covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Natamani mdahalo 'live' kati ya wanaokubali na kukataa chanjo ya COVID-19

    Timu "chanjo Yes" iongozwe na Dr Gwajima na timu "chanjo No" iongozwe na Askofu Gwajima! Huo mdahalo mtoto hatumwi dukani. Kuna timu moja naiona haiwezi kuthubutu kutia mguu kwenye mdahalo huo, naiona ina hali mbaya. Wamiliki wa luninga jaribuni kuzikutanisha timu hizo mbili ili watu wote...
  2. M-mbabe

    Nini kifanyike Jeshi la Polisi lianze kutenda haki?

    Siyo rahisi mahali popote duniani kwa mtu awaye yote kuweza kuzuia athari hasi (consequences) za machozi ya watu zaidi ya milioni 50. Never! Watanzania walilia sana mwaka 2020 kuhusu serekali yetu (hususani rais wa wakati huo Magufuli) kuona kuwa ipo kwenye denial state dhidi ya gonjwa baya la...
  3. MK254

    Burundi pia yaacha ukaidi, yakubali chanjo ya COVID-19

    Baadhi ya Waafrika ni viumbe vya ajabu sana, unapiga piga makelele dhidi ya mambo ya kisayansi wakati mwenyewe kwako huna hata kiwanda cha sindano, kila kitu unaagiza kutoka nje halafu unabwabwaja eti mabeberu wanataka kuwamaliza kwa chanjo dhidi ya corona, ilhali unapokea chanjo aina nyingine...
  4. Z

    Marekani: Rais Biden ataka kutolewa Dola 100 kwa kila atakayepata chanjo ya COVID-19

    Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19 100x2399= 239,900 hii ni kweli? ==== Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 atalipwa dola 100. Marekani ni nchi yenye chanjo za kutosha, na idadi kubwa ya watu...
  5. Analogia Malenga

    Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  6. L

    Marekani yaendelea kutafuta njia za kufanya asili ya COVID-19 kuwa karata ya kisiasa

    Kwa mara nyingine tena suala la asili ya COVID-19 limerudi tena katika medani ya kisiasa. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Bw. Zhao Lijian amekuwa akitoa msimamo wa China mara kwa mara kuwa suala hili la kiafya na kisayansi linatakiwa kushughulikiwa na wataalam wa maeneo hayo, kwa...
  7. Cannabis

    Rais Duterte wa Ufilipino asema raia wote wasiochanjwa dhidi ya COVID-19 hawataruhusiwa kutoka majumbani mwao, yupo tayari wafe

    Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte anaonya kuwa Wafilipino ambao wanakataa kupata chanjo dhidi ya coronavirus hawataruhusiwa kuondoka nyumbani kwao kama kinga dhidi ya aina ya kirusi cha delta kinachoenea zaidi. Duterte alisema kwa njia ya televisheni Jumatano usiku kwamba hakuna sheria...
  8. Abdul Nondo

    Hili la Chanjo ni hiari yako kuchagua kati ya hatari ndogo na hatari kubwa

    Kuhusu chanjo ni hiari yako kuchagua kati ya hatari ndogo (Low risk) na hatari kubwa (High risk). Kila chanjo ina lengo moja tu. Lengo la kuongeza kinga katika mwili wako. Na kila chanjo lazima iwe na ingredient ya weakened antigen au tinny fragmentation of diseasing -causing organism yaani...
  9. Chee4

    Watanzania msikilizeni Rais Samia kuhusu chanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa chanjo ni salama na kamwe hawezi kuwaletea chanjo ambayo ina madhara kwa kuwa yeye ni Kiongozi Mkuu wa Nchi anayejali afya za wananchi wake. Rais Samia ameyasema hayo wakati akipata chanjo ya...
  10. chivala

    Gharama za kupima Covid-19

    Wakuu tafadhalini Naomba munijuze bei gani kupima Covid-19 kwa raia wa kawaida na maeneo yanayotoa huduma ya upimaji ya Coronavirus
  11. Wizara ya Afya Tanzania

    Ufafanuzi: Muuguzi aliyemchoma chanjo Mhe. Rais Samia na viongozi wengine kutovaa mipira ya mikono (gloves)

    Kwa mujibu wa taarifa hapo juu, Gloves sio lazima kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo ya COVID-19. Hivyo tunapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa Mhudumu aliyewachoma chanjo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine alikuwa anatekeleza majukumu yake kwa kufuata taratibu zote ikiwemo...
  12. Mstahiki Mea

    Ifahamu chanjo ya Johnson & Johnson

    Hii ni miongoni mwa chanjo zilizo idhinishwa kwaajili ya kukabiliana na madhara ya covid 19. JINA; JNJ-78436735 WAZALISHAJI: Jansen Pharmaceuticals Companies of Johnson and Johnson Aina ya chanjo: Viral vector Full list of ingredients / list ya viungo vilivyotumika hivi vimewekwa katika...
  13. The Palm Tree

    Askofu Gwajima ndiye kiongozi pekee aliyebaki na msimamo usioyumba kuhusu UVIKO 19 na chanjo zake

    Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake. Ni bahati mbaya kuwa viongozi wenzake wote waliokuwa pamoja naye wakati wa uhai wake...
  14. chakii

    Mbona Serikali imetugawa katika chanjo ya COVID-19?

    Leo katika hotuba ya MH Rais amesikika akisema wameshakubalia taasisi mbalimbali kuagiza chanjo za aina wanayoitaka wao, taasisi mojawapo ni ya Mzee Azim Dewji. Najiuliza mbona suala kama hili la chanjo Serikali inashindwa kuwa na kauli moja ya aina ya chanjo itakayowafaa Watanzania ukizingatia...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Msiingize uchama kwenye suala la chanjo, chanjo si mali ya chama

    Jamani chondechonde msiingize swala la chanjo kwenye uvyama chanjo sio mali ya chama. Waelimisheni watanzania wote vile ambavyo wewe unaelewa kuhusu chanjo. Mtu akizungumza jambo tusikurupuke kuanza kuliingiza kwenye mambo ya chama hapo tunakua hatutumii akili zetu sawa sawa. Ukiona mtu...
  16. Behaviourist

    Ruangwa, Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne. Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na corona. Source : Mwanahalisi twitter ====== My take Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu...
  17. Wakusoma 12

    Kama chanjo ya COVID-19 ni hiyari basi watakaochanjwa watoe hela. Hatuwezi kutumia pesa za Watanzania kufurahisha wachache

    Huu ndiyo ukweli, kwa hii ya Msaada uliotolewa basi watakaopatiwa pia wachangie gharama ambazo zitatumika kuwalipa posho wahudumu maana pesa za wananchi haziwezi kutumiwa na wachache. Tumeambia serikali itakoma pesa takribani 500m USD ili iweze kununua chanjo na pesa hizo zitalipwa na...
  18. mshale21

    UVCCM: CCM imchukulie hatua Askofu Gwajima kwa kuhamasisha Watanzania kukataa chanjo ya Uviko-19

    Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19. Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
  19. Kivumishi Kielezi

    Chanjo za corona zimehakikiwaje?

    Siku moja iliyopita, wazungu wametubwagia furushi la chanjo za misaada. Zinaitwa Johnson Johnson. Furushi hilo lina chanjo milioni moja ambazo zinapaswa kudungwa chap chap. Na hivi kesho tu, Rais Samia anaenda kudungwa chanjo ya uhamasishaji. Baada ya hofu kuwa kubwa kuhusu usalama wa hizo...
  20. GENTAMYCINE

    Kwanini nafurahia Askofu Gwajima anavyopingana na maamuzi ya Serikali ya Rais Samia

    Kama kuna Mbunge ambaye si tu hapendwi bali pia hakubaliki Kawe ( hadi na Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) basi ni huyu 'Tapeli wa Kiroho na Kiimani' Josephat Gwajima (alias) Askofu japo nikimfananisha na Maaskofu ninaowajua wa Madhehebu mengine naona hatoshei (hafai) hata kidogo Kuitwa (kuwa) Askofu...
Back
Top Bottom