covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Askofu Gwajima, kuwa Daktari (PhD Holder) hakumaanishi unaweza kutibu wanadamu

    Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo. Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize...
  2. Trubarg

    Wakuu wa Mikoa na Wilaya, toeni tamko moja kuhusu COVID-19

    Nachokiona ni mparaganyiko wa viongozi. Leo atatoa tamko Mkuu wa Mkoa kesho Mkuu wa Wilaya. Leo utasikia ya Dodoma, kesho Tanga, kesho kutwa Kiteto. Mimi nafikiri mnatuchosha wananchi. Inaonekana viongozi mnaogopa Covid kuliko sisi wananchi. Tunaomba mjipange then mje na tamko moja...
  3. Analogia Malenga

    Dar: Daladala zatakiwa kuwa Level Seat, kutakuwa na ziara za kustukiza masokoni

    RC MAKALLA: UVAAJI BARAKOA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI NI LAZIMA - Awataka LATRA kusimamia Level seat. - Aelekeza Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya kusimamia Utekelezaji wa Mwongozo wa Wizara ya Afya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari...
  4. J

    Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo. Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu tunaweza kupoteza taifa. Askofu Gwajima amesema haya Kanisani kwake leo. Askofu Gwajima amewataka wafuasi...
  5. Erythrocyte

    January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

    Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani...
  6. Miss Zomboko

    Chanjo ya Coronavirus kuanza kutolewa kwenye Mikoa 10 ya Tanzania bara

    Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Kigoma, Singida, Dodoma, Iringa na Mtwara. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada...
  7. Parody

    Uganda: Serikali yatoa Tsh Bilioni 69.5 kununua magari ya wabunge wakati visa vya COVID-19 vikiongezeka

    Wananchi wa Uganda wameonesha kukasirishwa na hatua ya serikali ya nchi hiyo kutoa zaidi ya dola milioni 30 za Marekani (sawa na zaidi ya Tsh bilioni 69.5) fedha za kununua magari ya wabunge wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na kuinua uchumi wa nchi...
  8. Shujaa Mwendazake

    Waziri Simbachawene acha maigizo, mpe IGP muongozo wa COVID-19 na dhana ya Mikusanyiko

    PICHA: Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo. Mkuu wa Wizara ya mambo ya ndani aache hizi Comedy, Ni...
  9. Swahili AI

    COVID-19: Chanjo ya vidonge ya Israel kuanza majaribio

    Oramed kampuni ya utengenezaji dawa, imetengeneza Chanjo ya Uviko19 kwenye muundo wa Kidonge. Kwa sasa Inasubiri kibali cha Wizara ya Afya ya Israel wiki mbili zijazo. ==== Israeli COVID vaccine in pill form to start clinical trial in Tel Aviv By Nathan Jeffay A prospective oral...
  10. B

    COVID-19 na ukubwa wa tozo zilizopitishwa Bungeni haviendani, uzalishaji umeshuka

    Unapokabiliwa na ugonjwa Kama covid 19 unawafanya wananchi wako wengi kutumia muda wao kwenye mambo yafuatayo; 1. Kuhudumia wagonjwa, Kuchukua taadhari za afya ikiwemo kuacha kufanya kazi kwa waliopo kwenye majukumu yanayohitaji kukutana na watu wengi, Kutumia muda mwingi kwenye nyumba za...
  11. M

    Wataalam wetu wazalendo watuambie 'content' ya chanjo ya COVID-19

    Najua si rahisi sana lakini ni vema kama nchi ikapambana kujua vema na kuwaongoza wananchi wake:- Maabara zitambue kwa makini chanjo hizo ziko na vitu gani hasa(content) Tutafsiri kila kimoja na faida au madhara yake. Bado dunia haikimbilii sana hizi chanjo. Bado vifo vimeripotiwa kwa hizi...
  12. hata mimi

    Mwalimu sichomwi chanjo ng'o na wakibadilisha utaratibu kuwa lazima basi nitakuwa tayari kuacha hata kazi

    Kuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari) Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima kwa makundi fulani- ambapo kivyovyote walimu wataingia) basi nitakuwa radhi kuacha kazi nikafanye...
  13. G Sam

    Napendekeza mkoa wa Kilimanjaro uwekwe "lockdown"

    Kiukweli kama tunahitaji usalama basi mkoa wa Kilimanjaro uwekwe lock down. Hali huko ni mbaya kuliko inavyoelezwa. Serikali kama hamtachukua tahadhari mapema msije kusema hamkuambiwa. Wageni wanoingia na kutoka kila siku ndani ya mkoa huo na kusambaa mikoa mingine ni kiama kwa wengine...
  14. Analogia Malenga

    KCMC yakumbwa na uhaba wa oksijeni kwa wagonjwa wa COVID-19

    Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC, Profesa Gilleard Masenga amesema mgonjwa mmoja wa #COVID19 anatumia hadi mitungi 10 kwa siku. Hospitali ya Rufaa ya KCMC inzalisha mitungi 400 na idadi ya wagonjwa inazidi kuongezeka hali inayofanya hospitali kuzidiwa. ---- Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini...
  15. L

    Ubinafsi wa baadhi ya wanasiasa unahatarisha mafanikio yanayopatikana kwenye mapambano dhidi ya COVID-19

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson na serikali yake, wameonyesha msimamo wa ajabu ambao pia unaweza kuonekana kuwa ni ubinafsi, baada ya kuweka kipaumbele zaidi kwenye uhuru wa watu na hali ya uchumi, na sio maisha na usalama wa afya ya wananchi. Mwanzoni Bw. Boris Johnson alishutumiwa...
  16. Analogia Malenga

    Myanmar: Madaktari wajificha huku wagonjwa wa COVID-19 wakiongezeka

    Wagonjwa wa COVID19 wamezidi kuongezeka huku wengi wakiishia kutibiwa majumbani kutokana na hospitali kukosa wafanyakazi na vifaa tiba. Wananchi wameonekana kwa misururu ya foleni wakiwa wananunua gesi ya oksijeni ili kuwanusuru ndugu zao wanaowatibia nyumbani. Wanaharakati wamelaumu jeshi...
  17. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu: Tuna wagonjwa wachache COVID-19, tuendelee kuwaombea

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19. Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona. Amesema hayo katika baraza la eid el-adha baada ya swala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam.
  18. Miss Zomboko

    Uingereza yaondoa vikwazo vyote vya COVID-19

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuanzia leo kuondoa masharti yote ya kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona. Hata hivyo, hatua hiyo imepingwa na wanasayansi na vyama vya upinzani wakisema kuwa itaiweka nchi hatarini. Kuanzia saa sita ya usiku vilabu vya starehe vyote viliruhusiwa...
  19. U

    Mbowe, unataka tujikinge na Covid-19 au tufanye makongamano?

    Hakuna mahali wala nchi ambapo chanjo ya corona ni lazima. Watu tunajiamulia. Kwangu mimi nimeifanya lazima. Ila mke Wangu na wanangu wao wanaona heri kupima Mara nyingi kwa kuwa hawana uhakika na hizi chanjo na matokeo yake. It’s a free decision. Mwenyekiti wa CDM kafiwa majuzi na ndugu yake...
  20. Miss Zomboko

    Ibada ya Hajj yafanyika kwa utaratibu mpya kufuatia COVID-19

    Maelfu ya mahujaji waliochomwa chanjo ya COVID-19 wamekusanyika mji mtakatifu wa Mecca kwa ibada ya Arafa, huku Wakizingatia umbali wa mtu na mtu na kuvalia barakoa wakati virusi vya corona vikiiathiri kwa mwaka wa pili mfululizo ibada ya Hijja. Ibada hiyo iliyokuwa inawaleta pamoja mahujaji...
Back
Top Bottom