizer-BioNTech kwa Watoto wa miaka 12-15 ambapo Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zitaamua ikiwa zitaitoa kwa kundi hilo Imeelezwa, majaribio yameonesha Chanjo kwa kiasi kikubwa inadhibiti maambukizi ya COVID19. Pfizer iliidhinishwa kwa...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania China yasema mlipuko ya COVID-19 kugeuzwa kuwa siasa kutadhoofisha jitihada za kupambana nao

    China imesema kufanya uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa suala la kisiasa kutadhoofisha jitihada za kupambana na mlipuko huo Ubalozi wa Taifa hilo Nchini Marekani umetoa kauli hiyo baada ya Rais Joe Biden kuagiza Ripoti ya jinsi Virusi vilivyoibuka kwa mara ya kwanza ipitiwe Mara...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mitungi milioni 4 ya oksijeni yahitajika duniani kote kila siku kwa wagonjwa wa COVID-19

    Janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limeongeza mara nne mahitaji ya kila siku ya hewa ya oksijeni kwa wagonjwa katika nchi za kipato cha chini na kati, amesema Philippe Duneton, Mkurugenzi wa UNITAID, ambalo ni shirika tanzu la shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO likiwa na...
  12. GREAT INVESTOR

    JamiiForums Tanzania Nimepata chanjo ya COVID-19

    Kwema wadau, Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19. Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings) Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana...
  13. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Ushelisheli (Seychelles) yakumbwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa covid-19 pamoja na kuchanja asilimia 60 ya raia wake

    63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi mbili (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona. Zaidi soma hapa...
  14. muzi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya upimaji wa COVID-19 Airport ni kero. Gharama sijui unafanya kazi gani?

    Tanzania tunatia aibu, nimesafiri kwenda nje nikapimwa na kupewa certificate na kulipa pesa. Baada ya kufika nje nilionyesha certificate wakagonga muhuri nikaendelea na shughuli zangu. Baada ya kumaliza pilika pilika nikapima kule nje baada ya kufika Dar eti wanalazimisha kupima tena...
  15. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Ni muhimu sana kuwa informed kabla ya kukubali

    Dr Yeadon, aliyewahi kuwa Makamu Rais wa Pfizer, moja ya makampuni yaliyotoa chanjo ya Korona, anasema: “I have absolutely no doubt that we are in the presence of evil (not a determination I’ve ever made before in a 40-year research career) and dangerous products,” Dr. Yeadon bravely revealed...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania New World Order: My COVID-19 Passport

    Happy Monday! Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate. Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa. Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa. Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma...
  17. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania haitakubali chanjo ya Corona kabla ya kujiridhisha

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu leo akiwa anahutubia kwenye baraza la Eid amewatoa hofu mashehe na watanzania kwa ujumla kuwa Tanzania siyo uwanja wa majaribio na haitakubali kupokea chanjo ya Corona kabla ya kufanya utafiti wa faida na madhara ya chanjo hiyo kwa watanzania. My take. Chanjo ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya China kuidhinishwa na WHO ni muhimu kwa mapambano ya COVID-19 barani Afrika

    India ni nchi inayotengeneza na kutoa chanjo ya Corona kwa wingi zaidi kwa nchi za Afrika kupitia mpango wa COVAX, lakini wimbi jipya la maambukizi ya virusi linalotokea nchini humo litasababisha ugumu kwa utoaji wa chanjo. Kutokana na nchi nyingi za Afrika kumaliza sehemu ya kwanza ya chanjo...
  19. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SUA rats to sniff COVID-19 infection

    RESEARCH in the employment of rats to sniff landmines, TB bacteria and other hidden pathogens will soon enable the Sokoine University of Agriculture (SUA) to field the rats to detect coronavirus infections. Dr Georges Mgode, a senior researcher and manager of the SUA-APOPO rat research...
  20. BAK

    JamiiForums Tanzania COVID-19 catastrophe could have been prevented, says independent probe

    The catastrophic scale of the Covid-19 pandemic could have been prevented, an independent global panel concluded Wednesday, but a "toxic cocktail" of dithering and poor coordination meant the warning signs went unheeded. The Independent Panel for Pandemic Preparedness and Response (IPPPR) said...
Back
Top Bottom