Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
Visa vipya 28,204 vya COVID19 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita, idadi ambayo kwa mujibu wa takwimu za Serikali ni ndogo zaidi kurekodiwa katika Taifa hilo tangu Machi 16.
Kwa ujumla, maambukizi yapatayo Milioni 32 yamerekodiwa India hadi sasa. Wizara ya Afya imesema vifo 373 vimeongezeka...
Dah! Taarifa za msiba zimekuwa nyingi sana. Kwanza naamini Watanzania wanakufa sababu ya uzembe na kujitakia wenyewe. Mtu anakufa kwa nimonia watu mnajazana msibani kwenda kuzika bila tahadhari yoyote unategemea nini hapo? Umeenda kuzika mara 3 je Disemba utaenda tena.
Mkoa wa Kilimanjaro...
Sikutegemea kwamba mwaka jana tutawapiga majirani bao la kibiashara, kama ilivyo desturi. Ikizingatiwa kwamba wao walinusurika(kwa maombi/tiba za asili n.k.) sie tulipokuwa tukipambana na wimbi la kwanza la janga la kimataifa la Corona. :)
Nakumbuka mwendazake akitubeza na kutuponda. Kwamba sie...
The government has announced that Covid-19 vaccination will resume today and that medical students will be prioritised in this third rollout of vaccines to allow for the reopening of medical schools.
Thie resumption of vaccination comes more than a week after the government received additional...
China imeendelea kurekodi maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona, ikiwa ni wiki ya tatu tangu mlipuko mpya kuripotiwa. Visa vipya 125 vimerekodiwa na baadhi ya Miji imeongeza jitihada za upimaji ili kukabiliana nao.
Kirusi Delta kimegundulika katika Miji kadhaa Nchini humo tangu Julai 20. Katika...
Mbona iliwezekana mwaka jana karibu kila duka na kila nyumba ilikuwa hukosi sanitizer nje nadhani ilisaidia sana mwamko ule wa kunawa ungeendelea Basi ingependeza sana.
Kwanza hata watoto wetu wanaozaliwa wangekuta tuna utamaduni wa kunawa. Ndugu zangu mikono inashika uchafu mwingi sana...
Sote tunafahamu kuwa Afrika Kusini ndiyo nchi inayoongoza katika bara la Afrika katika huduma bora za afya na teknolojia ya afya.
Afrika Kusini, kwa takwimu rasmi, ndiyo inayoongoza katika maambukizi na vifo vinavyotokana na covid 19, japo kiuhalisia hatujui kama huo ndio ukweli wenyewe au ni...
Wenzetu Ufaransa wanaanza rasmi kuwabana wananchi wale ambao wamekataa kuchanjwa chanjo za Uviko19.
Restriction hizo ni pamoja na kuzuiwa kuingia kula kwenye migahawa, kupanda usafiri wa kwenda na kurudi kazini, kuingia kwenye ofisi yoyote kupata huduma ikiwa ni pamoja na benk, hospitali nk...
Serikali Nchini humo imeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo ya Johnson and Johnson dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Hadi sasa Mamlaka za Afya za India zimeidhinisha Chanjo kadhaa ikiwemo AstraZeneca.
Taifa hilo limekuwa likirekodi wastani wa Visa vipya 30,000 hadi 40,000 kwa siku tangu mwezi...
Sasa ni taharuki kwa wanafunzi wa shule za msingi wakiwa shule waonapo wageni au magari yakiingia shuleni basi huanza taharuki na kukimbia ovyo.
Taharuki hiyo imesababishwa na wazazi wanaowambia watoto wao kuwa serikali inataka kuwachoma chanjo ya Corona kitu ambacho si sahihi.
Wazazi hao...
Leo Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga akiwa Mgeni Rasmi amefanya Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao una Kauli Mbiu "Amani Yetu, Maisha Yetu, Chukua Tahadhari Dhidi ya UVIKO-19"
Akizungumza na Vijana mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kushiriki uzinduzi huo...
Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.
Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na ameenda mbali akihimiza watu wazingatie vyakula na vilevile kahoji kwanini hii chanjo haioneshi muda...
Arusha. Mkuu wa idara elimu msingi halmashauri ya Jiji la Arusha, Omary Kwesiga amesema ameshangazwa kusimamishwa kazi akidaiwa kufanya igizo la kuchomwa chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 .
Amesema picha za video zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikionyesha kuwa hakuchomwa chanjo hiyo...
Hii ni Tanzania pekee😂😂😂😂
======
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Edith Mpinzile, amewaagiza wazazi, walimu na maafisa elimu kutoa elimu kwa wanafunzi kuwa chanjo ya Corona ni hiari na haitolewi kwao kufuatia vitendo vya wanafunzi kukimbia madarasani kila waonapo gari...
Australia imeshuhudia idadi kubwa zaidi ya maambukizi ambapo visa 361 vya Kirusi Delta vimerekodiwa kutoka New South Wales, Victoria na Queensland
Asilimia 60 ya Wakazi wa Australia (sawa na takriban watu Milioni 15) wapo Lockdown. Taifa hilo lenye visa zaidi ya 36,000 na vifo 937 kwa kiasi...
Mkuu wa idara elimu msingi halmashauri ya Jiji la Arusha, Omary Kwesiga amesema ameshangazwa kusimamishwa kazi akidaiwa kufanya igizo la kuchomwa chanjo ya ugonjwa wa Covid-19.
Amesema picha za video zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikionyesha kuwa hakuchomwa chanjo hiyo zimechezewa...
Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kusaidia wa Kusaidia Mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) imeidhinisha Dola Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Fund, Peter Sands amesema Fedha zitatumika kununua PPE, mitungi ya...
Amazon imesema inalenga kuchelewesha kufungua Ofisi zake hadi Januari 03, 2022. Awali, walitarajiwa kurejea Ofisini Septemba 07 lakini hatua hiyo itasogezwa mbele huku masuala yote yanayohusu COVID-19 yakiendelea kuangaliwa kwa karibu.
Uamuzi huo umekuja wakati kuna ongezeko la wanaolazwa...
Jamii Forums inakukaribisha kushiriki kwenye Mjadala kuhusu Maambukizi ya #COVID19 pamoja na Utoaji wa Chanjo nchini Tanzania
Mjadala huu unafanyika Agosti 6, 2021 kupitia Twitter Spaces (JamiiForums) kuanzia Saa 12 jioni na utahusisha Wataalamu wa Afya watakaozungumzia Masuala anuani kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.