#COVID19 Kabla ya chanjo jitafakari kwanza, usikurupuke kisiasa

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,570
15,319
Ukichanjwa bado unaweza kuambukizwa, kwa Mujibu wa ushahidi sehemu mbalimbali duniani.

Bado itabidi uendelee kujilinda na amshambulizi ya vijidudu hivyo kama yule ambaye hajachanjwa.

Leo covid 21 tunaiita Delta, akibadilika akija mwingine labda Covid Dec 21 siamini kama kinga itamtambua, utakwenda na maji. Virusi hubadilikabadilika.

Ushauri wangu
Nchi ingeelekezwa kujiizatiti kwa watu wake kuimarisha kinga za miili ambazo Mungu ametupatia.

Tutafutiwe miti au maua au mizizi yenye virutubishokinga. Badala ya watu kunywa supu na chapati asubuhi unakunywa hata juice ya mwarobaini na supu ya majani ya mpera au mkaratusi.

Mchana wale ambao hawana uwezo wa kula matunda, wanasukumia hata na kachumbari ya vitunguu, kashwagala na majani ya papai.

Watu wa madawa ya kienyeji wanisaidie kupanga menyu vizuri hapo.

Sioni sababu ya kudungana sindano za vitu ambavyo havina faida ya kueleweka kisa beberu kasema. Na binafsi sina uhalali wa kufanyia kazi maneno ya mtu aliyeunga msimamo wa kwanza wa kutochanjwa kabla hajafafanua kwa kina nini kimemsukuma kubadili mwelekeo ghafla na kwa usadikisho upi usiotia shaka.

Pata Muda wa kujitafakari kwanza, usikurupuke kisiasa
 
Mashine ya kujifukiza ilisha tolewa pale Muhimbili.
Malimao, tangawizi na vitunguu swaumu siku hizi sio dawa Tena.
Kweli maisha yanaenda kasi sana
Hizi ziku za mwisho mambo ni mvhakamchaka. Ukizubaa unaweza hata kujikuta umegeuzwa kadava
 
Wanaintroduce serially moja baada ya nyingine hadi wafikie target zao, these idiots very inhuman indeed. Mwambieni bibi yenu kiroboto ajiandae kuendelea kuwasaidia weupe kufikia malengo na wala asiishie njiani. Naelewa kwanini ndugu zetu waislamu hawataki kabisa mwanamke kupewa madaraka makubwa. Hasara kubwa sana hii kwa nchi yetu.
 
Ajali ya pikipiki inaweza kutokea na kuua dereva wa pikipiki licha ya kwamba alivaa helment, Je hiyo ni sababu ya kusema helment ni useless kwasababu bado watu wanakufa hata wakivaa?
 
Wanaintroduce serially moja baada ya nyingine hadi wafikie target zao, these idiots very inhuman indeed. Mwambieni bibi yenu kiroboto ajiandae kuendelea kuwasaidia weupe kufikia malengo na wala asiishie njiani. Naelewa kwanini ndugu zetu waislamu hawataki kabisa mwanamke kupewa madaraka makubwa. Hasara kubwa sana hii kwa nchi yetu.
Miafrica!! hamna mnacho changia kwenye uchumi wa Dunia mmebaki kuwa consumers tuuu!!! ajabu sasa hata kufa mnaogopa kwa faida gani mliyo nayo??!!! nyie ni mzigo wa Dunia mnalia tuuu eti Mungu ni mali yenu!! mweee!!

Leo wakiwaachia hiyo Almas, dhahabu hamtafanyia kitu chochote!! hamjui richa ya kuwafundisha matumizi, Mlikuwa na Hela na Mali nyingi palee Misri ya kale vyote vimepotea mmebaki kulia lia tuu eti nyie ndo wa Misri nyoo!!

kuleni chanjo tuu bana miafrica mna nini kwani cha kulingia mno? zaidi ni kurogana tu!! halafu kuwashana tuuu na kujaza Dunia? mlizaa wa nini km mnawaroga tena!!! hapo mmeweza sana!! but cha kuwalisha hao watu hamna, na

Mungu wenu mmemuhasi kitambo tu mnaabudu kijana wa Kizungu eti jesus mwee!! hivi hamuoni aibu hata chembe jamani? hapa Mungu amekasirika sana? Mababu zetu sawa hawa kujua lkn sasa sisi wasomi ,,,,,Maweeeee!! kafwire nyamabara!!!

Yaani Miafrica pyuuuu!! sipati picha unaolewa na Mtu then unamroga mumeo eti afukuzwe kazi, kwelii??? je hao watoto watasoma vipiiii!! yaani Miafrica ina vituko ambavyo kamwe unaweza usiamini macho na masikio yako!!

Yaani hata Shetani anawaogopa waafrica kwa roho mbaya zao chanjeni mfe tu siyo kwamba hamna faida. nyie ni zigo la Dunia. lenye mapembe saba sipati picha kabisa...

Angalia Diaspora mnapewa lishe kazi mahali pazuri pa kulala na kunywa tiba nzuri ever, kajumba kadogo lkn bana weee!! mnapendwa mpaka kingozi kina badilika kina kuwa lainiii si mnani check nilivo? utaona tu kweli kabisaa ulikuwa na mzigo mzito Mabegani!!

Na sasa umeutua!!! unaomba Mungu kila kukicha kuwa uendelee kupata hizi neema huku usirudi Bongo land kwenye tanuru la Mateso!! Shida uchawi, usingiziaji, choyo chuki uzandiki!

Mpaka Rais wenu ana chuki binafsi anawa ua nyang'anya watu wake ajira kwa visingizio eti ni fake wkt wizara ya nchi ndo imewaajiri wamesomea vyuo vya sirikali yoote haya ni ili akajenge uwanja wa ndege kwao!! na

kujilisha ufahari wa midege! ambayo leo na zamani yake hayana faida kwanza hayo madege yataozea hapo karakana za jeshi, yatakwenda wapi na covid hii!! Pwiii!!! bora life tu ivo ivo halina msaada kwa wannyonge!

Mama kabendera alililaani mwee yule mama alilia sana!! likashindwa kumsaidia mpaka akafa maskini wee!! sasa nawauliza na yeye huyo msababishi kipo wapi? dongo tani saba fanya ubaya tu Duniani ila pua inaangalia chini
 
Back
Top Bottom