#COVID19 Mdahalo kufanyika Muhimbili ni kukosa maarifa dhidi ya kupambana na COVID-19

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
461
1,000
“Msimamo wa Serikali ni kwamba shughuli ziendelee kama kawaida lakini Watu wachukue tahadhari, Wizara ya Afya imeandaa Mdahalo kesho pale Muhimbili wale wote wenye hoja waende wakatoe hoja zao watajibiwa, hoja inajibiwa kwa hoja”

Msemaji Mkuu @MsigwaGerson

My take:

Tusaidieni kuwaambia serikali ijipange, wamepoteana Sana na nadhani hakuna coordination aliyoahidi Katibu Mkuu Wakati anaapishwa. Tunakwenda kukusanya watu hospitalini kufanya mdahalo? Speechless
 
MastaKiraka

JF-Expert Member
Jan 10, 2015
1,763
2,000
:D :D :D Pesa walizokula watazitapika. Moja ya kampeni zao ni kuzuia mikusanyiko isiyo na lazima,je huo mdahalo una ulazima gani? wanashindwa kuandaa mdahalo online, au hiyo corona inaogopa hapo Muhimbili?. Rubbish, Wao wenyewe wanajua Corona hakuna ndio maan wapo careless
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
12,542
2,000
“Msimamo wa Serikali ni kwamba shughuli ziendelee kama kawaida lakini Watu wachukue tahadhari, Wizara ya Afya imeandaa Mdahalo kesho pale Muhimbili wale wote wenye hoja waende wakatoe hoja zao watajibiwa, hoja inajibiwa kwa hoja”

Msemaji Mkuu @MsigwaGerson

My take:
Tusaidieni kuwaambia serikali ijipange, wamepoteana Sana na nadhani hakuna coordination aliyoahidi Katibu Mkuu Wakati anaapishwa. Tunakwenda kukusanya watu hospitalini kufanya mdahalo? Speechless

Huu na wa katiba mpya Mwanza nini tofauti yake?
 
  • Love
Reactions: BAK

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom