Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,487
- 2,344
Nimekuwa nikifatilia kasi ya maambukizi kwa nchi zilizo kwenye lockdown, nimestaajabu sana kuona maambukizi yanaongezeka badala ya kupungua. Kiukweli tulitarajia kuona maambukizi yameisha au kupungua sana, hebu jiulize nawe nchi iko kwenye lockdown zaidi ya miezi mitatu badala ya maambukizi kupungua ndio kwanza yanashika kasi.
Baada ya tafakuri hii nimeamini Corona ni suala la kiroho zaidi kuliko kimwili. Ni wakati muafaka wa mataifa na mtu mmoja mmoja kuachana na mapambano ya kimwili na kuchukua hatua za kumkaribia Mungu ikiwa ni pamoja na kuacha njia zetu mbaya kwa kumaanisha kabisa.