#COVID19 Burundi pia yaacha ukaidi, yakubali chanjo ya COVID-19

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,406
Baadhi ya Waafrika ni viumbe vya ajabu sana, unapiga piga makelele dhidi ya mambo ya kisayansi wakati mwenyewe kwako huna hata kiwanda cha sindano, kila kitu unaagiza kutoka nje halafu unabwabwaja eti mabeberu wanataka kuwamaliza kwa chanjo dhidi ya corona, ilhali unapokea chanjo aina nyingine nyingi tu kutoka kwa hao hao "mababeru", zero brain, huwa mnasababisha tuonwe kama mazezeta hivi. Vinchi vyenyewe maskini wa kutupwa, sasa nani ahangaike aache kuwaza kutua kwa sayari za mbali kama Mars aanze kuwaza kuhusu huo utopolo.

Haya Burundi nao wakubali chanjo dhidi ya corona, ila baada ya kusababisha msiba wa kitaifa ambapo corona ilifyeka rais wao aliyekua kaidi king'ang'anizi balaa, ujuha ulioisababishia nchi yao hasara, na mpaka leo kuna mijitu bado imeshikilia huo uzezeta wa awali.
Yaani mpaka watu wanampoteza rais na viongozi ila bado wamedumaa kiakili

==========

Burundi, one of the last countries in the world to start inoculating its population against Covid-19, said it has agreed to take Covax vaccines -- but with a condition.

The change of heart came a day after the IMF agreed in principle to a $78 million aid package to help Burundi deal with the fallout of the pandemic.

Health Minister Thaddee Ndikumana announced Wednesday that Burundi would accept Covax vaccines offered by the World Bank, but would refuse to sign a waiver he said was demanded by pharmaceutical companies.

Burundi along with Eritrea and North Korea are the only countries yet to start Covid-19 immunisation campaigns, after Tanzania began rolling out vaccinations on Wednesday.

Until now, the government had refused to be part of the Covax initiative, saying it did not want vaccines that were still "at the experimental stage".

In a major about-turn last year, President Evariste Ndayishimiye declared the coronavirus the country's "biggest enemy".
Ndayishimiye and his predecessor Pierre Nkurunziza, who died suddenly in June 2020 amid speculation he had contracted Covid, had previously downplayed the gravity of the pandemic, saying God had spared Burundi from its ravages.

But the country still only rarely gives data on coronavirus infections. The latest, issued on July 13, show a total of 5,723 cases and eight deaths.

"When the vaccines are here, any Burundian who wants to can go (and get a jab)," Ndikumana said.

Burundi will take advantage of a World Bank financing mechanism to allow developing countries to purchase Covid vaccines collectively through Covax.

But the minister insisted Burundi would not sign a form he said would commit the government to compensate victims of "undesirable" side effects from the jabs.

Details of the document and its demands were not known and it was not immediately clear if Burundi would not take the vaccines if it was obliged to sign the waiver.

Asked about the issue, Africa CDC director John Nkengasong said he had not seen the document and could not comment on the specifics, but that they were ready to assist in monitoring the vaccine rollout.

"We stand ready to work with Burundi to provide them with the technical assistance so that they can deploy the vaccines in all dimensions and not just look at the immunisation but also monitor the effects of the vaccines going forward," he said at a joint press conference with the World Health Organization's regional office for Africa.

The International Monetary Fund meanwhile said Tuesday it had agreed in principle -- subject to higher IMF approval -- to a $78 million credit facility to address the "economic and social impact" of the pandemic in Burundi.

The country's economy shrank by about one percent in 2020, the IMF said.

Shaka ndio akili, asiyekuwa na hisia za mashaka huyo ni sawa na mnyama.
 
Hehehe!! Mpaka usababishe msiba wa kitaifa wa kujitakia ndio shaka ikutoke, yaani rais afe kabisa ndio eti uanze kupata akili.....
Halafu nyie wabongo nashangaa kunao bado mumekalia kumskliza yule aliyekua mshauri wa mkulu, yule askofu Gwajima... leo hii ndiye amewashikilia akili...hehehe nikikumbuka ile video yake iliyovuja alivyokua anachezesha mauno
 
Kwani nyie mliochanja na sie tuliokuwa bado idadi ya vifo inalingana??---- mashaka ni tusijefanywa lab rats wa wazungu, hiyo ndio akili, tumepokea chanjo baada ya kujiridhisha sio baada ya kumpoteza mkulu au hujui kwamba wakulu ni mortals??, mbona hata Waziri mkuu wa England alikumbwa na ugonjwa na wakulu wengine wengi waneshakumbwa na ugonjwa!!.
 
Title ya burundi, content ya Tanzania wivu utakuisha lini wewe?
Baadhi ya Waafrika ni viumbe vya ajabu sana, unapiga piga makelele dhidi ya mambo ya kisayansi wakati mwenyewe kwako huna hata kiwanda cha sindano, kila kitu unaagiza kutoka nje halafu unabwabwaja eti mabeberu wanataka kuwamaliza kwa chanjo dhidi ya corona, ilhali unapokea chanjo aina nyingine nyingi tu kutoka kwa hao hao "mababeru", zero brain, huwa mnasababisha tuonwe kama mazezeta hivi. Vinchi vyenyewe maskini wa kutupwa, sasa nani ahangaike aache kuwaza kutua kwa sayari za mbali kama Mars aanze kuwaza kuhusu huo utopolo.

Haya Burundi nao wakubali chanjo dhidi ya corona, ila baada ya kusababisha msiba wa kitaifa ambapo corona ilifyeka rais wao aliyekua kaidi king'ang'anizi balaa, ujuha ulioisababishia nchi yao hasara, na mpaka leo kuna mijitu bado imeshikilia huo uzezeta wa awali.
Yaani mpaka watu wanampoteza rais na viongozi ila bado wamedumaa kiakili

==========

Burundi, one of the last countries in the world to start inoculating its population against Covid-19, said it has agreed to take Covax vaccines -- but with a condition.

The change of heart came a day after the IMF agreed in principle to a $78 million aid package to help Burundi deal with the fallout of the pandemic.

Health Minister Thaddee Ndikumana announced Wednesday that Burundi would accept Covax vaccines offered by the World Bank, but would refuse to sign a waiver he said was demanded by pharmaceutical companies.

Burundi along with Eritrea and North Korea are the only countries yet to start Covid-19 immunisation campaigns, after Tanzania began rolling out vaccinations on Wednesday.

Until now, the government had refused to be part of the Covax initiative, saying it did not want vaccines that were still "at the experimental stage".

In a major about-turn last year, President Evariste Ndayishimiye declared the coronavirus the country's "biggest enemy".
Ndayishimiye and his predecessor Pierre Nkurunziza, who died suddenly in June 2020 amid speculation he had contracted Covid, had previously downplayed the gravity of the pandemic, saying God had spared Burundi from its ravages.

But the country still only rarely gives data on coronavirus infections. The latest, issued on July 13, show a total of 5,723 cases and eight deaths.

"When the vaccines are here, any Burundian who wants to can go (and get a jab)," Ndikumana said.

Burundi will take advantage of a World Bank financing mechanism to allow developing countries to purchase Covid vaccines collectively through Covax.

But the minister insisted Burundi would not sign a form he said would commit the government to compensate victims of "undesirable" side effects from the jabs.

Details of the document and its demands were not known and it was not immediately clear if Burundi would not take the vaccines if it was obliged to sign the waiver.

Asked about the issue, Africa CDC director John Nkengasong said he had not seen the document and could not comment on the specifics, but that they were ready to assist in monitoring the vaccine rollout.

"We stand ready to work with Burundi to provide them with the technical assistance so that they can deploy the vaccines in all dimensions and not just look at the immunisation but also monitor the effects of the vaccines going forward," he said at a joint press conference with the World Health Organization's regional office for Africa.

The International Monetary Fund meanwhile said Tuesday it had agreed in principle -- subject to higher IMF approval -- to a $78 million credit facility to address the "economic and social impact" of the pandemic in Burundi.

The country's economy shrank by about one percent in 2020, the IMF said.

Kwani nyie mliochanja na sie tuliokuwa bado idadi ya vifo inalingana??---- mashaka ni tusijefanywa lab rats wa wazungu, hiyo ndio akili, tumepokea chanjo baada ya kujiridhisha sio baada ya kumpoteza mkulu au hujui kwamba wakulu ni mortals??, mbona hata Waziri mkuu wa England alikumbwa na ugonjwa na wakulu wengine wengi waneshakumbwa na ugonjwa!!.

Tofauti iko kubwa maana sisi bado tunaye rais yule yule, halafu data zetu hatujakua tukificha ila mliokua mnaficha mpo mpo tu hamjui wala kujijua.....
Halafu naona kama mlichanganyikiwa....mnachekesha yaani
2862616_IMG-20210729-WA0021.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom