covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Kirusi kipya aina ya Lambda chagundulika huko Peru, chanjo haziwezi kukizuia

    Taarifa mpya ni kwamba, kirusi cha Covid 19 ambacho kinajibadili ama mutate kila siku kimekuja na aina mpya ya kirusi kinaitwa Lambda. Lambda imegundulika huko nchini Peru. Kirusi cha Lambda kimeonyesha kua hizi chanjo zilizopo haziwezi kukizuia, kiko resistance dhidi ya chanjo zilizopo...
  2. matunduizi

    Kabla ya chanjo jitafakari kwanza, usikurupuke kisiasa

    Ukichanjwa bado unaweza kuambukizwa, kwa Mujibu wa ushahidi sehemu mbalimbali duniani. Bado itabidi uendelee kujilinda na amshambulizi ya vijidudu hivyo kama yule ambaye hajachanjwa. Leo covid 21 tunaiita Delta, akibadilika akija mwingine labda Covid Dec 21 siamini kama kinga itamtambua...
  3. Khadija Mtalame

    Ukichanjwa siyo kwamba hutougua, bado utaugua na kifo hakikwepeki

    Habari wanajukwaa; Napenda kutoa ufafanuzi kidogo kwamba Chanjo iliyoanza kutolewa Ni covid viral living matter ambae anawekwa kwenye mwili wa binadamu Kupambana na viral aliepo mwilini, Hivyo ,ukidungwa chanjo hiyo,ikakutana na viral aliepo mwilini tayari ana nguvu hapo ndo utasikia,kwamba...
  4. beth

    Kenya records 1,085 new COVID-19 cases, 25 deaths

    Kenya has recorded 1,085 new COVID-19 cases from a sample size of 7,067 tested in the last 24 hours marking a positivity rate of 15.4%. In a statement issued on Tuesday, the Ministry of Health said the total confirmed positive cases are now 205,356 and cumulative tests so far conducted are...
  5. Miss Zomboko

    Baada ya mtu kupata chanjo ya Covid-19 miongoni mwa mambo ya kuzingatia ni kutopata kilevi cha aina yoyote kwa saa 72 (siku tatu)

    Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya dawa kama ilivyo kwa dawa zingine hivyo kupunguza ufanisi. Mkurugenzi wa kuratibu na kukuza utafiti...
  6. waziri2020

    Ole Millya apata chanjo ya Uviko-19; asema kama Rais Samia amechanjwa yeye ni nani asichanjwe

    Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, James Ole Milya leo Agosti 3 mwaka 2020 amechomwa chanjo ya Uviko -19 kama njia mojawapo ya kujikinga na ugonjwa huo hatari duniani. Ole Milya amejipatia chanjo hiyo aina ya Jansen kutoka kampuni ya Johnson & Johnson katika hospitali ya mkoa...
  7. Sarikiaeli

    Msisitizo Askofu Gwajima ni msimamo juu ya msimamo kuhusu Chanjo ya COVID-19

    Askofu Josephat Gwajima ameandika hivi punde kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba kabla hujaongea kuhusu mimi lazima utafakari sana kwanza. Familia zangu zipo nne ambazo ni:- Familia ya Ufufuo na Uzima Familia ya Waislamu Familia ya Watanzania Na familia ya wasionipenda (Assigned to sharpen...
  8. beth

    Maambukizi ya COVID-19 yarejea tena Jijini Wuhan

    Jiji la Wuhan Nchini China ambalo liliripoti mlipuko wa CoronaVirus kwa mara ya kwanza mwaka 2019 litawafanyia vipimo wakazi wote baada ya maambukizi kuripotiwa. Mamlaka zimehusisha visa hivyo na Kirusi cha Delta kinachosambaa kwa kasi pamoja na msimu wa Utalii. China inashuhudia ongezeko kubwa...
  9. B

    COVID-19: US delivers 4m doses Moderna vaccines to Nigeria

    August 3, 2021 Abuja, Nigeria The U.S Mission to Nigeria has stated that the 4,000, 080 Moderna vaccines doses donated to Nigeria was part of President Joe Biden’s commitment to combat the global COVID-19 pandemic. Ms Kathleen FitzGibbon, Deputy Chief of Mission, US Embassy, said this at the...
  10. Nkobe

    Mfahamu kwa kifupi Kizzmekia Corbett mwana dada mwenye asili ya Afrika (Mmarekani mweusi) na Mgunduzi mkuu wa chanjo ya COVID-19

    Maisha yake ya utotoni Kizzmekia Corbett alizaliwa huko Hurdle Mills, North Carolina (Januari 26 1986). Alikulia katika familia kubwa ya ndugu wa kambo na ndugu wa kulea. Corbett alienda Shule ya Msingi ya Oak Lane huko Roxboro A.L. Stanback Middle School. Mwalimu wake wa darasa la nne, Myrtis...
  11. beth

    Iran: Waziri wa Afya aonya uwezekano wa COVID-19 kupelekea mfumo wa afya kulemewa

    Waziri wa Afya wa Iran, Saeed Namaki amesema Wimbi la Tano la Virusi vya Corona ambalo kwa kiasi kikubwa limetawaliwa na Kirusi aina ya Delta linaweza kuwa baya zaidi endapo hatua hazitachukuliwa. Ameonya kwamba Mfumo wa Afya Nchini humo huenda ukalemewa akisema, hata kama Hospitali...
  12. MoseeYM

    SoC01 Katikati ya mjadala kuhusu kukubalika na kutokukubalika chanjo COVID-19

    Nini maana ya chanjo? Chanjo ni kitu kinachofanya kazi ya kuupa mfumo wa kinga ya mwili kuzalisha kinga ili kupambana na ugonjwa Fulani. Chanjo hufanya kazi kwa kuufunza mfumo wa kinga kutambua/kubaini na kukabiliana na vimelea vya magonjwa vinapoingia mwilini. Historia ya chanjo duniani...
  13. K

    Mdahalo kufanyika Muhimbili ni kukosa maarifa dhidi ya kupambana na COVID-19

    “Msimamo wa Serikali ni kwamba shughuli ziendelee kama kawaida lakini Watu wachukue tahadhari, Wizara ya Afya imeandaa Mdahalo kesho pale Muhimbili wale wote wenye hoja waende wakatoe hoja zao watajibiwa, hoja inajibiwa kwa hoja” Msemaji Mkuu @MsigwaGerson My take: Tusaidieni kuwaambia...
  14. Analogia Malenga

    Gerson Msigwa: Chanjo za COVID-19 kuanza kutolewa kuanzia Agosti 2, 2021

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Zoezi la chanjo litaanza kutolewa kesho kuna vituo kama 550 vilivyoandaliwa, chanjo hazijaleta madhara kwa waliotumia kama tulivyokuwa tunasikia. Chanjo zitaendelea kuletwa baada ya zile dozi milioni 1 kuna nyingine zitaendelea kuletwa Vilevile Msigwa...
  15. B

    Rais Samia, Tshs 100 inasambaza COVID-19, inatumika kutuibia, inasababisha urasimu na inaweza kumnyima mwenye mamilioni huduma ya kupata fedha zake

    Utaratibu wa Sasa wa mabenki Ni lazima uwe na salio la kwenye line ya simu ndipo uweze kufanya miamala, Kwanza tu hii idea na mfumo wake unaonyesha Tanzania tuna wamiliki wa benk wasiotumia akili na wasiofanya utafiti au wanaoburuzwa. Kwasababu "Nina zaidi ya milioni kumi kwenye akaunti au hata...
  16. SUASO

    Ushuhuda wangu kuhusu janga la COVID-19

    Habari ndugu zangu wana Tanganyika na Zanzibar! Poleni kwa magumu tunayopitia, pia hongereni kwa zawadi ya uhai! Najua humu JF familia kubwa tunaweza shirikishana Mambo mengi, leo naomba tushirikishane kuhusu Corona. Wapo waliougua na kufariki( R.I.P), wapo waliougua na kupona, wapo...
  17. Redpanther

    Je, COVID-19 imeathiri vipi maisha yako ikiwemo mahusiano yako na unaowapenda?

    Habari gani ndugu zangu wanaJamvi pendwa la Hoja Mchanganyiko. Natumaini mnaendelea vyema kabisa na mihangaiko ya kila siku na mapambano ya UVIKO-19. Niende kwenye maada moja kwa moja. Binafs, huu ugonjwa umeniathiri sana katika mahusiano yangu na watu ninao wapenda. Tuanzie hapa, Mwezi June...
  18. Msanii

    Kwanini Serikali imekurupuka kwenye chanjo ya COVID-19?

    1. Rais wa awamu ya 5 Hayati JPM mpaka umauti unamkumba hakubadilisha msimamo wa serikali yake kuhusu chanjo ya UVIKO 19. Alisema wazi kila mahala alipoenda kwamba huu ugonjwa ni hofu inayoenezwa makusudikally kuwatisha watu na kuyumbisha mataifa duniani. Alienda mbele zaidi kwa kusema Chanjo...
  19. Pdidy

    RC Makalla, Mwamposa anamaIiza ibada 12 jioni, kuna Kanisa wanatoka saa 6 usiku huko Temboni mpo kimya! Tutaponaje na COVID-19?

    Dkt. Mwamposa aliwahi kuonywa hili, tunashukuru amekuwa msikivu Ukisikiliza matangazo yake aliwakuwa anatangaza wanaingia saa sita wanatoka 6pm mwisho akanza toa watu saa 3 usiku Vibaka walijazana sana sana wakaripoti husika, dk anaenda sawa 6pm kwenu Kuna kanisa Temboni Mh. Makalla, watu...
  20. Gwajima

    Ahsante ndugu Humphrey Polepole kwa msimamo wako kuhusu CORONA

    Ahsante kijana
Back
Top Bottom