Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
Kuna vitu vinashangaza sana, wizara ya afya inashangaza sana. Wote tumeshuhudia duniani kote suala la chanjo likiwa mjadala mkubwa sana ambapo kila aina ya utaalam unatumika kwa wanaokubali na wanaoipinga.
Hivyo si suala la kisiasa wala propaganda bali ni la kisanyansi, ndio maana niliona hata...
Taifa hilo lililoathirika zaidi ya janga la Corona Mashariki ya Kati litaweka zuio la safari zote za barabara pamoja na Lockdown ya wiki moja
Biashara na Ofisi zote ambazo sio za mahitaji muhimu zitafungwa kuanzia Jumatatu (Agosti 16) hadi Agosti 21, ikiwa ni jitihada za kukabiliana na Kirusi...
Naomba niwasalimie kwa jina Yesu aliye hai.
Naomba kushare na nyie naamini itawasaidia Watanzania wenzangu.
Mimi ni moja wapo wa watumishi wa afya na nimekuwa nikuwahudumia watu mbali mbali pamoja na wenye matatizo ya upumuaji, ninachofurahia na kupendeza zaidi sina ubaguzi katika kumsaidia...
Wadau hakuna mahala unaweza kupata updated info kama Jf.
Wadau mwenye info kamili atujuze kwa sasa utaratibu uko vipi kuzika mtu aliyefariki kwa covid-19.
Ifahamike kwa sasa vifo ni vingi sana uraiani na vina ukaribu na matatizo ya kupumua.
Nawakalishe mimi Idugunde
Taifa hilo limeanzisha utaratibu wa utoaji chanjo dhidi ya COVID19 nyumba hadi nyumba kwa makundi maalum ya watu ikiwemo Wazee
Mamlaka zimesema huduma hiyo imesogezwa nyumbani kutokana na uhitaji mkubwa wa chanjo hususan kwa Vijana, lakini hakuna chanjo za kutosha hivyo wameamua kuanza na watu...
TAZAMA VIDEO YA SOMO CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA YA 666
Baada ya maombi ya Maaskofu na Wachungaji kadha wa kadha, wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo; jana Alhamisi 12.8.2021, akiwa ofisini kwake Askofu mkuu Zachary Kakobe amefundisha Somo muhimu, lenye kichwa, "CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA...
Je, vitu hivyo ni siri? ni kwanini viwe siri wakati haya ni mapambano ya Dunia nzima na tunasema kuwa tunashirikiana kupambana na janga hili!?
Je, wataalamu wetu wa Afya Tanzania wanavifahamu vitu hivyo? kama ndiyo kwanini wasimwambie MAMA ili tuvipate tuweze kutengeneza chanjo yetu wenyewe...
Tarehe 11 Agosti, 2021 Dare es Salaam.
Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa UVlKO-19 Duniani, ambapo Tanzania ilipata kisa cha kwanza cha mgonjwa wa UVlKO-19 tarehe 16 Machi 2020, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo upimaji wa wasafiri wanaoingia na...
Picha: Baadhi ya Wazazi wakiwa katika Shule ya Msingi Imanga
Wazazi wa watoto wanaosoma Shule ya Msingi Imanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamezuka shuleni hapo kwa madai ya kuhoji sababu za wanafunzi kupewa chanjo dhidi ya corona bila kupewa taarifa.
Hata hivyo...
Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi
Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kuhakikisha Mawaziri wote pamoja na Watumishi wengine Serikalini wanapata Cheti ili kuruhusiwa...
Toka zoezi la kupata chanjo lizinduliwe rasmi kuliwekwa vipaumbele kwa makundi matatu.
Waliofika miaka 50 na zaidi
Wahudumu wa afya
Wenye magonjwa ya Mara kwa mara
Kwanini wasingesema Kila mtu ambaye yupo tayari kupata chanjo apate?
Halafu Kuna watu hawajafika 50, si wahudumu wa afya na...
Umoja wa Falme za Kiarabu umerekodi maambukizi mapya 1,334 ndani ya saa 24 zilizopita huku wagonjwa 1,396 wakipona na wanne wakipoteza maisha.
Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 watu 1,982 wamefariki dunia na idadi ya visa imefikia 695,619. Zaidi ya 80% ya watu UAE wamepata angalau dozi moja ya...
All civil servants must now get a COVID-19 vaccine or face disciplinary action.
According to a statement from the Head of Public Service Joseph Kinyua, civil servants will now be required to get their vaccinations by the August 23 deadline.
Those who do not receive the vaccine by the specified...
Dr Anthony Fauci moja Kati ya madaktari na wanasayansi wakubwa katika nchi ya Marekani pia mshauri mkuu wa Raisi katika masuala ya Afya na bingwa wa magonjwa ya kuambukiza(infectious diseases) na director wa taasisi ya magonjwa ya kuambukiza na (allergy) marekani katika mahojiano yake na NBC...
Passenger train services in Uganda's capital Kampala have resumed after the country lifted a 42-day lockdown on July 30 following a reduction in the Covid-19 infection rate.
Deo Kyomya, the Uganda Railways Corporation commercial manager, told Xinhua by telephone they had deployed two trains to...
Mkuu wa Wilaya ya Busega Mhe. Gabriel Zakaria amezindua rasmi zoezi la chanjo ya UVIKO 19 (COVID 19) Wilayani Busega, uzinduzi uliofanyika Hospitali ya Wilaya ya Busega, huku akiwataka wananchi kupuuza maneno na taarifa za kizushi zinazoendelea kusambaa kwenye baadhi ya Mitandao kuhusu chanjo...
Katika wiki za hivi karibuni suala la kutafuta asili ya virusi vya Corona limekuwa likizungumzwa sana katika nchi mbalimbali duniani. Kwa bahati mbaya baadhi ya wanaolizungumzia suala hilo, kuna wale wanaoelekeza hoja zao kwenye mambo ya siasa, na wengine, hasa wanasayansi wameweka mkazo kwenye...
Mimi nimechanjwa chanjo ya P fizer muda mrefu wakati hapa kwetu tukihubiri malimao na matangawizi, Tuliimba pambio wote za ujasiri wakati huo kuwa beberu hafai na chanjo hazifai
Leo bila aibu na Haya wana CCM tumegeuka ghafla na kuanza kudance ngoma ya mwenyekiti wa chama
Nimeandika uzi huu...
Visa vipya 28,204 vya COVID19 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita, idadi ambayo kwa mujibu wa takwimu za Serikali ni ndogo zaidi kurekodiwa katika Taifa hilo tangu Machi 16.
Kwa ujumla, maambukizi yapatayo Milioni 32 yamerekodiwa India hadi sasa. Wizara ya Afya imesema vifo 373 vimeongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.